Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

Hii barabara inatumika pia kama emergency, chukulia ndugu yako amepandishwa kwenye ambulance na mnawahi labda muhimbili mnazuiwa hivyo na anatumia oxgen au pili nyumba yako inaungua moto alafu.zima moto wanazuiwa hivyo au hata pia wamepewa taarifa kuna mahali kuna panya road wanakuja alafu mnawazuia alafu kesho yake aliyejeruhiwa ni ndugu yako.

sio sawa.
Hao polisi walikuwa na emergency? Mnaongea kama hamuwajui hao polisi. Hao wanaweza kuamua tu kupita wrong side kisa hawataki kusubiri taa!
 
Kwani bara bara za dharura si zipo?
Kwanini upite kwenye mwendokasi
 
Na dharura pia pale inapobidi.
Hakuna dharura kwa barabara ya mwendokasi na uzuri polisi wametoa tamko na wanasema hakuna gari au chombo chochote kinachoruhusiwa kupita barabara ha mwendokasi zaidi ya mabasi ya mwendokasi
20220916_003622.jpg
 

Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima?

Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya mwendokasi kituoni halafu hawa FFU wakawa karibu! najua watu wa mwendokasi watawakimbiloa polisi wawasaidie!

Mbona hizo mwendokasi zinapita tu barabara za Kimara mpaka Kibaha tena mwendo zaidi ya 50 na hawasimami kwenye Zebra ila polisi wanawachukulia poa tu?

What if walikiwa wanaenda kuzuia uhalifu?! Je, unaona unastahili kuongoza jiji hili?

Kwa hiyo mnataka AMBULANCE, MAJESHI YA ULINZI, POLISI, MADAKTARI wasipite mwendokasi wajae kwenye foleni huko?

View attachment 2358269
Polisi wasingetoa tamko
 
Kwa hali hii panya road watatuua mwaka huu kama raia ataki polisi wafanye kazi zao kwa haraka afu panya road wakiuwa watu na kupora watu mnalalamikia polisi tena
Eeh mungu wabariki hawa wabongo na vichwa vyao vibovu
 
Subiria na polisi wapate uthubutu utakuja kuleta mrejesho
Msemaji wa polisi amewaonya kama hamtofata sheria za nchi.

Ni muhimu kuheshimiana. Hicho walichofanya FFU hao ndio ustarabu wenyewe ingekuwa zamani kabla ya Rais Samia kuwaonya kuhusu utii wa sheria huyo mfanya kazi wa UDART leo angelala kinondoni Hananasif kule.

Nimependa jinsi Mamlaka ya Polisi ime respond kwenye hili.
 
Angezuia gari la jeshi la wananchi hvyo angeona moto, unakula kipigo na kamera zenu na akuna hatua inayochukuliwa.
Unajua tunawadharau sana polisi sababu tumewazoea ila sio wale miamba jwtz
 
Back
Top Bottom