Video: Ni kama masihara hivi lakini polepole Mikocheni na Masaki zinaenda kutawaliwa na Wachina


Mkuu nimekuelewa.

So your point is kwamba kwa kuwa Wabongo hawana hela basi kwa kuwa Wachina wanazo wanaweza wakanunua Masaki, Mikocheni na Oysterbay yote, right?

Yaani maana yangu ni kwamba, kama CCP leo wakiamua kuweka USD 10 Billion, wabongo wote waondoke wakae China tu (kwa sababu wachina can manage na wabongo can't manage) hiyo kwako ni sawa?

Sijajua kama umeelewa swali langu mkuu? Nimejaribu kui-apply your logic to its full extent.
 
Acha mji uchangamke zaidi hiyo ndio future plan ku take over those eria
Ila Kumbuka wasahili wakijaa mno maahali maendeleo yanakuwa duni hivyo waache tu cha msingi upige kazi Ila kama ndio kukesha bar wkend Huko mbeleni wa bongo wataisoma number

Seriously man?

Yaani Nyerere angeona hii post angelia sana
 
Mimi ningekua na uwezo ningewafukuza wachina wote kwasababu Wachina wezi sana, Serikali ya awamu ya tano ilijitahidi kuwazibiti na kuwafungulia kesi za uhujumu uchumi, ldkini Serikali ya awamu ya sita inawakumbatia na kuwapa Madini yetu wachimbe kwa Shilingi laki tano tu kwakigezo cha uwekezaji.
 
Kwa mujibu wa sheria yetu ya mwaka 1997 juu ya suala la kuuza eneo/ardhi hairuhusu kumuuzia mgeni ardhi bali inaruhusu kuwapa eneo kwaajili ya uwekezaji…

Ikiwa wanaingiza mapato kwa taifa sio mbaya ila ni mbaya kama hawatunafaishi.

Kama raia tunapaswa kubana uongozi kwa kujua mapato na matumizi kama yanaenda inavyopaswa ndo maana tunapaswa kuwa na viongozi wenye weledi na wazalendo.

Mgeni anakaribishwa lakini anapaswa kupukuchuliwa vilivyo ili achague kama anakaa au anabaki na si kumfukuza kwa kuwa wapo wengi.

Issue ni kwamba nchi yetu ina makandokando mengi sana ndo sababu hata ongezeko lao linatia wasiwasi ni kama kuna sehemu kuna pengo linalofanya pawe kama shamba la bibi ambapo shida hapo sio wao maana wao wanaangali palipo na fursa mkiwapa mwanya hawauchezei.
 
Umezunguka kumbe chuki zako za kijinga zimekujaa
 
Nani kapanic ujue unaandika ujinga halafu unajichekesha chekesha kama mwehu
 
Halafu na nyie mkifukwazwa kwao so stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…