Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Anafanana nami 'Kitabia' kuanzia Ubabe, Kujiamini, Unyumbulifu, Uwerevu na ni Mtu mwenye Jicho la Ndege Tai na Mwana Propaganda Mzuri mno.
Hahaha mabeberu wote wako hivyo, kwa hiyo unawabenda?!

Huyo anafahamika kwasababu ni mwanasiasa, wengi ni zaidi ya huyo role model wako.

Wapende wote usibague mabeberu.
 
Unazijua kazi za uraisi au unajisemea tu ?
 
Hayati Nelson Mandela pamoja na 'Mateso' yote kutoka kwa 'Makaburu' alipambana nao kwa 85% akiwa pale pale na 'hakuwakimbia' Watu Weusi.
Kwani Mandela naye alipigwa risasi na vyombo vya dola?!

Kumbuka Mandela alikuwa akipambana kutetea maslahi ya weusi kutoka kwa watawala weupe.

Lisu anapambana na dictator mweusi, na wanatumia vyombo vya dola kumtafuta kumtoa uhai wake.

Mandela hakupigwa risasi, na hakukataliwa matibabu.
 
Na mkutana wa wanachama wa vikoba Kimanzichana jana, walimpa mwanachama wao Mwajuma Lihechuka Lipangitekunu tuzo ya kurudisha mikopo haraka japo alishambuliwa na vibaka na kulazwa hospitali - lazima apewe tuzo maana ni mwenzao!
 
Anafanana nami 'Kitabia' kuanzia Ubabe, Kujiamini, Unyumbulifu, Uwerevu na ni Mtu mwenye Jicho la Ndege Tai na Mwana Propaganda Mzuri mno.
What a shame? To a wiseman a word is enough. And it will be known tonight where you belong!
 

Hii kitu imefaa sana. Maana wazungu wamemuapisha kama alivyokuwa anataka...
Kuwa representative wao😂😂😂😂😂
 
Kwani thread inasema kuwa Rais sio Magufuli?. Mbona watanzania wazito na mna uelewa hafufu?.
Uelewa 'hafufu' kama ulivyoandika hapa ndiyo Kiswahili cha wapi hiki 'Pumbavu' Wewe? Kiswahili tu hukijui ndiyo utaweza Kujenga 'Hoja' na Mimi?
 
Safi, Mweleweshe boya huyo .....
 
CCM hatuna 'Wendawazimu' na 'Mashoga' kama Wewe tafadhali. Ukiona hadi GENTAMYCINE naipenda CCM jua hata Mwenyezi Mungu anakipenda.
Yaani wewe ukiipenda ccm na MUNGU anaipenda CCM, non-sense, who are you by the way?.
 
Hembu acha kutukana, kujimwambafy na kutisha watu we jamaa.
Weka academic record yako hapa kwanza. Tuanzie hapo.
Nina GPA ya 1.5 Mkuu ila sijui ni kwanini 'Watu' wengi katika Jamii 'wananiogopa' na kusema nina 'IQ' Kubwa kuliko wenye GPA za 4.5 kama Yako.
 
Nina GPA ya 1.5 Mkuu ila sijui ni kwanini Watu wengi katika Jamii 'wananiogopa' na kusema nina 'IQ' Kubwa kuliko wenye GPA za 4.5 kama Yako.
Sio watu wengi wanakuogopa, Labda ccm wenzio wanakuogopa, hakuogopi mtu, GPA ya 1.5 utaisikia kwenye redio tu bro
 
Kweli sasa nimeamini ulizaliwa kijiji cha Katerero ulipopita mto Ngono! Wewe bin Adam unatumia bandama kufikiri? Tanzania kuna vi-wonder lakini leo wewe na Genta ni vituko kakake vi-wonder!!!
Tuzo ya Ubelgiji kushangilia ushangilie wewe
 
Hayati Nelson Mandela pamoja na 'Mateso' yote kutoka kwa 'Makaburu' alipambana nao kwa 85% akiwa pale pale na 'hakuwakimbia' Watu Weusi.
Unaijua historia ya Nelson Mandela kweli wewe?

Unafahamu kuwa karibu nusu ya umri wake wa maisha yake duniani ameuishi akiwa gerezani?

Nje walikuwepo wapiga nia uhuru wengine walioendeleza mapambano na wengi wao wakiwa nje ya nchi kabisa Tanzania tukiwa moja ya "host" ya wapigania Uhuru hao wa SA...
 
'Usinifokee' na 'Usinipangie' tafadhali sawa?
 
GPA yake ya 1.5 from CCM College haelewi hata historia ya Mandela.....
 
Wewe nadhani si mzanaki kama unavyojinadi, mbona wakati mwingine unakuwa vizuri tu.
Kwahiyo 'Uzanaki' wangu unakuwa halali pale tu nikiisema CCM na Rais Magufuli ila nikiigusa CHADEMA na Tundu Lissu wenu 'Uzanaki' unanipotea?
 
Kama unamhitaji mpeleke nyumbani kwako akuongoze na familia yako.
Duuh, hivi wewe ni miingoni mwa "new generation JF members?" siyo?

Maana hatuwezi kujenga hoja na badala yake unarushia watu maeneno kanga...!
 
Kwahiyo 'Uzanaki' wangu unakuwa halali pale tu nikiisema CCM na Rais Magufuli ila nikiigusa CHADEMA na Tundu Lissu wenu 'Uzanaki' unanipotea?
Naongelea lugha zako za kimtaani zisizokuwa na staha kwa members wenzako hasa pale wanapokuwa na mawazo tofauti na wewe. Hukaukiwi maneno hatari yasiyo na staha hata pale yasipohitajika kutamkwa. Mimi pia ni kada wa CCM tena mkongwe kweli kweli, lakini naheshimu mawazo ya wengine na ninapingana nao kwa hoja, na si kwa maneno yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…