Kwakweli Samia anastahili pongezi kuyaongoza mijitu yenye akili kwenye korodani.Kwanza shukuru mungu leo unaongea na binadamu mwenye akili nyingi sana kuliko binadamu wa kawaida ....kwa hiyo leo tembea kifua mbale pia msimulie mkeo
Kama kitu ni kibovu ukakifanya kiwe mediocre haimaanishi huwezi kukifanya kikawa superb Dar ilipo strategically ina natural advantages; kwahio potential yake sio sababu ya DP World au hata Aliens kutokea Mars; ni utendaji wa kizalendo na mikataba yenye busara na akili;Kuna Dar Port kuna ile Conteiner terminal pale Vigwaza kuna Isaka Dry port zote ajira hizo kumbuka volume ya mizigo ikiongezeka na makampuni ya usafirishaji yataongezeka zote ajira hizo na kuna indirect nyingi sana.
Mimi ni mdau ndio maana nakuambia.
Zuzu ni kiongozi wako weweKwakweli Samia anastahili pongezi kuyaongoza mijitu yenye akili kwenye korodani.
Hii ni story tu hatuwezi.utendaji wa kizalendo
Watawala wa Africa ni wachache sana wenye macho ya kuona, walio wengi wana macho tu ya uumbwaji. Ukiangalia Tz tunachopishana upande mmoja unaelezea mapungufu ya mkataba, an wakati huo huo mtawala anazungumzia ufanisi badala ya kujibu hoja zinazotolewa juu ya mkata husika., neno UPOTOSHAJI, UCHOCHEZI ndiyo nguzo yao.Muhtsari
- Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World
- Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari
- Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba
Serikali ya Djibouti imeamua kuvunja mkataba wa uendeshaji wa bandari ya Doraleh iliyokuwa inasimamiwa na kampuni ya DP World kutoka Falme za Kiarabu. Hatua hii imefuatia uchunguzi uliofanywa na serikali hiyo uliobaini kuwa mkataba huo ulikuwa na masharti yasiyo na tija kwa taifa la Djibouti na ulikuwa umeingiwa kwa njia ya rushwa na aliyekuwa mkuu wa bandari.
Serikali ya Djibouti imesema kuwa imefungua kesi dhidi ya DP World kudai fidia na kurejesha mali zake zilizokuwa chini ya usimamizi wa kampuni hiyo. Serikali pia imesema kuwa itatafuta mshirika mpya wa kuendesha bandari hiyo muhimu kwa uchumi wa nchi hiyo na ukanda mzima.
Pia soma |
Tunashindwa hata kuajiri ma-expatriates kwa mikataba mikali na kuwapa targets ?Hii ni story hatuwezi.
Tuwape kwanza ATLC inayolitafuna taifa lakini nasema hatuwezi.Tunashindwa hata kuajiri ma-expatriates kwa mikataba mikali na kuwapa targets ?
Hatuwezi kwasababu serikali ya CCM ni takataka. Chukulia mfano wa Biswalo Maganga, rais analalamika jamaa katuibia mabilioni hapohapo anampa teuzi. Kwa staili hiyo unafikili tutatokajeHii ni story tu hatuwezi.
CCM ndio mzizi wa fitina.H
Hatuwezi kwasababu serikali ya CCM ni takataka. Chukulia mfano wa Biswalo Maganga, rais analalamika jamaa katuibia mabilioni hapohapo anampa teuzi. Kwa staili hiyo unafikili tutatokaje
Ndege karibia dunia nzima zina-run at a loss Huwezi linganisha hii bandari (commanding height of the economy) na shirika la ndege; Kwahio hata Quatar Airways n.k. zipo heavily subsidized ingawa faida yake kwa nchi inaweza ikawa indirectly ila directly sidhani hata kama wana-break even....Tuwape kwanza ATLC inayolitafuna taifa lakini nasema hatuwezi.
Keanu was wameingia mkataba kama wa kwetu? Umeona mkataba wa UK na Kuufananisha na watu?Wangewatapeli The United Kingdoms and Great Britain?
Rwanda shirika lao la ndege wamewakabidhi Qatar na Dry port yao wamewapa wawekezaji wa DPWORLD sio wajinga wanatafuta solution ya matatizo yao tofauti na sisi tumekalia siasa.Ndege karibia dunia nzima zina-run at a loss Huwezi linganisha hii bandari
Hebu tuwekee hapa nasi tujiridhishe.Keanu was wameingia mkataba kama wa kwetu? Umeona mkataba wa UK na Kuufananisha na watu?
Rwanda ana nini ? Hivi Rwanda ana hata theluthi ya natural advantages kama sisi ?Rwanda shirika lao la ndege wamewakabidhi Qatar na Dry port yao wamewapa wawekezaji wa DPWORLD sio wajinga wanatafuta solution ya matatizo yao tofauti na sisi tumekalia siasa.
Rwanda ana akili.Rwanda ana nini ? Hivi Rwanda ana hata theluthi ya natural advantages kama sisi ?
DP World wapo Somalia, wacha uongo.Somaliland ni sehemu ya Somalia, hutaki unaacha.
Hata hivyo nashukuru haujapinga kwamba DP World imefukuzwa Somalia.
Rwanda anachofanya ni the best kwake kutokana na disadvantage alizonazo; Sisi na vitu tulivyonavyo tungekuwa hatujilinganisha na Rwanda tungekuwa tunawaza ni vipi tunaweza kuzalisha umeme na kulisha nchi za Africa au ni vipi kuliko hip Dry Port yao kupewa DP World tusipewe sisi...Rwanda ana akili.
Bora yule chizi aliua wajinga wachache kuliko huyu mvaa ushungi wako anaekuuza wewe pamoja na ukoo wako woteYule Chizi wako alikuwa muuaji sana.
Kaniuza wapi mvaa ushungi?mvaa ushungi wako anaekuuza wewe pamoja na ukoo wako wote