Badala uwape wazazi wako tuzo kwa kukuzoa mavi ukiwa mdogo, hadi umeota ndevu, unampa mkeo TUZO ambae hata DNA hazishabihiani , non-sense.Hata mimi juzi nimempa mke wangu tuzo kwa kunijali na kunihudumia na kunivumilia kwa mapungufu yangu, pia kunizalia watoto wazuri wenye maadili.
Kwa hiyo pia hao kumpa huyo kibaraka wao tuzo sio mbaya,
Pia tanzania nao wamepata tuzo ya kuwa nchi yenye utawala bora na mengineyo,
Kwa hiyo hizo tuzo zake akatunzie huko kwa washirika wake.