Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Jiulize swali dogo tu!!
Kwa nn wanawazuia kupita jibu la hilo swali litakupa mwelekeo kama Kuna ruhusa ya dharura au la??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jiulize swali dogo tu!!
Kwa nn wanawazuia kupita jibu la hilo swali litakupa mwelekeo kama Kuna ruhusa ya dharura au la??
Sasa mkuu Hilo tamko si limetolewa na hao hao polisi wanaoelewa vizuri taratibu na mipango Yao kuliko Mimi na wewe?
Kama mambo yangekua rahisi hivyo msafara wa rais ungekua unapita kwenye barabara ya mwendo kasi tu.
Sehemu ambazo hakuna mwendokasi uwa mnapita hewani?
hawakosi jambo mkuu. Gari la polisi lenye watu wawili laweza sababisha ajali ya maelfu ya watu so mi naona tamko limeangalia msumenoBadala ya kusimamia Sheria mnakuwa wa Kwanza kuvunja Sheria.
Ajabu Sana.
Msomaji wa Polisi alikurupuka. Polisi Wana mamlaka hata ya kuyasimamisha magari ya mwandokasi na kuyatumia wakati wa dharura kama vita na kuokoa watu.Soma hapa chiniView attachment 2358839
Iko wazi gari za Kijeshi zinapokuwa kwenye shughuli za Kijeshi zinaweza sio TU kupita hata kuifunga hiyo njia ya wasanii wa mwendo Kasi.Yap! Sio kwamba polisi Wana kibali muda wote chakuouta au wanadharura muda wote kama ilivyoelezwa na mchangiaji mmoja hapo juu.
Hii iwe ni Kwa kibali maalum pale inapotokea Kuna dharura. Nimeshukudia gari za serikali na baadhi zenye namba za diplomat zikipita kwenye barabara za mwendo kasi bila ulazima wowote.
Naamini Kwa tamko la msemaji wa polisi, hizo kero zitapungua.
Pia IGPPP kuongelea suala la Panya rodi wakati hofu imetamalaki na matukio yakizidi kushamiri huku kukiwa hakuna kitu Cha maana ambacho wao wamekufanya kukabiliana au kudhibiti hao jamaa ni kuleta siasa kwenye mambo ya msingi.
Iko wazi gari za Kijeshi zinapokuwa kwenye shughuli za Kijeshi zinaweza sio TU kupita hata kuifunga hiyo njia ya wasanii wa mwendo Kasi.
Msemaji wa Polisi naye amekosea alipaswa afafanue SHERIA ya usalama Barabarani lakini pia aangalie SHERIA ya usalama . Lakini pia akataze vyombo visivyoruhusiwa kupita visipite sio kujumlisha vyombo vyote.
Wanajeshi wansafirisha Vifa vya milipuko wanrujusiwa sio TU kupita njia hiyo hata No entry sio kukaa foleni.Wanachopaswa kufanya ni Dereva kufuata kanuni za kuepusha ajali na madhara Kwa wengine.
Hivi akitokea Gaidi kapanda basi la Mwendo Kasi au Jambazi, itabidi Polisi wakaombe Kibali Kwa Raia wa kampuni ya usafirishaji we have been F^¢£kd [emoji35][emoji35].
We ndio tahila kabisa ,unasema hao FFU kuwa hawafanyi kazi ya kutafuta wahalifu mtaani, na wale wanaodhibiti fujo mtaani baada ya police wa kawaida kushindwa wanaitwaje labda we kilaza?! Kumbuka kufanya fujo mtaani hili kushinikiza Jambo fulani kinyume Cha sheria Ni uhalifu pia na wanaoshiriki wanaitwa wahalifu!Wewe either ni mtoto sana au una matatizo ya akili. Polisi wenyewe wameona kilichofanyika hakukua sawa wameyoa tamko na wameomba radhi nakusisitiza hiyo barabara ni kwa ajili ya mwendokasi tu.
Haya ya kulazimishwa ndio uamegharimu uhai wa DED juzi.
