Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

🙏🙏🙏🙏🙏🙏
 
Naomba kufaham mwandishi ya nyimbo hii, nawaza kama ikiimbwa kiswahili 😁
 
U have judged too early. Are u not an intellectual? Kwanini usisubiri atakapo anza kutoa hoja zake? Hiyo aliyo toa ni utangulizi tu hoja zipo kwenye kitabu.
It won't make any sense. Huwezi kuchanganya mambo ya dhahania kama mapepo na mambo ya uhalisia kama mtu kurekodi wimbo unaohusu maisha yake.

Tupac hahitaji mapepo kuandika na kuimba ngoma kama hit em up.. hao wanasema hivyo ni watu ambao hawajaskiliza Ngoma zake nyingi zingine.. like alilolifanya mule kwake ni kawaida tu.
Hiyo haihitaji u-intellectual wowote kuona uhalisia.
 

Ur still a learner
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…