Ebu acha mihemko ya kijinga waandamanaji wa Iran walikuwa hawavunji mabenki, kuchoma magari mpaka na nyumba za viongozi walikuwa hawawashambulii polisi?huyo raia kama anajihusisha na violence kama kuvunja maduka,kuchoma magari na kujaribu kuwa attack polisi unadhani polisi wafanyaje?? Iran wao huzima maandano kwa nguvu lakini hawa wanakabiliana na wale wanaojaribu kufanya violence.
Kwani Una Id ngapiacha kuhamisha goli , hoja ya mwanzo ww na mr.mihemko mwenzio mlidai habari zimebinywa na jamaa kawajibu sasa hv mnahamisha magoli , nyiny kizaz cha ujamaa mna matatizo sio bure
Alicho Kiuliza Sicho Unacho MjibuHii internet unayotumia mpaka kuweka picha hizi ni chombo cha nani?
Ebu acha mihemko ya kijinga waandamanaji wa Iran walikuwa hawavunji mabenki, kuchoma magari mpaka na nyumba za viongozi walikuwa hawawashambulii polisi?
Ebu tutolee ujinga .
Sheria za huko sio kama za Afrika. Kule kuandamana ni ruksa.Huko Kwa wastaarabu kumbe Huwa wanaandamana
hahaaa wew wasema , ukimaliza kawafuate wenzio waliogomea huko UkraineUkraine hata kwa Africa haipo Top 10 ya pato la mtu mmoja mmoja,
jijali mwenyew kwanza kama China halaf ndo ulie kuitww first worldIn short huwezi kuitwa ulimwengu wa kwanza kama haupo kwenye kundi Lao.
Definition alioitoa Illmatic ni sahihi, first world countries ni USA, Nchi za west na washirika wao waliotawaliwa bila kujali Hali halisi za wananchi,
Na Kuna Nchi kibao zipo 3rd world na Zina maendeleo kushinda za 1st world
maandamano yana taratibu zake , maandamano meng hawapigwi wanasaidiwa na polisi ila hapo umeona wameshambulia maduka ya watu , je ww kama mweny duka ungefurahi ? wakat hauhusik na maandamano yaoHaki za binadamu kwasasa wapo busy kutetea mashoga Africa
duh afrika tuna watu wa ajabu ukute hata picha moja tu sio video ya maandamano hujaionaIRAN hua wanapigwa baada ya kuanza vurugu zao zakipuuzi
UFARANSA wanaonewa bila ya sababu
lin hiyo ?Ebu acha mihemko ya kijinga waandamanaji wa Iran walikuwa hawavunji mabenki, kuchoma magari mpaka na nyumba za viongozi walikuwa hawawashambulii polisi?
Ebu tutolee ujinga .
kwan kipi hujaelewa hapo mpk unataka kuhamisha goli tena , ndo ttzo nyny raia wa shithol countriesKwani Una Id ngapi
Kwamba nyiny mpo ufaransa mpk ujue kinachoendelea , kuna katatizo mnacho mnachagua cha kusikiliza , Media zote zimetangaza taja media ya west haijatangaza , huu unafik ndo unawadumaza waafrika , PENDEN KUJIFUNZA KULIKO KUWEKEZA KWENY KUKOSOAAlicho Kiuliza Sicho Unacho Mjibu
Maandamano Yakitokea Nje na hayo mataifa Utoaji Taarifa Haupo sawa na Yakitokea kwenye Hayo Mataifa
Wao wapovema kuchafua rekodi za mataifa mengine ila sio wao kutoa maovu yao.Na hapa sio Bakhmut Ukrein hii nj Ufaransa
ile BBC, CNN wapo Kimyaa huwasikii
View attachment 2566189
Kwan ni uongo?! Unapoona maandamano taifa lingine utaona huyo mpumbavu Marekani ndio mstari wa kwanza kuanza kuongea pumba zake kusema atawekea vikwazo serikali ya taifa husika kwa kukiuka haki za binadamu.Ni kipi hujaelewa kwenye koment yangu?.
Maandamano yanaendelea hadi sasa uko ufaransa, vyombo vyote vinaripoti,internet haijazimwa na serikali ya ufaransa sijasikia ikiraumu Iran ama Urusi kusababisha maandamano nchini mwake..hii ni tofauti kabisa endapo maandamano yangelitokea Urusi, China ama Iran mzigo ungelitupiwa nchi za magharibi kuwa zinawachonganisha.
Kwenu maaana sahihi ya maandamano ni kufanyika ulaya na marekani yakitokea nchi zingine inakuwa wamechonganiswa.
Hiki ndicho ninachokisema mimi hayo mengine yatafutia mahari pake.
Ww una ujuaji wa kipumbavu unaweza kunionesha kifungu chochote kinacho kataza maandamano kwenye sheria za Iran?iran hawaruhusu maandano na wanachofanya wao ni kuzima maandamano kwa nguvu hata kuua. Wafaransa wameruhusu maandamano ila wanaokabiliana na polisi ni wanaofanya violence. Umesikia wameua mtu huko ufaransa? Leta habari hiyo hapa.