BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
...Watanzania Wengi ni Wastaarabu. Tunapisha Ambulance, Zimamoto na Polisi zikiwa na Dharura.Hii barabara inatumika pia kama emergency, chukulia ndugu yako amepandishwa kwenye ambulance na mnawahi labda Muhimbili mnazuiwa hivyo na anatumia oxgen au pili nyumba yako inaungua moto halafu zima moto wanazuiwa hivyo au hata pia wamepewa taarifa kuna mahali kuna panya road wanakuja halafu mnawazuia halafu kesho yake aliyejeruhiwa ni ndugu yako.
sio sawa.
Magari yote hukaa Kando ili kupisha Wapite. Tulianzia Tena kuwatafutia njia Kushoropa, tuvunja Sheria Zetu Wenyewe..Barabara ya Mwendokasi Ibaki ya Mwendokasi!!