Video: Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini

Mavoko ana nyumba 5 za kupangisha hapa dar, ana maduka ya jumla na rejareja. Hawezi ishiwa kirahisi.
Madogo wa mikoani bana 😂😂

Kuna mwenzio alikuwa anawapiga fix wenzake eti nature ana mashamba ya korosho mafuso na daladala kibao mjini. Kibla anakunywa sana barimi mix kisungura mpululumpalala 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…