Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

Sasa mkuu Hilo tamko si limetolewa na hao hao polisi wanaoelewa vizuri taratibu na mipango Yao kuliko Mimi na wewe?

Kama mambo yangekua rahisi hivyo msafara wa rais ungekua unapita kwenye barabara ya mwendo kasi tu.
 
Yap! Sio kwamba polisi Wana kibali muda wote chakuouta au wanadharura muda wote kama ilivyoelezwa na mchangiaji mmoja hapo juu.

Hii iwe ni Kwa kibali maalum pale inapotokea Kuna dharura. Nimeshukudia gari za serikali na baadhi zenye namba za diplomat zikipita kwenye barabara za mwendo kasi bila ulazima wowote.

Naamini Kwa tamko la msemaji wa polisi, hizo kero zitapungua.

Pia IGPPP kuongelea suala la Panya rodi wakati hofu imetamalaki na matukio yakizidi kushamiri huku kukiwa hakuna kitu Cha maana ambacho wao wamekufanya kukabiliana au kudhibiti hao jamaa ni kuleta siasa kwenye mambo ya msingi.
 
Msomaji wa Polisi alikurupuka. Polisi Wana mamlaka hata ya kuyasimamisha magari ya mwandokasi na kuyatumia wakati wa dharura kama vita na kuokoa watu.
Mfano imetokea ajlia na majeruhi ni wengi hakuna na ya kuwawahisha muhimbili basi ni kukamata gari za mwendo Kasi na kupakia majeruhi.

Huyo Msemaji ni tatizo.
Kuna wakati ule wa Sakata la Trafiki na Kauli ya Kinana. Pia alikurupuka kujibizana na Kinana wakati Kinana ni Mwanasiasa. Kinana kazi yake ni kuwapigania wapiga kura wa chama chake na Polisi kazi yao ni kusimamia SHERIA sio kupigania Chama Wala kufanya kazi Kwa maelekezo ya Chama.

Kama Rais angesema kuwa Trafiki wamekuwa wengi Barabarani Ile ingekua ni maelekezo ya serikali na amiri Jeshi mkuu lakini kauli ya Kinana ni kauli ya Chama. Na Polisi hawapokei maelekezo ya Chama. Hawakupaswa kujitokeza na kujibu kauli ya Chama.

FFU hawapitagi Barabarani kama maonyesho au watalii TU au wazururaji. Kazi zao zote huwa zinafanyika Kwa haraka na Kwa wakati ndio maana ya kuzuia.

Hata wakati wa Mwalimu waliovuruga zoezi la mapinduzi walikua ni kikosi Cha kuzia ghasia. Ndio maana Kwa Miaka yote kinaheshimika sana . Na vikosi vya kuzuia ghasia vipo ndani ya majeshi yote , Magereza,JWTZ na Polisi. Ndio maana hayo majeshi yanarhusiwa kupita popote.

Punda kabisa.
Hivi Polisi wakipewa Taarifa kuwa ndani ya Basi la Mwendo Kasi Kuna Gaidi watafanyaje kazi yao?
Nauliza Hilo swali na wote tujaribu kuuliza.

Uhalifu wa kimataifa una Siri nyingi sana.
Mara nyingi huanza Kwa kupunguza nguvu ya vyombo ya Dola. Watakuambia ondoa Polisi na wanajeshi kwenye uwanja wa ndege kwani wanatisha wasafiri, ondoa Polisi bandarini,ondoa Polisi benki, ondoa vizuizi vya Polisi n.k.

Alama ya uzalendo ni majeshi yetu sisi Watanzania.
Tukiachana na vitendo vya rushwa Kwa askari wetu lakini Kwa askari wa FFU ni kati ya askari wazalendo sana kuliko hao wezi wa mwendokasi wanopaki magari na kuondoa Moja Moja na kuchelewesha watu inakua Bora kupanda Daladala.

Ni mainjinia UCHWARA TU katika ujenzi wa Barabara na miundo mbinu lakini Dar es salaam sio mji wa kuwa na Foleni.
 
Yap! Sio kwamba polisi Wana kibali muda wote chakuouta au wanadharura muda wote kama ilivyoelezwa na mchangiaji mmoja hapo juu.

Hii iwe ni Kwa kibali maalum pale inapotokea Kuna dharura. Nimeshukudia gari za serikali na baadhi zenye namba za diplomat zikipita kwenye barabara za mwendo kasi bila ulazima wowote.

Naamini Kwa tamko la msemaji wa polisi, hizo kero zitapungua.

