VIDEO: Rais Ruto apigwa na kiatu akihutubia Wananchi wa Kehancha

Angekuwa mama kizimkazi angelikimbia jukwaa
 
Ilishatokea kwa wengi, Mfano Bush wa Marekani.

Papa Yohane

Hata Mzee Mwinyi aliwahi kupigwa kibao na ustaadhi mmoja. Aliishia kumwita mwendawazimu.

Aliyefanya kitendo hicho naye ni mwendawazimu
 
Mpangilio wa ulinzi wa rais wa kenya ukoje mpaka anarushiwa kiatu kinamfikia? Kwetu ulinzi wa rais umeimarishwa sana tofauti na zamani unaweza kumshika rais mkono bila shida. Kwetu rais ametengwa mbali huwezi kumfikia kirahisi kuna vizuizi vingi, utaishia kumuona kwenye luninga zilizopo uwanjani, yeye yuko mbali. Kenya naona rais wao yuko karibu mno na anaowahutubia
 
Wangekuwa na rais kama huyu wetu sijui ndio wangemfanyaje....rais wao ni real dr kasomea darasani lakini bado anaipata pata fresh jee huyu wetu na u dr wake wa mchongo ingekuwaje?!
Cc: Mwashambwa
 
Tukisema kua Tanzania ndio nchi nyepesi kuongoza Duniani.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Aliyerusha ataokotwa shakahora siku si nyingi
Ruto ni mafia kuliko wanavyodhani
 
Jamaa anashabaha😅
 
Aliyerusha ataokotwa shakahora siku si nyingi
Ruto ni mafia kuliko wanavyodhani
Asee yule sijui watamfanyaje?. Maana hata jina lake wamelizuia kulitaja kwenye media ili wakamalizane nae vizuri
 
Ilishatokea kwa wengi, Mfano Bush wa Marekani.

Papa Yohane

Hata Mzee Mwinyi aliwahi kupigwa kibao na ustaadhi mmoja. Aliishia kumwita mwendawazimu.

Aliyefanya kitendo hicho naye ni mwendawazimu
Kikwete pia alitiwa kabari jukwaani akajitetea na kuipangua kwa uwezo wake wa kimwanajeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…