nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Mlisema Chadema imekufa, ikapitaHasira gani tena!?, huo ni moto wa magazeti. Mwisho wake ni jumanne wiki ijayo. Najua utarudi hapa na thread kibao huku umefura na ID tofauti tofauti.
Kuapishwa hakumaanishi ushindi bali ubababe na uhuni wa ccmMwisho wa siku Magufuli ataapishwa, Lisu anabaki kuwa makamu mwenyekiti wa chadema,
Ona haya mafuriko na maelfu ya watu enzi za dr Slaa 2010
[emoji116][emoji116]View attachment 1540660View attachment 1540661View attachment 1540662View attachment 1540663
Wale wa kule Hai walikuwa wanawapa ulinzi wavuta bangi waliokodiwa kuja kuanzisha vurugu.
Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.
Mashetani mnachekesha sana. Watu wenyewe ni kidogo sana, halafu kusindikizwa na polisi nayo imekuwa issue, mbona hiyo ni hali ya kawaida tu, kila mgombea urais anapata kinga tena akiomba mpaka TISS wanamlinda. Nyie idiot sana. Mnapenda kukuza vitu vidogo vidogoHakika kuna Nguvu ya Mungu(Power of Nature) iliyo nyuma ya Lissu.
HUU NI WAKATI WA KAMPENI... SUBIRI KAMPENI ZIANZE NDO ULINGANISHE MKUU...Mwisho wa siku Magufuli ataapishwa, Lisu anabaki kuwa makamu mwenyekiti wa chadema,
Ona haya mafuriko na maelfu ya watu enzi za dr Slaa 2010
[emoji116][emoji116]View attachment 1540660View attachment 1540661View attachment 1540662View attachment 1540663
Demokrasia Tanznia imekomaa.
Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.
Lisu ameanza kampeni mapema kinyume na sheria za uchaguzi.
Ajitahidi kuzingatia sheria
Hakika kuna Nguvu ya Mungu(Power of Nature) iliyo nyuma ya Lissu.
Tutachanga kama tulivyowachangia kina Mbowe. Swali lingine tafadhaliMkuu atakayeapishwa ni JPM, mwaka 2015 tulibet nikawapiga ela nyingi, waliamini Lowassa atakuwa Rais, mwaka huu bado natafuta ajipendekeze akiamini Lissu anaweza kuwa Raisi. Iwe mvua iwe jua, Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi hii, na soon pesa ya kampeni inakata.
Lowassa na kujiandaa kote September katikati 2015 alianza kuomba michango, Lissu hata pesa za uzinduzi wa kampeni sijui kama zitakuwepo. Hakuna mtu atakayewekeza kwa mtu ambaye tayari kashafeli.
Sasa Mwanza kulitokea nini?Hakika kuna Nguvu ya Mungu(Power of Nature) iliyo nyuma ya Lissu.
Unateseka sana!Nlikuwa nakuzibua tu hizo akili kwamba mafuriko si lolote!
Subiri oktobaUnateseka sana!
Usinifokee!Wee jamaa ni lofa kwelikweli kumbe hujui kuwa ushindi wenu unatokana na wizi
Police mikumi agiza kinywaji nakuja kulipa
Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.
Kikubwa ushindiNdio mjue siku zote huwa mnashinda kwa wizi/hila na si vinginevyo.
2010 hadi 2015 wenzio walitoa hadi sadaka za shukrani kwa kusema Mungu alimuweka kikwete ccm ili ifie mkononi mwakeMungu alipanga mwisho wa CCM kwa namna ambayo akili ya mwanadamu haiwezi kuelewa kirahisi. Aliamua aje mtu mgeni kwenye chama (Magufuli) ambaye atawanyang'anya chama wakongwe (Makamba, Kinana, Kikwete, Membe nk) na kuingiza watu wake wapya (Bashiru, Makonda, Polepole).
Hawa wapya kwa namna yake watakivuruga chama na misingi yake kwa maagizo yake Mafufuli. Wataleta chuki na maovu kama utekaji (Mo Dewji, Roma ) na uuaaji (Ben Sanane, Azory Gwanda nk).
Halafu watamshambulia mmoja wa viongozi wa upinzani (Lissu) kwa risasi za bunduki ya vita lakini mtu huyo hatokufa. Nchi nzima itashangaa namna mtu huyo alivyoshambuliwa, kunyimwa matibabu, kunyang'anywa mshahara kisha kufukuzwa ubunge.
Wanaposhangaa hayo na kumhurumia ndiyo watataka awe Rais wao wa 2020-25
Mungu ana sababu kwa kila jambo. Mwisho wa CCM ni mwaka huu. Alilopanga Mungu Binadamu hawezi kubadilisha. Hata kama NEC itaiba kura na kumtangaza Maguduli, nguvu ya umma itamtoa tu Ikulu. Wananchi wamechoka maonezi, dhuluma, ukandamizaji, ubaguzi na dharau
Mungu kasimama upande wa LISSU hata wakusanye wapiga manyanga Mungu yuko kwa LISSU TU
Inafurhisha sana!Wakati huo ilikuwa mkiiba kura wanamuachia Mungu.
#SASABASI
Hii ni baada ya juzi siro kwenye kipindi kinachorushwa na ITV cha dakika 45 kamanda siro alisema atampatia hadi mlinzi.
Hiyo ni Mikumi, Morogoro siku ya jana akiwa njiani kuelekea Iringa.