Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

Sheria ndo hiyo sasa sijui nani yupo sawa kati ya msemaji wa polisi na sheriaView attachment 2358404View attachment 2358405
IMG-20220916-WA0007.jpg
 
Mimi bado naona Kama amekosea! Hivi unajua Kuna siku gari ya mwendokasi ilimgonga mwendesha bodaboda, na raia wakataka kufanya fujo, haohao walinzi wa mwendokasi wakawapigia polisi wawai haraka,
Hiyo sasa ndio kazi yao na ndio maana aliwapigia. Kazi yao sio kuvunja sheria na kupita kokote. Nchi hii walinda sheria wanaongoza kwa kuvunja sheria
 
Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima?

Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya mwendokasi kituoni halafu hawa FFU wakawa karibu! najua watu wa mwendokasi watawakimbiloa polisi wawasaidie!

Mbona hizo mwendokasi zinapita tu barabara za Kimara mpaka Kibaha tena mwendo zaidi ya 50 na hawasimami kwenye Zebra ila polisi wanawachukulia poa tu?

What if walikiwa wanaenda kuzuia uhalifu?! Je, unaona unastahili kuongoza jiji hili?

Kwa hiyo mnataka AMBULANCE, MAJESHI YA ULINZI, POLISI, MADAKTARI wasipite mwendokasi wajae kwenye foleni huko?

View attachment 2358269

========================
Baada ya video inayoonesha askari Polisi wakizozana na walinzi wa barabara ya mwendokasi kusambaa mitandaoni, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa hakuna aliyejuu ya Sheria.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, SACP David Misime amesema wanatoa onyo kali na kuwa hakuna chombo chochote cha moto, baiskeli, mkokoteni au guta kupita katika barabara ya mwendo kasi.

Amesema bila kujali cheo cha mtu, yeyote atakayekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua
kwa hiyo ambulance, zima moto nazo marufuku?...nchi hii ni ngumu sana
 
Kwa hiyo afande anawakoromea hadi majaji, maana niliona gari ya jaji inapita mwendokasi........labda tuseme mkuu wa bakabaka au IGP naye kaamua kutumia mwendokasi, huu mkwara wa afande nao unamhusu? au tuseme chifu hangaya kaamua kutumia barabara ya mwendokasi na yeye hili karipio linamhusu? Vipi ambulance ambao kisheria wanapewa kipaumbele kutumia barabara na wao wamepigwa stop?​
 
Ambulance ni special case sana.... kwa majeshi unless kuna emergency.
kwahiyo wawe na kipaza sauti wanadi " jamani tuna emergency tafadhali tunaomba idhini yenu kupita Kuna tukio la ujambazi tunaenda kulizima 📢📢📢📢🎤
 
Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima?

Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya mwendokasi kituoni halafu hawa FFU wakawa karibu! najua watu wa mwendokasi watawakimbiloa polisi wawasaidie!

Mbona hizo mwendokasi zinapita tu barabara za Kimara mpaka Kibaha tena mwendo zaidi ya 50 na hawasimami kwenye Zebra ila polisi wanawachukulia poa tu?

What if walikiwa wanaenda kuzuia uhalifu?! Je, unaona unastahili kuongoza jiji hili?

Kwa hiyo mnataka AMBULANCE, MAJESHI YA ULINZI, POLISI, MADAKTARI wasipite mwendokasi wajae kwenye foleni huko?

View attachment 2358269

========================
Baada ya video inayoonesha askari Polisi wakizozana na walinzi wa barabara ya mwendokasi kusambaa mitandaoni, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa hakuna aliyejuu ya Sheria.

Msemaji wa Jeshi la Polisi, SACP David Misime amesema wanatoa onyo kali na kuwa hakuna chombo chochote cha moto, baiskeli, mkokoteni au guta kupita katika barabara ya mwendo kasi.

Amesema bila kujali cheo cha mtu, yeyote atakayekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua
Wewe utakuwa polisi...sheria ni sheria na ndo maana Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi.....Hongera sana kwa Jeshi la polisi..
Tunataka jeshi ambalo ni mfano kwenye utii wa sheria....

Masuala ya dharula yana taratibu zake...na uendeshaji wake unajulikana....mbona hata gari binafsi huku barabarani zikionesha ishara kama kuna shida, tunazipisha tu....
Tuache kuishi kwa mazoea....sheria ni sheria..
 
Huyu mlinzi wa barabara za mwendokasi Hana adabu kabisa au alikuwa anataka sifa, Hawa kikosi Cha Askari wa Field Force unit Mara nyingi hawana tabu,na ukiona wamejazana hivyo kwenye gari zao ujue wanawai tukio sehemu, au wanaenda kwenye lindo either hata Ikulu, na kingine sasaivi Kuna oparation ya panyarodi usikute wanaenda kuwakamata sehemu,

Mimi nashauri huyo mlinzi wa barabara za mwendokasi atiwe adabu hili hawe na nidhamu, tofauti na hapo Wengine nao wataiga huo ujinga na dharau
Wewe either ni mtoto sana au una matatizo ya akili. Polisi wenyewe wameona kilichofanyika hakukua sawa wameyoa tamko na wameomba radhi nakusisitiza hiyo barabara ni kwa ajili ya mwendokasi tu.

Haya ya kulazimishwa ndio uamegharimu uhai wa DED juzi.

Mwisho kabisa polisi wana vitengo tofauti, hao waliopo kwenye garini FFU huwa hawafanyi kazi ya kutafuta wahalifu mtaani. Hao siku zote hubebwa hivyo kweye gari na kupelekwa kwenye lindo hasahasa kwenye mabenki
 
Humu jamii forum hakuna mitihani ya kuchuja kuwa wenye akili tu ndo muwepo. Huna namna zaidi ya kuishi na watu aina zote humu, jikaze.
Una matatizo makubwa mno ya akili. Umekua mtu mjinga na mpumbavu uliyepitiliza.

Polisi wenyewe wenye dhamana na kusimamia sheria za barabarani wanakiri wamekosea hawapaswi kupita hapo. Na wametoa tamkoa kulaani kilichotokea. Ila wewe mpumbavu wa mwisho bado tena unakataa
 
Mamlaka husika inatakiwa hili swala kuliangalia upya, na kutoa ufafanuzi
Kuna watu huwa pengine mna matatizo ya akili. Ufafanuzi wa nn? Dereva yoyote anajua Sheria za barabarani zipoje

Hata hivyo mamlaka imeshatoa ufafanuzi na wamekiri hao polisi wamekosea kupita hapo. Sasa unataka ufafanuzi gani tena? Wenzetu mna ubongi huu huu au mna shida nyingine?
 
Una matatizo makubwa mno ya akili. Umekua mtu mjinga na mpumbavu uliyepitiliza.
Acha kukimbizana na wajinga na wapumbavu, wenye akili kubwa kama zako wanapuuza hoja za wajinga na wapumbavu, nshakueleza humu JF hakuna mtihani wa kuwachuja wenye akili kubwa ndo mbaki,tupo wote. Elewa hilo na kubaliana na hali. Jikite kwenye hoja zinazolingana na ukubwa wako wa akili, usijishushe. 😀
 
Mimi cjaelewa, ina maana hata askari hawaruhusiwi kupita.?
 
Mm siku niwe kwenye jezi zangu za operation naalafu wanizuie waone namfumua mtu AK ya kichwa...hawa suma JKT bure kabisa hawa...
Jaribu hata saa saba mchana!!!

Mfumo HAULEI ....unanyoosha
 
Back
Top Bottom