Mwisho kabisa polisi wana vitengo tofauti, hao waliopo kwenye garini FFU huwa hawafanyi kazi ya kutafuta wahalifu mtaani. Hao siku zote hubebwa hivyo kweye gari na kupelekwa kwenye lindo hasahasa kwenye mabenki
Majinga haya kina CountrywideIko wazi gari za Kijeshi zinapokuwa kwenye shughuli za Kijeshi zinaweza sio TU kupita hata kuifunga hiyo njia ya wasanii wa mwendo Kasi.
Msemaji wa Polisi naye amekosea alipaswa afafanue SHERIA ya usalama Barabarani lakini pia aangalie SHERIA ya usalama . Lakini pia akataze vyombo visivyoruhusiwa kupita visipite sio kujumlisha vyombo vyote.
Wanajeshi wansafirisha Vifa vya milipuko wanrujusiwa sio TU kupita njia hiyo hata No entry sio kukaa foleni.Wanachopaswa kufanya ni Dereva kufuata kanuni za kuepusha ajali na madhara Kwa wengine.
Hivi akitokea Gaidi kapanda basi la Mwendo Kasi au Jambazi, itabidi Polisi wakaombe Kibali Kwa Raia wa kampuni ya usafirishaji we have been F^¢£kd [emoji35][emoji35].
We ni muhalifu ndiomaana una chuki na polisiUna matatizo makubwa mno ya akili. Umekua mtu mjinga na mpumbavu uliyepitiliza.
Polisi wenyewe wenye dhamana na kusimamia sheria za barabarani wanakiri wamekosea hawapaswi kupita hapo. Na wametoa tamkoa kulaani kilichotokea. Ila wewe mpumbavu wa mwisho bado tena unakataa
huyo msemaji kaleta siasa tuNadhani msemaji kajisemea yeye kama yeye. Ila ukweli unabaki pale pale, kwa mazingira ya miundombinu yetu hizo barabara zitatumika tu panapokuwa na dharula. Alichokitolea ufafanuzi ni siasa aseme wamewachukulia hatua gani hao polisi???? Ni bora angetoa ufafanuzi wa jambo husika. Haya mambo ya kukopy na kupaste toka nchi zilizoendelea yana madhara sana. Nchi za wenzetu unakuta kila upande njia nnne na kuna mwendokasi na kuna barabara zingine maalumu za taxi etc, wewe leo una njia moja tu eti unaanza kulalama.
Kuna siku nilikoswa busa na Basi la Polisi lililokuwa linasambaza askari wa lindo, lilikuwa linapita wrong site kwa mwendo mkubwa sana.Polisi wameshazoea kuishi maisha ya kujiamulia watakavyo, hata wakiwa wanaenda kucheza mechi za ndondo cup watawasha ving'ora na kupita kwa kuforce kujionyesha wao ni miamba sana.
Una matatizo makubwa mno ya akili. Umekua mtu mjinga na mpumbavu uliyepitiliza.
Polisi wenyewe wenye dhamana na kusimamia sheria za barabarani wanakiri wamekosea hawapaswi kupita hapo. Na wametoa tamkoa kulaani kilichotokea. Ila wewe mpumbavu wa mwisho bado tena unakataa
Itakuwa ni kichekesho kama kuna tukio kubwa eg ujambazi na barabara za kawaida zikiwa na foleni, polisi wazuiwe kupita kwenye barabara ya mwendokasi. Duniani kote kote polisi, zimamoto na hata ambulance huruhusiwa kupita hata sehemu zinazotumiwa na tram ili tu wawahi kunapokuwa na dharura.Kwani hiyo ni barabara ya dharula au ya mabasi ya mwendokasi?
Soma sheria za matumizi ya hizo barabara. Acheni mazoea. Mkiona kifoleni kidogo tu mnarukia njia ya mwendokasi au wrong way.Itakuwa ni kichekesho kama kuna tukio kubwa eg ujambazi na barabara za kawaida zikiwa na foleni, polisi wazuiwe kupita kwenye barabara ya mwendokasi. Duniani kote kote polisi, zimamoto na hata ambulance huruhusiwa kupita hata sehemu zinazotumiwa na tram ili tu wawahi kunapokuwa na dharura.