Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

There is Chinatown in every major city around the globe.
Bora wajae tu kama wanawekeza na wanalipa kodi, it's about time Wahindi wapate competitors.
 
Sio mbaya so long as hatuwaachii commanding heights za economy na sisi kuwa vijakazi; sehemu nyingi kuna sehemu za wachina (their culture) since they have rich culture..., Huko USA kuna China Town nyingi tu, pale uk Birmingham kuna Chiniese Quarter...

Mimi mdau wa dunia napenda sana hii nikifeel like having a change of scenery naweza kwenda Dar hapo nakujichanganya na kujiona kama nipo Beijing; so long as sibaguliwi na ninapewa services kama mdau yoyote....

Badala ya kuogopa hao wachina naweza kukuogopa wewe au watu kama wewe ambao ni xenophobic...
 
Hawataki mabadiliko utakuta mtu ana miliki potential area na halifanyi lolote wapishe wenye kisu wakikate tu

Ova
 

Mkuu usiawachukie wageni ikiwa wameona fursa acha wafanye kwani nyie waswahili hamna restaurant China na Carwash? Au na nyie waswahili mliopo china mfukuzwe
 
Hatari gani unayo ihisi?
 
Hii si sawa kabisa. Ukifuatilia chinese mafia wanavyo launder money ndio utajua hawa wanaokuja huku kujaa watakuja kuleta uhuni kama wanaoupeleka mexico.

Garage zote za kichina boss wake mmoja huoni ni.cartel hiyo.

Wabaguzi. Wanalipa mishahara midogo. Hawakati nssf wala kodi wanabana kulipa.

Mchina ni yule aliyejenga tazara enzi.za. mwalimu.
 
Unawajua AVIC ni wachina na taasisi yao huko unaijua inahusu nini

Ova
 
Nyie mbona mmeshindwa kuiendeleza obay ,masaki mikocheni
Nyumba obay watu wanaishi wanafuga ngombe 😄
Wapisheni wenye kisu hizo potential area

Ova
 
Hujui impact yake ndo maana unashangilia mambo ya ajabu.
Najua kabisa na hasa kwa nchi kama yetu ambayo serikali haijui maana ya kuwa-protect raia wake. Tanzania mchina anaweza kuwa na haki polisi kuliko mzawa wakati sehemu kama China ni tofauti. Tatizo ni kuwa raia wetu wamelala na hwataki kuamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…