Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

Hao polisi walikuwa na emergency? Mnaongea kama hamuwajui hao polisi. Hao wanaweza kuamua tu kupita wrong side kisa hawataki kusubiri taa!
 
Kwani bara bara za dharura si zipo?
Kwanini upite kwenye mwendokasi
 
Hakuna dharura kwa barabara ya mwendokasi na uzuri polisi wametoa tamko na wanasema hakuna gari au chombo chochote kinachoruhusiwa kupita barabara ha mwendokasi zaidi ya mabasi ya mwendokasi
View attachment 2358262
Ni sawa ila binafsi sioni tatizo ikiwa kuna dharura ya ulazima na kuna foleni.
 
Polisi wasingetoa tamko
 
Kwa hali hii panya road watatuua mwaka huu kama raia ataki polisi wafanye kazi zao kwa haraka afu panya road wakiuwa watu na kupora watu mnalalamikia polisi tena
Eeh mungu wabariki hawa wabongo na vichwa vyao vibovu
 
Subiria na polisi wapate uthubutu utakuja kuleta mrejesho
Msemaji wa polisi amewaonya kama hamtofata sheria za nchi.

Ni muhimu kuheshimiana. Hicho walichofanya FFU hao ndio ustarabu wenyewe ingekuwa zamani kabla ya Rais Samia kuwaonya kuhusu utii wa sheria huyo mfanya kazi wa UDART leo angelala kinondoni Hananasif kule.

Nimependa jinsi Mamlaka ya Polisi ime respond kwenye hili.
 
Angezuia gari la jeshi la wananchi hvyo angeona moto, unakula kipigo na kamera zenu na akuna hatua inayochukuliwa.
Unajua tunawadharau sana polisi sababu tumewazoea ila sio wale miamba jwtz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…