Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina

Hawa wachina wanatuharibia nchi
 
Sio mbaya kukiwa na China Town
 


China mtu ukiwa ni mgeni yani sio mchina huruhusiwi kumiliki ardhi. Wana sheria hiyo na iko kwenye Katiba yao.

Hata kumiliki apartment mpaka kupata hicho kibali ni shida sana na hata ukikipata inatakiwa iwe ni kwa ajili ya kuishi wewe tu.

Sasa kama that is the case kwanini wachina wanakuja Tanzania na serikalo yenu inawaacha wanaanzisha hadi car wash?
 

China towns ni chanzo cha matatizo makubwa sana na ndio maana ziko discouraged siku za hivi karibuni.

Ukifuatilia huko ndani ya China Towns kuna illegal businesses nyingi, kuna gangs na kuna biashara nyingi za kikahaba zinaendelea huko. Fanya a simple google seaech utagundua.

Marekani walitengenezaga kabisa sheria ili kuweza kuzi-control hizo China towns huko Los Angeles. Sijui iliishia wapi

Msipende kushabiki vitu msivyovijua
 
Nimekupinga ulivyosema kuwa mambo haya yapo TZ tu, usipotoshe watu.
 
Unaifahamu sheria ya ardhi kwa wachina wote ?
 
Nyie mbona mmeshindwa kuiendeleza obay ,masaki mikocheni
Nyumba obay watu wanaishi wanafuga ngombe 😄
Wapisheni wenye kisu hizo potential area

Ova

Kwa utajiri uliokuwa nao China, Xi Jinping akiweka USD Bilioni 10 which is 0.000001% ya GDP ya China maana yake ni kwamba Wachina wanaweza wakanunua Oysterbay na Masaki yote in a span of 5 - 10 years.

Sasa kama huoni kwamba hilo ni tatizo sina kukwambia.

Na nikuulize, kwanini kuwe na Chinatowns hao wachina wana uspecial gani mpaka wawe na ka mji kao wenyewe?
 
Tanzania haina wachina wengi kushinda Singapore, nchi za Asia hata baadhi mataifa ya ulaya na marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…