PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
RPC na OCD wa huko mbinga wafikishwe the hague
 
Reactions: UCD
Polisi mnatia aibu sana
Hivi kuna ubaya gani kuacha hawa wanasiasa wafanye kazi zao za siasa ilimradi hawavunji sheria za nchi???
 
Kelele za jf hazitawasaidia
 
Kumbe kachukuliwa na polisi, nilidhani ni Nchimbi au Makala wameenda kumchukua. Tunasubiri kama akiachiwa ataenda ikulu moja kwa moja.
Teh teh teh teh inamaana nguvu ya umma imeahindwa kumwokoa mzee wa kamdomo
 
Sio wa Kwanza hata kina Mogabe, Mandela, Nyerere na mashujaa wengine wengi waliwahi kukamatwa na Serikali za kidhalimu
Sema kikoloni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kamdomo tu kamemjaa na tumbo lake lililojaa minyoo ila matendo aaaah πŸ˜‚
 
Sema kikoloni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kamdomo tu kamemjaa na tumbo lake lililojaa minyoo ila matendo aaaah πŸ˜‚
Uzuri faida ya anayofanya lissu yatafanya hadi kizazi chako cha 4 kikombolewe
 
Ulitaka wasiendelee na shughuli zao? Mandela alipowekwa jela alieenda na weusi wote jela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…