Pia IGPPP kuongelea suala la Panya rodi wakati hofu imetamalaki na matukio yakizidi kushamiri huku kukiwa hakuna kitu Cha maana ambacho wao wamekufanya kukabiliana au kudhibiti hao jamaa ni kuleta siasa kwenye mambo ya msingi.
Iko wazi gari za Kijeshi zinapokuwa kwenye shughuli za Kijeshi zinaweza sio TU kupita hata kuifunga hiyo njia ya wasanii wa mwendo Kasi.

Msemaji wa Polisi naye amekosea alipaswa afafanue SHERIA ya usalama Barabarani lakini pia aangalie SHERIA ya usalama . Lakini pia akataze vyombo visivyoruhusiwa kupita visipite sio kujumlisha vyombo vyote.
Wanajeshi wansafirisha Vifa vya milipuko wanrujusiwa sio TU kupita njia hiyo hata No entry sio kukaa foleni.Wanachopaswa kufanya ni Dereva kufuata kanuni za kuepusha ajali na madhara Kwa wengine.

Hivi akitokea Gaidi kapanda basi la Mwendo Kasi au Jambazi, itabidi Polisi wakaombe Kibali Kwa Raia wa kampuni ya usafirishaji we have been F^¢£kd [emoji35][emoji35].
 
Ndio hapo niliposema tunaleta siasa kwenye Kila jambo.

Nje ya mada kidogo, umeshuhudia matamko kuhusu Samaki, kuku, mafuta yalivyoleta taharuki kwenye jamii? Ni kama watu wanaongea kwanza Kisha wanaofikiria kuhusu walichoongea.

Huyo msemaji izingatiee ni WA Chombo Cha usalama ambacho Kwa mujibu wa hiyo clip inayosambaa, kimevunja sheria. Ilitakiwa utulivu wa Hali ya juu kabla ya kutoa tamko. Sasa Kwa Hali ilivyo, IGP , Msemaji na DART ni kama Wana maelekezo tofauti Kwa umma. IGp na DART waliweka wazi Kwa utaratibu au busara kufuatwa kulingana na mazingira yalivyo, msemaji ameenda kama roboti, hakuna gari yeyote ile isipokua mabasi ya mwendokasi tu ndio yanapaswa kupita hiyo njia. Sasa najiuliza, siku zote hizi magari ya Serikali na baadhi ya watu binafsi yanapita kwenye hizo barabara mbona hao polisi hawajawahi kuchukua hatua stahiki? Tena wakati mwingine magari ya maji kabisa yanahusika.
 
Wewe either ni mtoto sana au una matatizo ya akili. Polisi wenyewe wameona kilichofanyika hakukua sawa wameyoa tamko na wameomba radhi nakusisitiza hiyo barabara ni kwa ajili ya mwendokasi tu.

Haya ya kulazimishwa ndio uamegharimu uhai wa DED juzi.

Mwisho kabisa polisi wana vitengo tofauti, hao waliopo kwenye garini FFU huwa hawafanyi kazi ya kutafuta wahalifu mtaani. Hao siku zote hubebwa hivyo kweye gari na kupelekwa kwenye lindo hasahasa kwenye mabenki
We ndio tahila kabisa ,unasema hao FFU kuwa hawafanyi kazi ya kutafuta wahalifu mtaani, na wale wanaodhibiti fujo mtaani baada ya police wa kawaida kushindwa wanaitwaje labda we kilaza?! Kumbuka kufanya fujo mtaani hili kushinikiza Jambo fulani kinyume Cha sheria Ni uhalifu pia na wanaoshiriki wanaitwa wahalifu!

Kwanza huna adabu binti, Mimi sawa na babu yako, sio mtoto
 
Iko wazi gari za Kijeshi zinapokuwa kwenye shughuli za Kijeshi zinaweza sio TU kupita hata kuifunga hiyo njia ya wasanii wa mwendo Kasi.

Msemaji wa Polisi naye amekosea alipaswa afafanue SHERIA ya usalama Barabarani lakini pia aangalie SHERIA ya usalama . Lakini pia akataze vyombo visivyoruhusiwa kupita visipite sio kujumlisha vyombo vyote.
Wanajeshi wansafirisha Vifa vya milipuko wanrujusiwa sio TU kupita njia hiyo hata No entry sio kukaa foleni.Wanachopaswa kufanya ni Dereva kufuata kanuni za kuepusha ajali na madhara Kwa wengine.

