Change is a process, not an event
Hujui wakimsaidia atadhurika,wao wanataka raia afanye fujo wakamatweSasa mbona hao Wananchi hawamsaidii wanapiga tuu makelele yasiyo na maana ?
Ndio maana nawaambia kujaza.mikutano hakunaga maana hapa Tanzania Kwa Upinzani
Labda amegusa sharubu za top leaderWangemuacha tu amalizie mkutano
Acha kukufuru wewe. Muujuza toka mbinguni labda kwa kuropoka. Kama mbinguni kwako kunatoa miujuza namna hii hiyo mbinu ni kituko.Huu ndo uhuni wanataka tena kuleta hapa ndo wanaliamsha! Tundu lisu ni muujiza toka mbinguni huwezi kushindana naye ukashinda!
Wewe ni famba jingine. Yaani unachekelea hao polisi kumkamata lissu??Labda muujiza huko kwa mumeo nyumbani kwako, Huku Tanzaniani ni lafa tu mmoja.....kibaraka.
Mpumbavu sana wewe!Labda muujiza huko kwa mumeo nyumbani kwako, Huku Tanzaniani ni lafa tu mmoja.....kibaraka.
Aliyetaka kumuua Yuko wapi sasa wewe pimbi!Acha kukufuru wewe. Muujuza toka mbinguni labda kwa kuropoka. Kama mbinguni kwako kunatoa miujuza namna hii hiyo mbinu ni kituko.
Hata kule kwingine yanakotokea mwanzo wake ulikuwa kama huu. It’s just a matter of time!Tanzania haitotokea machafuko
Tusaidie kavunja sheria ipi, sisi wengine hatujui, Mimi nampenda mama lakini nina wasiwasi kama anawashauri wazuri, hii nikusababiha tu Dunia nzima imwone mama kuwa anashida angeachwa amalize ziara zake na CCM wafanye za kwao mwisho wa siku uchaguzi utaendelea na mshindi anajulikanaKama sio chawa wa lisu wala wa samia hili utakua ulilitarajia kutokea muda wowote.
Mkutano ni wa amani tatizo unatumika kutangaza uasi,kuvunja katiba na vurugu.ni mamlaka gani duniani inaweza ikafumbia macho hilo?
Lisu ni mwanasheria kajiandaa na anajua kabisa anachokifanya. wafuasi wake ndio wanafuata tu upepo bila kutafakari!
Ndo Moto utarindima!!!Huu ndo uhuni wanataka tena kuleta hapa ndo wanaliamsha! Tundu lisu ni muujiza toka mbinguni huwezi kushindana naye ukashinda!
Wameshaingia UPEPO!!!Huu Upumbavu ndo unatia hasira saanaa kwa sisi wapenda Demokrasia, wao kama wanahudumia vizuri wananchi sasa hofu ya nini aise
Ulitaka wanamchi wapigane na police , ACHA uchochezi tunataka amaniSasa mbona hao Wananchi hawamsaidii wanapiga tuu makelele yasiyo na maana ?
Ndio maana nawaambia kujaza.mikutano hakunaga maana hapa Tanzania Kwa Upinzani
Hamna kitu hapo watanzania sisi waoga wa kifo asikuambie mtu wali ndizi mbivu na maharage ya nazi changanya na mchuzi wa nyama au wa samaki pembeni juice ya baridi ya embe hamna mtu asiependa hii menyuHata kule kwingine yanakotokea mwanzo wake ulikuwa kama huu. It’s just a matter of time!
Sasa mbona Mwenyekiti wenu anahubiri ushauri na anasema mkazuie uchaguzi Kwa maandamano? Imekuaje tena kamanda? 😂😂Ulitaka wanamchi wapigane na police , ACHA uchochezi tunataka amani
Lissu kachukuliwa na polisi au wananchi wamezuia hajachukuliwa? Jibu swaliHiyo ndio inayitakiwa sasa. Ww na dalali wa demokrasia hiyo kwenu ni hofu. Na vile mbinu ya G55 imebuma, lazima vyombo vya dola vitumike.