mahenda255
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 513
- 691
Sheria ndo hiyo sasa sijui nani yupo sawa kati ya msemaji wa polisi na sheriaView attachment 2358404View attachment 2358405
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo sasa ndio kazi yao na ndio maana aliwapigia. Kazi yao sio kuvunja sheria na kupita kokote. Nchi hii walinda sheria wanaongoza kwa kuvunja sheriaMimi bado naona Kama amekosea! Hivi unajua Kuna siku gari ya mwendokasi ilimgonga mwendesha bodaboda, na raia wakataka kufanya fujo, haohao walinzi wa mwendokasi wakawapigia polisi wawai haraka,
kwa hiyo ambulance, zima moto nazo marufuku?...nchi hii ni ngumu sana
Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima?
Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya mwendokasi kituoni halafu hawa FFU wakawa karibu! najua watu wa mwendokasi watawakimbiloa polisi wawasaidie!
Mbona hizo mwendokasi zinapita tu barabara za Kimara mpaka Kibaha tena mwendo zaidi ya 50 na hawasimami kwenye Zebra ila polisi wanawachukulia poa tu?
What if walikiwa wanaenda kuzuia uhalifu?! Je, unaona unastahili kuongoza jiji hili?
Kwa hiyo mnataka AMBULANCE, MAJESHI YA ULINZI, POLISI, MADAKTARI wasipite mwendokasi wajae kwenye foleni huko?
Baada ya video inayoonesha askari Polisi wakizozana na walinzi wa barabara ya mwendokasi kusambaa mitandaoni, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa hakuna aliyejuu ya Sheria.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, SACP David Misime amesema wanatoa onyo kali na kuwa hakuna chombo chochote cha moto, baiskeli, mkokoteni au guta kupita katika barabara ya mwendo kasi.
Amesema bila kujali cheo cha mtu, yeyote atakayekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua
Ambulance ni special case sana.... kwa majeshi unless kuna emergency.Kwa hiyo mnataka AMBULANCE, MAJESHI YA ULINZI, POLISI, MADAKTARI wasipite mwendokasi wajae kwenye foleni huko?
We unafikir hapo hakukuwa na dharura?Ambulance ni special case sana.... kwa majeshi unless kuna emergency.
kwahiyo wawe na kipaza sauti wanadi " jamani tuna emergency tafadhali tunaomba idhini yenu kupita Kuna tukio la ujambazi tunaenda kulizima 📢📢📢📢🎤Ambulance ni special case sana.... kwa majeshi unless kuna emergency.
Wewe utakuwa polisi...sheria ni sheria na ndo maana Jeshi la Polisi limetoa ufafanuzi.....Hongera sana kwa Jeshi la polisi..
Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima?
Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya mwendokasi kituoni halafu hawa FFU wakawa karibu! najua watu wa mwendokasi watawakimbiloa polisi wawasaidie!
Mbona hizo mwendokasi zinapita tu barabara za Kimara mpaka Kibaha tena mwendo zaidi ya 50 na hawasimami kwenye Zebra ila polisi wanawachukulia poa tu?
What if walikiwa wanaenda kuzuia uhalifu?! Je, unaona unastahili kuongoza jiji hili?
Kwa hiyo mnataka AMBULANCE, MAJESHI YA ULINZI, POLISI, MADAKTARI wasipite mwendokasi wajae kwenye foleni huko?
Baada ya video inayoonesha askari Polisi wakizozana na walinzi wa barabara ya mwendokasi kusambaa mitandaoni, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa hakuna aliyejuu ya Sheria.
Msemaji wa Jeshi la Polisi, SACP David Misime amesema wanatoa onyo kali na kuwa hakuna chombo chochote cha moto, baiskeli, mkokoteni au guta kupita katika barabara ya mwendo kasi.
Amesema bila kujali cheo cha mtu, yeyote atakayekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua
Watu wanajiamulia tumambo mengine ya ajabu na aibu sana, hii ndio shida ya INCOMPETENCE kwenye mifumo
Wewe either ni mtoto sana au una matatizo ya akili. Polisi wenyewe wameona kilichofanyika hakukua sawa wameyoa tamko na wameomba radhi nakusisitiza hiyo barabara ni kwa ajili ya mwendokasi tu.Huyu mlinzi wa barabara za mwendokasi Hana adabu kabisa au alikuwa anataka sifa, Hawa kikosi Cha Askari wa Field Force unit Mara nyingi hawana tabu,na ukiona wamejazana hivyo kwenye gari zao ujue wanawai tukio sehemu, au wanaenda kwenye lindo either hata Ikulu, na kingine sasaivi Kuna oparation ya panyarodi usikute wanaenda kuwakamata sehemu,
Mimi nashauri huyo mlinzi wa barabara za mwendokasi atiwe adabu hili hawe na nidhamu, tofauti na hapo Wengine nao wataiga huo ujinga na dharau
Una matatizo makubwa mno ya akili. Umekua mtu mjinga na mpumbavu uliyepitiliza.Humu jamii forum hakuna mitihani ya kuchuja kuwa wenye akili tu ndo muwepo. Huna namna zaidi ya kuishi na watu aina zote humu, jikaze.
Inategemea kama mtoto tu wa simbachawene mlimuogopa hata hao uwezo wa kuwafanya hivyo hunaMm siku niwe kwenye jezi zangu za operation naalafu wanizuie waone namfumua mtu AK ya kichwa...hawa suma JKT bure kabisa hawa...
Kuna watu huwa pengine mna matatizo ya akili. Ufafanuzi wa nn? Dereva yoyote anajua Sheria za barabarani zipojeMamlaka husika inatakiwa hili swala kuliangalia upya, na kutoa ufafanuzi
Acha kukimbizana na wajinga na wapumbavu, wenye akili kubwa kama zako wanapuuza hoja za wajinga na wapumbavu, nshakueleza humu JF hakuna mtihani wa kuwachuja wenye akili kubwa ndo mbaki,tupo wote. Elewa hilo na kubaliana na hali. Jikite kwenye hoja zinazolingana na ukubwa wako wa akili, usijishushe. 😀Una matatizo makubwa mno ya akili. Umekua mtu mjinga na mpumbavu uliyepitiliza.
Soma hili tamko la polisi, jibu utalipata.Mimi cjaelewa, ina maana hata askari hawaruhusiwi kupita.?
Kwa nlivoelewa n mabasi ya mwendo kasi ndio yanatakiwa kupita tuu na sio chombo kingine cha moto.Soma hili tamko la polisi, jibu utalipata.
View attachment 2358499
Naamini jibu umelipata kwakuwa kusoma unajua. Ila Kama unahitaji ufafanuzi zaidi ya ulichokisoma hapo basi una tatizoKwa nlivoelewa n mabasi ya mwendo kasi ndio yanatakiwa kupita tuu na sio chombo kingine cha moto.
Jaribu hata saa saba mchana!!!Mm siku niwe kwenye jezi zangu za operation naalafu wanizuie waone namfumua mtu AK ya kichwa...hawa suma JKT bure kabisa hawa...