Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

huyo raia kama anajihusisha na violence kama kuvunja maduka,kuchoma magari na kujaribu kuwa attack polisi unadhani polisi wafanyaje?? Iran wao huzima maandano kwa nguvu lakini hawa wanakabiliana na wale wanaojaribu kufanya violence.
Ebu acha mihemko ya kijinga waandamanaji wa Iran walikuwa hawavunji mabenki, kuchoma magari mpaka na nyumba za viongozi walikuwa hawawashambulii polisi?
Ebu tutolee ujinga .
 
Ebu acha mihemko ya kijinga waandamanaji wa Iran walikuwa hawavunji mabenki, kuchoma magari mpaka na nyumba za viongozi walikuwa hawawashambulii polisi?
Ebu tutolee ujinga .

iran hawaruhusu maandano na wanachofanya wao ni kuzima maandamano kwa nguvu hata kuua. Wafaransa wameruhusu maandamano ila wanaokabiliana na polisi ni wanaofanya violence. Umesikia wameua mtu huko ufaransa? Leta habari hiyo hapa.
 
In short huwezi kuitwa ulimwengu wa kwanza kama haupo kwenye kundi Lao.

Definition alioitoa Illmatic ni sahihi, first world countries ni USA, Nchi za west na washirika wao waliotawaliwa bila kujali Hali halisi za wananchi,

Na Kuna Nchi kibao zipo 3rd world na Zina maendeleo kushinda za 1st world
jijali mwenyew kwanza kama China halaf ndo ulie kuitww first world
 
Haki za binadamu kwasasa wapo busy kutetea mashoga Africa
maandamano yana taratibu zake , maandamano meng hawapigwi wanasaidiwa na polisi ila hapo umeona wameshambulia maduka ya watu , je ww kama mweny duka ungefurahi ? wakat hauhusik na maandamano yao
 
IRAN hua wanapigwa baada ya kuanza vurugu zao zakipuuzi

UFARANSA wanaonewa bila ya sababu
duh afrika tuna watu wa ajabu ukute hata picha moja tu sio video ya maandamano hujaiona
 
Ebu acha mihemko ya kijinga waandamanaji wa Iran walikuwa hawavunji mabenki, kuchoma magari mpaka na nyumba za viongozi walikuwa hawawashambulii polisi?
Ebu tutolee ujinga .
lin hiyo ?
 
Alicho Kiuliza Sicho Unacho Mjibu
Maandamano Yakitokea Nje na hayo mataifa Utoaji Taarifa Haupo sawa na Yakitokea kwenye Hayo Mataifa
Kwamba nyiny mpo ufaransa mpk ujue kinachoendelea , kuna katatizo mnacho mnachagua cha kusikiliza , Media zote zimetangaza taja media ya west haijatangaza , huu unafik ndo unawadumaza waafrika , PENDEN KUJIFUNZA KULIKO KUWEKEZA KWENY KUKOSOA
 
Watu wanaambiwa wasiandamane wao wanaandamana, watapigwa tu maana hamna namna, na mimi nasema wapigwe tu
 
IMG_20230327_093421.jpg
 
Ni kipi hujaelewa kwenye koment yangu?.

Maandamano yanaendelea hadi sasa uko ufaransa, vyombo vyote vinaripoti,internet haijazimwa na serikali ya ufaransa sijasikia ikiraumu Iran ama Urusi kusababisha maandamano nchini mwake..hii ni tofauti kabisa endapo maandamano yangelitokea Urusi, China ama Iran mzigo ungelitupiwa nchi za magharibi kuwa zinawachonganisha.
Kwenu maaana sahihi ya maandamano ni kufanyika ulaya na marekani yakitokea nchi zingine inakuwa wamechonganiswa.
Hiki ndicho ninachokisema mimi hayo mengine yatafutia mahari pake.
Kwan ni uongo?! Unapoona maandamano taifa lingine utaona huyo mpumbavu Marekani ndio mstari wa kwanza kuanza kuongea pumba zake kusema atawekea vikwazo serikali ya taifa husika kwa kukiuka haki za binadamu.

Haya mbona hapo hatuoni akitoa tamko au kusema atawekea vikwazo serikali ya Ufaransa?
 
iran hawaruhusu maandano na wanachofanya wao ni kuzima maandamano kwa nguvu hata kuua. Wafaransa wameruhusu maandamano ila wanaokabiliana na polisi ni wanaofanya violence. Umesikia wameua mtu huko ufaransa? Leta habari hiyo hapa.
Ww una ujuaji wa kipumbavu unaweza kunionesha kifungu chochote kinacho kataza maandamano kwenye sheria za Iran?

Yaani unakubaliana kuwa polisi wa Ufaransa wako sawa kupiga waandamanaji kwa sababu wanafanya vurugu ila waandamanaji wa Iran wakifanya vurugu watizamwe tu wafanye wanacho kitaka?
 
Back
Top Bottom