Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina


Nadhani umeiweka vizuri mkuu hasa kwenye paragraph ya mwisho.

Hatuna viongozi we weledi.
 
Chuki za kijinga punguza wachina hawaji kuongeza umasikini wenu

Mimi niwachukie watu ambao wako Bilioni 1 lakini wanatawaliwa na watu 200 tu?

Nachukiaje magoigoi ambao hawatulii kwenye nchi zao wanaenda kuanzisha vijiwe kwenye nchi nyingine in the name of "Chinatowns" na wewe ulivyozoba unawatetea.

Wachina sio watu wa kuwachukia ni watu wa kuwaogopa.

As i said kuliko kujaza uzi matusi baada ya kuishiwa argument ni bora uende kupumzika
 
Umejibu kama kijana wa UVCCM.

Ni watanzania wangapi wanamiliki supermarket, hoteli, na restaurants huko Guangzhou?

Una akili timamu?
Mkuu unasema CHADEMA tutaenda kuwafukuza wachina kama sera yetu.

Sishangai, kwasababu hata Mh. Mbowe katika moja ya mihadhara yake aligusia wingi wa wachina nchini pamoja na ukamataji wao wa maeneo ya uchumi nchini, na alifika mbali tu na kuonyesha takwimu.

Kinachonishangaza ni uwepo wa watu wa Ulaya katika maeneo hayo hayo uliyoyataja.

Kwanini iwe wachina tu?
 
Wataje hao watu 200 uone ulivyo mjinga mwenye confidence ?
 
Wapi umetukanwa acha kuplay victim kwa ujinga wako.

Hivi wakisema watajwe watu magoigoi kati yako wewe na jamii yako na wachina unaona kabisa watatajwa wachina utaachwa wewe na jamii yako

Upo serious wewe
 
Tafuta hela wewe na kama inakuuma kuoana wananunua maghorofa nenda ukayanunue wewe! Usikute hapo umekula zako kiporo cha makande ukajilaza kwenye kigodoro getoni
 
Wako wengi sana huko na it raises a lot of questions.

Wale jamaa soon tutaanza kuwaona wanagombea udiwani na Uenyekiti wa vitongoji
Nafanya kazi na wachina we mostly go to those places na kuna suprises nyingi nimepata huko Masaki. Wachina wamejiweka kwenye prime areas nyingi almost whole block kuanzia Morroco Square kuja mpaka Kairuki imetawaliwa na wachina.

Ukienda Masaki napo kuna sehemu wapo wameteka eneo kubwa kuna hotel kabisa ya kichina. Mikocheni wana hospitali mtaa wa nyuma ya Shoppers Supermarket.
 
Ni watanzania wangapi wanamiliki supermarket, hoteli, na restaurants huko Guangzhou?
Sidhani kama wapo.

Je, Watanzania wangapi wanamiliki vitu kama hivyo kokote tu, kamavile Ulaya na Marekani?

Kuna uwiano wowote ule wa kueleweka? Sababu?
 
Ninachoomba tu serikali iwe makini na hao jamaa, kama kuna loopholes zozote kwenye suala la umiliki ardhi na serikali need to monitor all their movement na nini wanafanya, maana "viongozi wetu" wakiona hela mezani wanasahau kulinda nchi yao. Narudia wakijaa hao ni balaa hata kama wanalipa kodi na kutoa pesa kwa upangaji wao. Hao waliopo maporini huko serikali isikae mbali nao ila ninachosikitika miaka ijayo tujiandae matukio na biashara zisizijulikana.

Haijalishi watanzania hawaoni fursa nchini kwao ama la, wala sina chuki nao, bali tu serikali ijue inapofungua mipaka kwa wageni na wao kama viongozi wafungue mipaka ya akili na jinsi ya kuwakabili pindi mambo yakibadilika.

Wenzetu ukiwa kwao hawacheki na wewe na sisi tuwe hivyo tusisimame kwenye uwekezaji tu wanaokuja nao tukumbuke KULINDA NCHI YETU PIA.
 
Haya mambo unayakuta Tanzania
Exposure ni mhimu sana. Unfortunately WaTanzania wengi tumekosa hiyo kitu. Binafsi Mimi sioni maajabu wachina kuwepo hapo. Ukienda Canada Kuna mitaa ya wahindi Waingereza nk. Ukienda USA Kuna mitaa ya wachina ya wahindi nk.

So ajabu ni ipi hapo au ushamba tu unatusumbua, tutafute exposure siyo kila kitu ni kupinga tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…