Video: Nape alipoangua kilio hadharani jimboni kwake Mtama

Nimekuwa nikiamini watu muko analytical kwa muda mrefu, lakini kumbe mukiguswa kwenye channel zenu, hata reasoning inaondoka. Nawe umeingia kundi hili linaloamini Rais huyu anakosea kuliko aliyepita!
Tulikotoka ambako hata Ditopile aliachiwa akaingia mtaani hata baada ya kuua!
Watu walikokuwa wakibeba viroba vya pesa!
Wenye UKIMWI wakiambiwa ni kujitakia! Watoto wanaopata mimba wakiambiwa ni kihelehele chao!
Tulikokaa chini tangu darasa la kwanza hadi la 7!
Rais aliyesema hajui kwa nini waTZ ni maskini!
n.k.

Kubalini kwamba rais siyo komedi anayemfurahisha kila mutazamaji. Wengine fuateni kwa lazima bila kujali nini unafanya kujikimu maisha yako.
 
Ukisikia unyanyasaji ndiyo huu, hivi hakuna namna nyingine ya kujitangaza zaidi ya kumdhalilisha Mwanamke namna hii?

Wa Makonde hizi nimila zao.. hata wahaya hufanya hivyo
 
Reactions: dtj
Mmmmh! Kijana alidhani CCM ni mali yake. Hiki ni kiburi cha kudekezwa na rais aliyepita kwa miaka 10. Kisha amini ana uwezo sasa anashangaa kwa nini rais huyu hauoni! Watu kama huyu hawajitambui na hapo ndo CCM wanatakiwa kuwa waangalifu ktk matumizi ya wanachama. Siyo kila asiye aibu anafaa kutumikia taifa. Anweza kutumikia Chama lakini siyo Taifa.

Amedai sana nafasi eti kwa kuwa tu alizunguka nchi nzima! Yaani hata houseboy wangu sasa adai kupata chumba eti kwa kuwa anasafisha nyumba kila siku?
 
Pole Mzee wa NDIYOOOO
 
Ataisoma namba kimya kimya namba haichagui we nani
 
Phd ya kubangua korosho
 
Reactions: BAK
... Mama yangu hapa kaingia vp? Jenga hoja zako na kama imeishiwa kaa pembeni hukooo!!! Watu kama ninyi ndiyo ambao mwisho wa siku mnaishiwa kufugwa kama alivyosema Ney.
 
Wapi nilipoandika kuhusu kumfagilia Kikwete na awamu yake ya nne!? Hebu weka huu ushahidi wa hicho ulichokiandika kwenye rangi.

 
Mkuu Sooth kama kweli Nape kawakanyaga hao akina mama migongoni mwao kwa hakika amenisikitisha sanaa...
 
Mbona Rc alipolia kwa machungu watu kuangamia na mihadarati mliandika sana? Mara makonda lete vyeti acha kulia, sasa andikeni na hapa sasa nyinyi Chadema.
 
Wakati Nape akiwa live kwenye mkutano wake ndipo Roma alipopatikana..... Hivi bado kuna mtanzania anaetia Shaka na utekaji huu labda kama una mtindio wa ubungo. The whole thing ya Roma kutekwa ilikuwa ni kuwaondoa watanzania kufatilia atakachosema Nape na kuhakikisha Kesho media zoooote zitamuandika Roma na sio Nape...
 
Sisi watanzania tummelogwa na aliyetuloga amekufa,mapokezi ya Nape sio kitu cha ajabu.Chenge,Rostam walishapata mapokezi kama yale baada ya kutuhumiwa kwenye shutuma za ufisadi,wanachama wa Yanga walimpigia magoti Manji kumlazimisha agombee uenyekiti wa Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…