Tafuta hela wewe na kama inakuuma kuoana wananunua maghorofa nenda ukayanunue wewe! Usikute hapo umekula zako kiporo cha makande ukajilaza kwenye kigodoro getoni
Sawa mrembo naona baada ya kujishobokesha kwa mchina akakutema umekuja kufungua uzi kwa kuwakandamiza nakushauri tu endelea kukitembeza hicho kisimi chako kwa wabongo wenzakoSijui jinsia yako lakini hii mambo ya "tafuta hela" ni talking points za watoto wa kike.
Ume-dislike weee umechoka nikadhani utakuja na points zito ila umeandika kama unaumwa verbal diarrhea.
Avatar yenyewe ya tumbili. Jinga kabisa!
Wewe si ndie unajua watu Bilion 1.4 wanatawaliwa vipi, sasa taja hao watu 200 wanaowatawala
Exposure ni mhimu sana. Unfortunately WaTanzania wengi tumekosa hiyo kitu. Binafsi Mimi sioni maajabu wachina kuwepo hapo. Ukienda Canada Kuna mitaa ya wahindi Waingereza nk. Ukienda USA Kuna mitaa ya wachina ya wahindi nk.
So ajabu ni ipi hapo au ushamba tu unatusumbua, tutafute exposure siyo kila kitu ni kupinga tu.
Alikukataa kwa uchafu wako mrembo kama vipi njoo getoni nikupinguzie hasiraSawasawa tumbili wa mjini
Nafanya kazi na wachina we mostly go to those places na kuna suprises nyingi nimepata huko Masaki. Wachina wamejiweka kwenye prime areas nyingi almost whole block kuanzia Morroco Square kuja mpaka Kairuki imetawaliwa na wachina.
Ukienda Masaki napo kuna sehemu wapo wameteka eneo kubwa kuna hotel kabisa ya kichina. Mikocheni wana hospitali mtaa wa nyuma ya Shoppers Supermarket.
si kitu cha kawaidaWanakwambia ni mambo ya kawaida sana hayo mkuu.
Lakini kwa akili ya kawaida ni kwamba kama ulivyosema hapo by 2030 speed ya Wachina ikiwa hivi, kuna mitaa watu weusi hawatakanyaga.
Alikukataa kwa uchafu wako mrembo kama vipi njoo getoni nikupinguzie hasira
Dump ni familia yako yote ilioshindwa kujikwamua kiuchumi ikafanya mtoto wa kike kama wewe kujililisha kwa wachina ili ukawatambie mashosti zako huko kwenu buza na bahati mbaya hawakuwa na shobo na weweMan seriously huu uzi nimebishana na watu wengi and to be honest you're the dumbest person ambaye nime-argue nae kwenye hii thread.
By dumb namaanisha mjinga.
Yaani huna points za kunifanya niandike paragraphs kama nilivyofanya kwa Mi mi au wachangiaji wengine waliokuwa na nondo za maana ndo maana ulivyoanza kutukana nikaona nikuunge tu because i know you're dumb.
So save your time. I'll be ignoring you from now.
Exposure ni mhimu sana. Unfortunately WaTanzania wengi tumekosa hiyo kitu. Binafsi Mimi sioni maajabu wachina kuwepo hapo. Ukienda Canada Kuna mitaa ya wahindi Waingereza nk. Ukienda USA Kuna mitaa ya wachina ya wahindi nk.
So ajabu ni ipi hapo au ushamba tu unatusumbua, tutafute exposure siyo kila kitu ni kupinga tu.
Umeongelea China huwezi kupewa Ardhi nimekuuliza hata huku ardhi ni mali ya mtu au unapewa leaseYaani umetoka nje ya mada kabisa.
Ungekuwa ni mtihani wa history essay ningekata na mstari mwekundu then kwa herufi kubwa ningeandika neno OP yaani Out Of Point.
Kwamba ukienda kuosha gari lako wanaangalia ngozi yako ? Kama ndio basi hawafai hii nchi imejengwa kwa assimilation na hatu entertain ubaguzi..., na kama ndivyo usingesema wachina wamezidi bali ungesema wachina wanabagua waswahili na kuleta apartheid na kwa hilo ningeshirikiana nawe kuwakemeaSwali: Unadhani zile car wash zipo kwa ajili ya waswahili au Wachina?
Katika kitu race yoyote inakosea ni kuchanganya damu na wabongo angalia wahindi na waarabu waliochangabya damu wanavyobaguliwaKatika kitu nataka Tanzania kifanyike ni kuchanganya damu hasa na jamii za hivyo ikiwemo wachina ninaona kuna kitu kitaondoka vichwani mwa Watanzania
Macho madogo wana IQ kubwa sana.Wachina Wana plan ya mbali sana. Wachache sana watakuelewa. By the time USA wamekuja kugundua it was already too late.
Mkuu unasema CHADEMA tutaenda kuwafukuza wachina kama sera yetu.
Sishangai, kwasababu hata Mh. Mbowe katika moja ya mihadhara yake aligusia wingi wa wachina nchini pamoja na ukamataji wao wa maeneo ya uchumi nchini, na alifika mbali tu na kuonyesha takwimu.
Kinachonishangaza ni uwepo wa watu wa Ulaya katika maeneo hayo hayo uliyoyataja.
Kwanini iwe wachina tu?
Dump ni familia yako yote ilioshindwa kujikwamua kiuchumi ikafanya mtoto wa kike kama wewe kujililisha kwa wachina ili ukawatambie mashosti zako huko kwenu buza na bahati mbaya hawakuwa na shobo na wewe
Dump ndo nini sasa?
Mkuu em usini-quote tena
Dumb ni wewe na wote uliowaacha huko kwenu kyela kuja kushangaa jiji na kuuza kisimi kwa wachinaDump ndo nini sasa?
Mkuu em usini-quote tena
Tunachoweza ni kukatika mauno tu na uchawaMashkaji watu wa kuona fursa na kuzipambania, nawakubali. Sisi acha tuendelea kuwekeza kwenye uchawa, tuone kizazi chetu kitaishia wapi