KweliYes hua wana knowledge sana mimi hip hop hua ni shule kila mstari unafunzo wewe angalia kwa wasanii kiasi wenye msimamo ni wao hata mapinduzi na amsha amsha kwenye struggle zote walifanya wana hip hop
Kwa bongo hii sizan kama kuna msanii anaakili nyingi za darasani kama nick mbishiNliona video moja nik mbish anafundisha physics jamaa yko vzr hesabu, na maformula
Ova
Ameshaita press conference kesho saa 4 ya kubwaga manyanga, dadekiLkn Stive huwa wanaona umuhimu wake kwenye kampeni. Kuna upande umekosa maslahi, kuna upande hatujui nini kinaendelea, na kuna wala bora yeshee. Binafsi na shauku yakujua nguvu/ushawishi aliyonayo Stive Nyerere.
Mwana fa naona alitaka criteria ya elimu izingatiweAmeshaita press conference kesho saa 4 ya kubwaga manyanga, dadeki
Washauri wake, wamemshauri vema hilo gape lina kelele. Asubiri chaka jingine.Ameshaita press conference kesho saa 4 ya kubwaga manyanga, dadeki
Sasa steve elimu yake kama kubenea tuMwana fa naona alitaka criteria ya elimu izingatiwe
Labda stev angeweka elimu yke Maana million najua elimu kama mm tu ujanjajanja tu
Ova
Tokea 2016_2021 wa Tz waliongozwa kutukanwa mitandaoniWashauri wake, wamemshauri vema hilo gape lina kelele. Asubiri chaka jingine.
Tathmini isiyo rasmi. Niweke wazi wana ushawishi si kila mtu anaweza..!!Tokea 2016_2021 wa Tz waliongozwa kutukanwa mitandaoni
1; magu
2;manara
3;Steve nyerere
Huwezi kumpima Ngombe, Nyaki, samaki ktk kipimo sawa cha uwezo wa kupanda mti. kila mtu ana field yake hapo.Kwa bongo hii sizan kama kuna msanii anaakili nyingi za darasani kama nick mbishi
Kuna kipindi cha jonijo wasafi tv alikuwa anauliza wasanii maswali tofaut tofaut ya uraia na kitaaluma huyo niki aliyapiga yote tena akiwa anakunywa bia safari
Mkuu aliulizwa maswali ya uraia na kitaalumaHuwezi kumpima Ngombe, Nyaki, samaki ktk kipimo sawa cha uwezo wa kupanda mti. kila mtu ana field yake hapo.
Nahisi, Niki alikuwa anaulizw ktk field yake. Angecheza au kuulizw maswali ya Afya, Md, ange onekana kiazi
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Acha uongo, huyo mbishi ni mjinga mmojaKwa bongo hii sizan kama kuna msanii anaakili nyingi za darasani kama nick mbishi
Kuna kipindi cha jonijo wasafi tv alikuwa anauliza wasanii maswali tofaut tofaut ya uraia na kitaaluma huyo niki aliyapiga yote tena akiwa anakunywa bia safari
Aah hata ww ukiamua kuchagua topic fulani unayipenda ukifundisha kwa wasiojua watakuona unajua.Nliona video moja nik mbish anafundisha physics jamaa yko vzr hesabu, na maformula
Ova
Unamuongelea bushoke!!??Hawa wapuuzi hawajui hata ethics za kazi. Utaongeaje kwa media umewapa watu mgongo??? nyoko zenu
Nyie ndio mnakarirI mpaka nukta. Mkiamishwa kidogo tu Chali...Acha uongo, huyo mbishi ni mjinga mmoja
Hakuna swali lolote la maana aliloulizwa na jonijo.
Eti ana akili nyingi darasani, mbona form four alifeli
Hajafeli form 4 mwamba alipiga vizuri akachaguliwa must moja kwa moja enzi hizo mist akaenda kupiga diploma miaka mitatu pale computer scienceAcha uongo, huyo mbishi ni mjinga mmoja
Hakuna swali lolote la maana aliloulizwa na jonijo.
Eti ana akili nyingi darasani, mbona form four alifeli
Acha wajionage Wana akili wao ... Watu walikuwaHajafeli form 4 mwamba alipiga vizuri akachaguliwa must moja kwa moja enzi hizo mist akaenda kupiga diploma miaka mitatu pale computer science
Akili huna? Unafaulu form four alafu unapangiwa Must? Ukifaulu vizuri form four unapangiwa kwenda advance, acha ujingaHajafeli form 4 mwamba alipiga vizuri akachaguliwa must moja kwa moja enzi hizo mist akaenda kupiga diploma miaka mitatu pale computer science