THE BIG SHOW
Unamlaumu bure maana yeye alisema waajiliwe wakimaliza. Sasa CDF amebadili upepo, nani wa kulaumiwa?
Unamlaumu bure maana yeye alisema waajiliwe wakimaliza. Sasa CDF amebadili upepo, nani wa kulaumiwa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamlaumu bure maana yeye alisema waajiliwe wakimaliza. Sasa CDF amebadili upepo, nani wa kulaumiwa?
Hapo sasa CIC Vs CDF. Naona vijana wakaamua wajiongeze maana amri ya CIC iliwekwa kapuni kiaina.Nadhani katika day to day activites/duties of wanajeshi. Linapokuja suala kuwa kuna mtanziko fulani, AJM na CDF .......anyway sijui
contract, sheria ya mkataba, Law of contract act! . Umeingia mkataba.... sanctity of contract!..... walijifunga, wapate ajira. Hivyo ni haki yao kuajiliwa.We unaona ni sawa hao vijana kufanyishwa kazi ambayo ilipaswa serikali yenyewe itenge bajeti ya man power KWA kigezo Cha wao eti wafanye then wataajiriwa??ni sahihi kweli
Ki uhalisia anayekulinda ni mkuu kuliko unayelindwa.
Wanajeshi wanamsikiliza CDF na CDF anamsikila mganga wa kienyeji hiyo ndiyo chain ya command kwetu Bongo?Mkuu hilo suala ni kwa mujibu wa wanajeshi wenyewe.
Kwamba wao wanamtii na kumsikiliza CDF.
Ndiyo tatizo la madikiteita.. Roadside Decrees! Akifurahi anakuteua akiwa ndani ya gari akila mahindi ya kuchomaHapo sasa CIC Vs CDF. Naona vijana wakaamua wajiongeze maana amri ya CIC iliwekwa kapuni kiaina.
Sema naye Magufuli alikuwa anakurupugaka mno. Yeye jambo likimfurahisha ni kutoa tu kauli kiholela.
Jkt haitoi ajira mzeeWe unaona ni sawa hao vijana kufanyishwa kazi ambayo ilipaswa serikali yenyewe itenge bajeti ya man power KWA kigezo Cha wao eti wafanye then wataajiriwa??ni sahihi kweli
contract, sheria ya mkataba, Law of contract act! . Umeingia mkataba.... sanctity of contract!..... walijifunga, wapate ajira. Hivyo ni haki yao kuajiliwa.
Rais hutoa kauli baada ya kushauriana na cdf. Vinginevyo jeshi ni taasisi independent na haifungamani na siasa au matamko ya kisiasa.Unasema kweli au uko one sided? Amiri Jeshi Mkuu na CDF nani ana kauli ya mwisho kama kuna sintofahamu yoyo
Utaratibu wa saivi ni lazima upitie JKT kabla ya kupata ajira jeshi lolote Tz, na kupita JKT vilevile sio guarantee ya hiyo ajira, JKT ni sehemu ya kujitolea na kufunzwa.Hujanielewa,I am neither challenging the law of contract,nor saying that they should not be employed,
My point is,before hata hawajaingia kwenye hayo makubaliano ilikuwa sahihi kuwaweka kwenye mtego huo kuwa mfanye kazi kwanza ya kujenga ikulu kisha ndipo niwape ajira?ajira jeshini huwa zinatolewa KWA muktadha huo?,I just want to know
contract, sheria ya mkataba, Law of contract act! . Umeingia mkataba.... sanctity of contract!..... walijifunga, wapate ajira. Hivyo ni haki yao kuajiliwa.
Ok kama unaongelea njia za kudai hazikuwa sahihi, hapo sawa! support 100%Ni kweli lakini njia ya kudai haki inavumilika katika taratibu na uendeshaji wa Jeshi? Jibu ni hapana. Ukicheka na hawa itafika siku na wale wa Sangasanga watasema ngoja tuige ule utaratibu wa JKT. Hivyo vifaru na ndege vita vya kuwazima muda utakuwa rafiki wa kuvi mobilize.
Utaratibu wa saivi ni lazima upitie JKT kabla ya kupata ajira jeshi lolote Tz, na kupita JKT vilevile sio guarantee ya hiyo ajira, JKT ni sehemu ya kujitolea na kufunzwa.
Ok kama unaongelea njia za kudai hazikuwa sahihi, hapo sawa! support 100%
Jibu lako haujaliweka vizuri ndio maana watu wanashindwa kukuelewa.Ndio kwa mujibu wa viapo vya askari.
Wanajeshi wanaapa kwa CDF.