Video: Timu ya Yanga tayari imewasili uwanjani Mkapa, ila ndani hakuna mashabiki wametolewa

Sawa kabisa. Juzi juzi CAF waliifuta mechi kati ya Libya na Nigeria, na kuipa Nigeria ushindi wa goli 3 na points 3 baada ya Libya kufanya maujinga kama hΓ ya ya Yanga.
Mbona hii mechi haikufutwa round ya kwanza au nyani ndio nyani haoni lake kund..........le.

Au TFF hawakupata ripoti za kilicho fanyika kabla ya mechi?
 
Unamquote huyo mawanasheria wenu anayeshindwa kesi kila siku, ndiyo maana unaongea vitu vya ajabu.

Libya walimfanyia vitimbi Nigeria na baada ya Nigeria kujaribu njia zote kutatua jambo na kuona hata wangecheza mechi wasingekuwa sawa kisaikolojia na kimwili na ndiyo lilikuwa lengo la Libya, Nigeria wakasusa kucheza hiyo mechi. Tupe maamuzi ya CAF yalivyokuwa.
 
Mwanasheria au ni hali halisi tuliyo ipitia round ya kwanza.

Okay uliiona Yanga round ya kwanza ikifanya mazoezi siku moja kabla ya mechi?

Mbona hatujasusa,ila TFF ikaja kuwabeba sizani hata kama ripoti waliipitia.

Sizikumbuki mechi ila kuna mechi nyingi hasa Uganda wa uarabuni, timu ngeni zinafanyiwa vitimbi, wananyimwa uwanja ila still mechi inachezwa na maamuzi hufanyika baada ya ripoti kupitiwa na CAF.

Sasa kwa nini huku round ya kwanza hakijafanyika kitu kama hiko, baada ya Yanga kuzuiwa? Halafu hizo kanuni mmeanza kuzijua jana,mbona round ya kwanza hamkuzi heshimu.
 
Ili kuweka makali na timu ziheshimiane Yanga wanapaswa kupigwa burn la maana lasivyo huko tunapoelekea kama sio machafuko uwanjani basi rungu la CAF.

Kwa hiyo unaamka na bangi zako unaenda kuzuia mazoezi ya timu pinzani tena kwa fujo, unajiandaa kulipa vimilioni kadhaa huku umeshamdhoofisha mpinzani wako kimwili na kisaikolojia halafu fresh tu, si ndio?
I
 
Tuonyesheni picha ya basi la Yanga likizuiwa kuingia uwanjani kufanya mazoezi siku moja kabla ya derby.
 
Ili kuweka makali na timu ziheshimiane Yanga wanapaswa kupigwa burn la maana lasivyo huko tunapoelekea kama sio machafuko uwanjani basi rungu la CAF.


I
Sahihi kabisa. Wanaelekea kubaya sana maana kila uhuni wanaofanya wanaishia eti kupewa tu "onyo kali". Wameshajiona wako juu ya sheria.
 
raha ya kuroga,turoge wote🀣🀣🀣
 
Yanga hawajapata barua halafu ofisi haifanyi kazi kupitia Instagram.

Nyie mmegoma endeleeni na mgomo wenu sisi tumeamua kwenda uwanjani kwani leo tuna mechi. Uwanja ule unalipiwa na Yanga sababu ndiye mwenyeji.
Chezeni na mabaunsa wenu. Yanga na SPORTS CLUB na sio Footbal Club. Mnaweza cheza mieleka pia au ngumi. Hiyo nayo ni dabi ya Jangwani
 
TFF na Bodi ya Ligi wanaidekeza sana timu ya simba.
 
Tuonyesheni picha ya basi la Yanga likizuiwa kuingia uwanjani kufanya mazoezi siku moja kabla ya derby.
Unataka picha gani.

Yanga walitoa taarifa kwanza kwa TFF kabla ya kwenda kwa Meneja wakakataliwa,sasa umekataliwa ya nini uwende uwanjani kutengeneza DRAMA?

Wewe hujatoa taarifa kwa Meneja then ukaenda wakati meneja hana taarifa ulitegemea nini wakati mwenye ufunguo hamkumtaarifu au mnategema huruma kama DRAMA QUEENS.
 
raha ya kuroga,turoge wote🀣🀣🀣
Benchi la ufundi Oyeeeee. Ila mnatia aibu sana, nyie hamjiamini ndiyo tatizo. Mkiisikia Yanga, mlivyoona video wachezaji wa Yanga wanavyojifua kimazoezi. Mkasema piga uwa hatuchezi nao Jumamosi. Mtani mmeanza kutukimbia tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…