Hivi akitokea Gaidi kapanda basi la Mwendo Kasi au Jambazi, itabidi Polisi wakaombe Kibali Kwa Raia wa kampuni ya usafirishaji we have been F^¢£kd [emoji35][emoji35].
Majinga haya kina Countrywide
 
Una matatizo makubwa mno ya akili. Umekua mtu mjinga na mpumbavu uliyepitiliza.

Polisi wenyewe wenye dhamana na kusimamia sheria za barabarani wanakiri wamekosea hawapaswi kupita hapo. Na wametoa tamkoa kulaani kilichotokea. Ila wewe mpumbavu wa mwisho bado tena unakataa
We ni muhalifu ndiomaana una chuki na polisi
 
Jana tu nimeshuhidia msafara wa msiba unapita mwendo kasi
 
Nadhani msemaji kajisemea yeye kama yeye. Ila ukweli unabaki pale pale, kwa mazingira ya miundombinu yetu hizo barabara zitatumika tu panapokuwa na dharula. Alichokitolea ufafanuzi ni siasa aseme wamewachukulia hatua gani hao polisi???? Ni bora angetoa ufafanuzi wa jambo husika. Haya mambo ya kukopy na kupaste toka nchi zilizoendelea yana madhara sana. Nchi za wenzetu unakuta kila upande njia nnne na kuna mwendokasi na kuna barabara zingine maalumu za taxi etc, wewe leo una njia moja tu eti unaanza kulalama.
huyo msemaji kaleta siasa tu
 
Polisi wameshazoea kuishi maisha ya kujiamulia watakavyo, hata wakiwa wanaenda kucheza mechi za ndondo cup watawasha ving'ora na kupita kwa kuforce kujionyesha wao ni miamba sana.
Kuna siku nilikoswa busa na Basi la Polisi lililokuwa linasambaza askari wa lindo, lilikuwa linapita wrong site kwa mwendo mkubwa sana.
Niliangalia kushoto nikajua kabisa kulia hakuwezi kutokea gari yoyote maana haziruhusiwi, kuingiza mguu barabarani Police Bus hilo hapo nikafanikiwa kurudia nyuma, na kama lingenipata naona ningezolewa kwa mabeleshi.
 
Una matatizo makubwa mno ya akili. Umekua mtu mjinga na mpumbavu uliyepitiliza.

Polisi wenyewe wenye dhamana na kusimamia sheria za barabarani wanakiri wamekosea hawapaswi kupita hapo. Na wametoa tamkoa kulaani kilichotokea. Ila wewe mpumbavu wa mwisho bado tena unakataa
 
Ngoja tuone, zinapitaga gari zina nembo ya Adam na Hawa, na zingine zina Nyota na hua hazifanywi chochote...
 
Kama Kuna kada ya watu wanaoongoza kuvunja SHERIA Kila siku ni POLISI wanaoongoza.

Huwa Wanajiona kwamba SHERIA haziwahusu kabisa wako juu ya SHERIA

Wanawajibishana pale tu ishu zako zikivuja public.

Hawa jamaa ni waajabu sana.
 
Kwani hiyo ni barabara ya dharula au ya mabasi ya mwendokasi?
Itakuwa ni kichekesho kama kuna tukio kubwa eg ujambazi na barabara za kawaida zikiwa na foleni, polisi wazuiwe kupita kwenye barabara ya mwendokasi. Duniani kote kote polisi, zimamoto na hata ambulance huruhusiwa kupita hata sehemu zinazotumiwa na tram ili tu wawahi kunapokuwa na dharura.
 
Soma sheria za matumizi ya hizo barabara. Acheni mazoea. Mkiona kifoleni kidogo tu mnarukia njia ya mwendokasi au wrong way.
Gari za zimamoto na ambulance zinaruhusiwa kupita wakati wa dharula nyingi mliozoea kipindi sheria mpaka kibali.
 
Stupidity at its best!
Hii nchi huwa tunawaza kwa kutumia nini? Yani unakaa kabisa na akili timamu unashauri watu wawe wanaruhisiwa kukatiza na magari kwa sababu tu ni kada fulani?

Wakuu iko hivi: inapokua dharura kama ni zimamoto au gari la wagonjwa au dharura ya kiusalama inaeleweka na hakuna ambaye hapendi askari wapite .

Ila hili la kusema flani apite ni la hovyo vipi mmewaza daktari aliyeitwa kwenye emergence naye angepita hapo?

Tuacheni vituko!
 
Back
Top Bottom