PreGE2025 VIDEO: Sauti ya Tundu Lissu dakika chache kabla ya kukamatwa na Polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe kama sio una maslahi na chadema basi kijana uliyeamua kuweka ubongo wako nje ya kichwa chako na kutegemea fikra za viongozi wako tu ndio zikuongoze.maana unaendeshwa zaidi na hisia kuliko fikra na uhalisia.

Nimeuliza,ni nchi gani duniani ambayo mtu atatangaza kufanya uasi halafu mamlaka za ulinzi na usama zitamuacha tu? Hujajibu!

Badala yake unazungumzia masuala ya kuiba,kulawiti na watu kulala nje na jinsi unavojitoa ufahamu unayahusisha na chama Mambo ambayo hufanywa na mtu binafsi kwa hulka na tabia zake.

halafu inaonekana wewe unaona kama kina lisu ni malaika vile,hawajawahi kukosea na hawatakosea.unajisahaulisha ni wao ndio waliomchafua marehemu lowasa kuwa ni fisadi alipokua ccm,ila alipojiunga nao,wao ndio wakasema lowasa ni mtu safi!
Unavosema ccm ina ua watu una ushahidi? Uliwahi kufungua kesi na kuonesha ushahidi wa hizo tuhuma zako dhidi ya ccm?

Sasa kama unaweza kuwaamini 100% wanasiasa hasa hawa waliojithibitisha kuwa na ndimi mbili basi shida ipo kwako na si kwao.maana wao wanatafuta ugali.

na ujue tu hata marekani nchi yenye marais zaidi ya 40 bado kuna watu wanalala nje.unajua kwanini? Hakuna kiongozi duniani anayepambania malengo ya mtu.kazi ya kiongozi ni kuonesha njia (kuzisogeza na kuzifunua fursa) ila swala nani azifuate na kuzitumia linabaki kwa mtu binafsi kulingana na hobi na malengo yake.
Kwa hiyo kama una mawazo kuwa kuna kiongozi anakupambania kiasi kwamba unakua tayari hata kwa machafuko pole sana.

Katika nchi za kidemokrasia mabadiliko ya sheria,kanuni na katiba asilimia kubwa hufanyika ndani ya bunge.kwa sababu wabunge ndio wawakilishi wa wananchi.sasa ni lini wabunge walipeleka muswada wowote na bunge likaupisha halafu serikali ikapuuza maamuzi ya wabunge hadi useme serkali inadharau maoni ya wengi?
 
Wew
Sasa mbona hao Wananchi hawamsaidii wanapiga tuu makelele yasiyo na maana ?

Ndio maana nawaambia kujaza.mikutano hakunaga maana hapa Tanzania Kwa Upinzani
Wewe lazima utakuwa mchawi siyo Bure...hivo vitoto vitaripia uchawi wa mama yao siku moja Mungu yupo
 
Kwani ana hoja?!!! Ipo, ya kuzuia uchaguzi?!!!!! K

Wewe unategemea Lissu atakufanya uwe na maisha mazuri? Lissu anatumwa na Wabelgiji kwahiyo yuko kwa ajilj ha manufaa ya Wabelgiji wewe pambana na maisha yako.
Hawe ndio madalali wa serikali za mitaa. Wanaopita bila kupingwa. Mkimaliza kuuza ardhi ya watanzania mtawapiga bei watoto wenu
 
Upo sahihi pia sipingi mawazo yako,ni sawa tu eaither way ila nachojua mimi mabadiliko muyapate kwa ccm mkae mkijua ni ngumu,na nguvu ya dola na serekili yake itatumika vilivyo hamtakaa mkipata hayo mnayo dhamilia kamwe
 
Hatari sana, hawa wengine wanafanya mikutano wanalindwa na polisi na hawa wengine wanazuiwa na kulazimishwa kuongea yale yenye kufurahisha mamlaka.
 
Hatari sana, hawa wengine wanafanya mikutano wanalindwa na polisi na hawa wengine wanazuiwa na kulazimishwa kuongea yale yenye kufurahisha mamlaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…