Uzuri tukicheza na Bodi ya Ligi tuna uhakika wa pointi 3 na magoli ma3 toka mezani kwa Bodi. Ninyi chezeni na mabaunsa wenu mrudi kupiga utopolo matopeni. Hakuna mtakachopata.Fresh tuu nyie hiyo tarehe itakayo pangwa na bodi, mtacheza na bodi ya ligi.
Acha kulialia. Hamna uthibitisho wowote uliopost hapo zaidi ya hiyo kauli ya mwanasheria wenu kanjanja. Tuonyeshe hizo barua za kukataliwa.Unataka picha gani.
View attachment 3263836
Yanga walitoa taarifa kwanza kwa TFF kabla ya kwenda kwa Meneja wakakataliwa,sasa umekataliwa ya nini uwende uwanjani kutengeneza DRAMA?
Wewe hujatoa taarifa kwa Meneja then ukaenda wakati meneja hana taarifa ulitegemea nini wakati mwenye ufunguo hamkumtaarifu au mnategema huruma kama DRAMA QUEENS.
Nani kalia ndio maana tumeenda uwanjani, kama kulia tungelia kipindi kile tulipo zuiwa kuingia uwanjani, pamoja na figisu zote mlizo fanya ila bado mkapigwa.Acha kulialia. Hamna uthibitisho wowote uliopost hapo zaidi ya hiyo kauli ya mwanasheria wenu kanjanja. Tuonyeshe hizo barua za kukataliwa.
Halafu na zile gharama walizotumia Yanga kuandaa timu kule Avic Town kwa wiki nzima atalipa nani? Na vipi kuhusu wale mashabiki waliotoka Mikoani kuja kuishangilia timu yao, watafidiwa na nani gharama zao?Mimi sio shabiki kindaki ndaki wa mpira lakini kwenye hili suala mashabiki inabidi na wao waoneshe msimamo wao. Wanachotakiwa kufanya ni kutokuingia uwanjani siku mpya ya mechi (itakayopangwa na bodi). Naamini kuna viongozi wa mashabiki wa hivi vilabu viwili, watoe msimamo wao kuwa pesa walizolipia kwenye mchezo huu zitumike kwenye michezo mingine ila sio mchezo mpya wa Yanga ya Simba. Wacheze wenyewe uwanjani bila mashabiki na mapato ya uwanjani ili liwe funzo waache kucheza na akili na pesa za mashabiki. Tofauti na hivyo hivi vilabu na hao TFF/Bodi hawataacha huu ujinga kamwe!
Sahihi kabisaYanga hawajapata barua halafu ofisi haifanyi kazi kupitia Instagram.
Nyie mmegoma endeleeni na mgomo wenu sisi tumeamua kwenda uwanjani kwani leo tuna mechi. Uwanja ule unalipiwa na Yanga sababu ndiye mwenyeji.
Sawa basi subirini hiyo siku mtakayo cheza na bodi mpate point zenu tatu. Sisi leo tunabonanza letu uwanja tumelipia sisi.Uzuri tukicheza na Bodi ya Ligi tuna uhakika wa pointi 3 na magoli ma3 toka mezani kwa Bodi. Ninyi chezeni na mabaunsa wenu mrudi kupiga utopolo matopeni. Hakuna mtakachopata.
Yaani hadi chozi linakutoka mtoto wa watu, pole sana. Haihitaji ushauri wa daktari kujua umeumia saaana.Nani kalia ndio maana tumeenda uwanjani, kama kulia tungelia kipindi kile tulipo zuiwa kuingia uwanjani, pamoja na figisu zote mlizo fanya ila bado mkapigwa.
Bangi wanavuta wale waliompigia manzoki makofi kwenye mkutano,,kasome barua ya bodi ya ligi mlimpa nani taarifa ya kwamba mnaenda kwenye mazoezi?Kwa hiyo unaamka na bangi zako unaenda kuzuia mazoezi ya timu pinzani tena kwa fujo, unajiandaa kulipa vimilioni kadhaa huku umeshamdhoofisha mpinzani wako kimwili na kisaikolojia halafu fresh tu, si ndio?
Bodi hiyo hiyo ya ligi imesema mechi hakuna, hilo linakuambia nini?Bangi wanavuta wale waliompigia manzoki makofi kwenye mkutano,,kasome barua ya bodi ya ligi mlimpa nani taarifa ya kwamba mnaenda kwenye mazoezi?
Sisi hatuliagi hata mkituzia hatususi,tunakuja uwanja tunaponda na wala hatuhitaji Drama.Yaani hadi chozi linakutoka mtoto wa watu, pole sana. Haihitaji ushauri wa daktari kujua umeumia saaana.
Timu ingeingia uwanjani iwapo tu pangetokea maelekezo kutoka juu kuwa kuna tishio la usalama wa taifa kwa mechi kutokufanyika kinyume na hapo no match.TFF na Bodi ya Ligi wanaidekeza sana timu ya simba.
Ndio watasema wameahirisha kwa kanuni ipi mbona ndio kwanza kumekucha!Bodi hiyo hiyo ya ligi imesema mechi hakuna, hilo linakuambia nini?
Naona kama yanga ndio wanafanya "UBAYA UBWELA"Huu Ni Ukiritimba
Da! aisee umegundua na umeongea bonge la point watu wengi hawajaona hii.(Yanga wameingiaje wakati TFF wametoa tamko?)Wameruhusiwa vipi kupita na msafara wao kwenye geti wakati bodi na TFF wameshatoa taarifa kuwa mechi hakuna. Halafu unamsikia chura mmoja anasema hawahusiki na kuwazuia Simba kuingia uwanjani siku ya jana.
Wamepewa taarifa rasmi?Uongozi wa Yanga nao wako very unprofessional. Wanapelekaje timu wakati mechi imeahirishwa? ili iweje? Wachukuliwe hatua..
Unachekesha wwWakati wa kuruhusu wanazuia ila wakat wa kuzuia wanaruhusu