MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Una IQ hafifu sana umesahau hata lengo la mjadala huu.
Unamkashifu mwenzako kwamba ana akili finyu ilhali umesahau ukweli kwamba kule Uingereza kampuni la DP World limesajiliwa kwa sheria za nchi ile na kuitwa DP World London Gateway. Huku kwetu hilo kampuni limesajiliwa lini kule BRELA na kupewa A CERTIFICATE OF COMLIANCE ?
Halafu ambalo hufahamu ni kwamba DP World kule Uingereza amepewa bandari moja tu ya London Gateway, bandari nyingine ambazo ziko kwenye mfumo wa PORT OF LONDON zinaendeshwa na mashirika mengine makubwa. Huku kwetu bandari zote kuanzia Mtwara hadi Tanga kapewa DP World. Hivi ninyi watu huwa mna akili gani hadi kukaza shingo kushabikia huu upumbavu ?