Video: Suala la Steve Nyerere na Shirikisho la Muziki vita kubwa ya kisiasa nyuma ya pazia

Video: Suala la Steve Nyerere na Shirikisho la Muziki vita kubwa ya kisiasa nyuma ya pazia

Yes hua wana knowledge sana mimi hip hop hua ni shule kila mstari unafunzo wewe angalia kwa wasanii kiasi wenye msimamo ni wao hata mapinduzi na amsha amsha kwenye struggle zote walifanya wana hip hop
Kweli

Ova
 
Nliona video moja nik mbish anafundisha physics jamaa yko vzr hesabu, na maformula

Ova
Kwa bongo hii sizan kama kuna msanii anaakili nyingi za darasani kama nick mbishi

Kuna kipindi cha jonijo wasafi tv alikuwa anauliza wasanii maswali tofaut tofaut ya uraia na kitaaluma huyo niki aliyapiga yote tena akiwa anakunywa bia safari
 
Lkn Stive huwa wanaona umuhimu wake kwenye kampeni. Kuna upande umekosa maslahi, kuna upande hatujui nini kinaendelea, na kuna wala bora yeshee. Binafsi na shauku yakujua nguvu/ushawishi aliyonayo Stive Nyerere.
Ameshaita press conference kesho saa 4 ya kubwaga manyanga, dadeki
 
Ameshaita press conference kesho saa 4 ya kubwaga manyanga, dadeki
Mwana fa naona alitaka criteria ya elimu izingatiwe
Labda stev angeweka elimu yke Maana million najua elimu kama mm tu ujanjajanja tu

Ova
 
Kapingwa sana,aachie tu.Hawamtaki.
 
Hapo teve ake anataman ndani ya hizi siku za mikinzano afe msanii aoneshe majonjo yake!

Utasikia Gsm katoa milion 20, tajiri abukabakar kagharamia vyakula na vinywaji vya msiba!

Tafadhali ndugu mtanzania changia msiba huu kwa namba ____ jina tivu ake
 
Bushoke hip hop wewe

😆😆😆
Sijui walikua wanahojiana kijiwe gan camera wamezipa mgongo alaf fid anajiona masterminder kweli
 
Kwa bongo hii sizan kama kuna msanii anaakili nyingi za darasani kama nick mbishi

Kuna kipindi cha jonijo wasafi tv alikuwa anauliza wasanii maswali tofaut tofaut ya uraia na kitaaluma huyo niki aliyapiga yote tena akiwa anakunywa bia safari
Huwezi kumpima Ngombe, Nyaki, samaki ktk kipimo sawa cha uwezo wa kupanda mti. kila mtu ana field yake hapo.

Nahisi, Niki alikuwa anaulizw ktk field yake. Angecheza au kuulizw maswali ya Afya, Md, ange onekana kiazi

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu aliulizwa maswali ya uraia na kitaaluma

Namaanisha aliulizwa maswali nyanja tofautitofauti ila jamaa alijibu vyema yoteer
 
Kwa bongo hii sizan kama kuna msanii anaakili nyingi za darasani kama nick mbishi

Kuna kipindi cha jonijo wasafi tv alikuwa anauliza wasanii maswali tofaut tofaut ya uraia na kitaaluma huyo niki aliyapiga yote tena akiwa anakunywa bia safari
Acha uongo, huyo mbishi ni mjinga mmoja

Hakuna swali lolote la maana aliloulizwa na jonijo.

Eti ana akili nyingi darasani, mbona form four alifeli
 
Nliona video moja nik mbish anafundisha physics jamaa yko vzr hesabu, na maformula

Ova
Aah hata ww ukiamua kuchagua topic fulani unayipenda ukifundisha kwa wasiojua watakuona unajua.

Aje tumpe maswali mawili tu ya physics, Kama hajajamba huyo.

Eti yuko vizuri hesabu, mbona form four alifeli?
 
Hawa wapuuzi hawajui hata ethics za kazi. Utaongeaje kwa media umewapa watu mgongo??? nyoko zenu
Unamuongelea bushoke!!??

Msikilize vizuri Wakazi na hao wengine walitaka kumvuta pembeni AKasema au basi acha niongee hapahapa na Wala alikuwa hajui kama anarekodiwa ... Hata lugha za mwili hamzionagi
 
Acha uongo, huyo mbishi ni mjinga mmoja
Hakuna swali lolote la maana aliloulizwa na jonijo.
Eti ana akili nyingi darasani, mbona form four alifeli
Nyie ndio mnakarirI mpaka nukta. Mkiamishwa kidogo tu Chali...
 
Acha uongo, huyo mbishi ni mjinga mmoja
Hakuna swali lolote la maana aliloulizwa na jonijo.
Eti ana akili nyingi darasani, mbona form four alifeli
Hajafeli form 4 mwamba alipiga vizuri akachaguliwa must moja kwa moja enzi hizo mist akaenda kupiga diploma miaka mitatu pale computer science
 
Hajafeli form 4 mwamba alipiga vizuri akachaguliwa must moja kwa moja enzi hizo mist akaenda kupiga diploma miaka mitatu pale computer science
Acha wajionage Wana akili wao ... Watu walikuwa

1)wanaitwa kwenyev ikao hawaji ...

2)Wajisajili kwenye vyama vyao hawajisajili ...

ona sasa baada ya kuwekwa Steve pale umeitwa mkutano kwenye ukumbi wa siku zote Jangwani breeze wakasema hawatoshi 😁😁😁😁 katibu akawaambia hatutoshi vipi na tunakaaga Hapo ...

Akabadilisha venue akawapeleka kwengine Kwa sharti Kila anayehudhuria awe mwanachama ..na muda wa kusajiliwa ukatengwa cheki walivyojitokeza na kusajiliwa!!??

Kimsingi Fid kafanikiwa kuhamasisha na kupata wanachama wengi Kwa mkupuo na nchi imejua Kuna shirikisho la wanamuziki ... Step nzuri.

Ila ukiwa na akili za uteam na roho ya kukunja hauwezi kuona hii move ilivyoenda.
 
Back
Top Bottom