Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Do you think so...?

If it had nothing to do with you, you couldn't have exposed your jealous into public just like that...

I assure you that, it has a lot to do with more than 10million voters including you who voted him in 28th October, 2020 presidential election...!!
Voting for an empty headed and arrogant sadist!!! Please be serious

I reiterate, that is futility and the man has waged a war against the groin that will take his personality siphoned out for the masters depression relief.
 
Dikiteta magufuli naye apewe tuzo ya ukandamizaji wa demkrasia na uharamia wa kuua wakosoaji.
Ila kwa kweli huyu mzee inabidi ajitafakari sana mwenendo wake huu wa kuumiza watu. Hii yaweza kuja kumsuta sana huko mbeleni hata akiondoka kwenye kiti
 
Wambie wafanyabiashara wenu wasifuate bidhaa kwao, sijui hicho ki-smart phone chako cha tecno ungepata wapi ...... wao wanauwezo wa kuishi kwa 95% bila ya nyie kununua bidhaa zao, ila nyie Watanzania mna 5% za kuishi bila wao bro. Kuna vitu huvielewi nafikir
😂😂😂 mkuu siwezi tumia simu ya kichina Tecno hizoo. Hivi unaishi wapi na wewe ni mbongo au?
 
Acha Kunipangia nini cha Kuandika / Kuchangia hapa JamiiForums kwani huninunulii 'Bando' langu sawa? Unanichukia 'nibloku' tu au hulijui na hili?
Ukishaposti humu huwezi nizuia kucomment mkuu. Kiufupi punguza tu ujuaji na sifa nyingi, ingawa kuna mambo unayajua kweli kweli.
 
Wazungu walimwona Martin Luther King miaka ya 1960's kuwa ni tatizo lakini wengine walimwona ni mwokozi. Mandela kuna ambao walimwona ni tatizo na wengine walimwona mwokozi. Hivyo tutashinda mitandaoni kuita wazungu mabeberu wakati ndiyo madaktari wetu wamekaa tu na kusubiri chanjo ya Corona kutoka nje badala ya kufanya tafiti!. Yaani kuwaita watanzania wenzako Mbuzi kwamba wanapandwa na beberu hujui ni kujitukana mwenyewe na sio huyo beberu!. Amesaliti nini tuonyeshe kitu gani ambacho kafanya cha usaliti. kuiba kura za watanzania ni usaliti namba moja, kufungulia watu kesi za uongo ni usaliti mkubwa na kupiga watu risasi ambao hawana hatia na kujifanya eti ni mtu wa dini huwezi kuuwa hata wafugwa walioua wakati ulitoa maelezo lissu apigwe risasi kwasababu tu ni mashuhuri kuliko wewe!
Lisu ni msaliti, kumb. alikuwa upande wa wazungu wakati wa vita ya madini ref. Acacia/Barrick mining co.. Kwamba tutashitakiwa, na tutalipa fidia nyingi kwa hao wazungu. Angekuwa mzalendo angekuwa anaunga mkono mazuri ya serikali, kwake yeye kila kitu kinachofanywa na serikali ni batili. Huku akiwaabudu wazungu, kumbe analipwa ili aichafue serikali. Ni msaliti kama YUDA ISKARIOTE alivyomsaliti YESU.
 
Acha Kunipangia nini cha Kuandika / Kuchangia hapa JamiiForums kwani huninunulii 'Bando' langu sawa? Unanichukia 'nibloku' tu au hulijui na hili?
Huu ni umwambafy wa kihaya usijimwambafy hivyo kwani hata waliokutuma uwatetee mitandaoni sasa wanaanza kuwa na wasiwasi na wewe kwani sasa badala ya hoja umejikita kujisifu binafsi zaidi
 
Lisu ni msaliti, kumb. alikuwa upande wa wazungu wakati wa vita ya madini ref. Acacia/Barrick mining co.. Kwamba tutashitakiwa, na tutalipa fidia nyingi kwa hao wazungu. Angekuwa mzalendo angekuwa anaunga mkono mazuri ya serikali, kwake yeye kila kitu kinachofanywa na serikali ni batili. Huku akiwaabudu wazungu, kumbe analipwa ili aichafue serikali. Ni msaliti kama YUDA ISKARIOTE alivyomsaliti YESU.
Vita ipi ya madini? Wapi? Mikataba mipya ya madini unaijua? Umewahi kuiona? Usariti upi? Kwani Lisu ndiyo aliwaleta wawekezaji kuja kusaini mikataba mibovu mwaka 1998? Wabunge wa CCM ndiyo walipitisha mikataba Bungeni, Uzalendo upi? CCM kuna mzalendo? Huo Uzalendo ni kuwabambikia kesi wapinzani? Uzalendo ni kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani?
 
Wewe Pimbi hebu nitokee hapa na acha kunipotezea muda wangu Kujibizana nawe kila mara sawa? Level yako Kushindana nami Kihoja ni Utopolo.
Mbona leo kama umeamua kujimwambafy sana? au polepole kakuambia ujimwambafy ili mtukufu aone akupe uteuzi?
 
Voting for an empty headed and arrogant sadist!!! Please be serious

I reiterate, that is futility and the man has waged a war against the groin that will take his personality siphoned out for the masters depression relief.
That's how you see him...

Do you think we share the same visions, the same opinions..?

No, thank you..

Keep that opinions of yours to yourself..!

We see things differently...
 
Lisu ni msaliti, kumb. alikuwa upande wa wazungu wakati wa vita ya madini ref. Acacia/Barrick mining co.. Kwamba tutashitakiwa, na tutalipa fidia nyingi kwa hao wazungu. Angekuwa mzalendo angekuwa anaunga mkono mazuri ya serikali, kwake yeye kila kitu kinachofanywa na serikali ni batili. Huku akiwaabudu wazungu, kumbe analipwa ili aichafue serikali. Ni msaliti kama YUDA ISKARIOTE alivyomsaliti YESU.

Naona wengi wa Watanzania wamebaki kulishwa maneno kama watoto badala ya kufikiria binafsi. Kwanza kunatofauti ya wazungu na kampuni hii ni kampuni mmoja ya madini na siyo jamii nzima ya wazungu. Pili Lissu alikuwa haongelei jambo jipya ni kweli serikali ilikuwa inadaiwa kwenye mahakama za nje za kibiashara ambako Tanzania imesaidi mikataba huko hata kampuni za kujenga barabara wasikolipwa ndiyo wanaenda. Pili Lissu akiwa bungeni alitoa mapendekezo ili haya madeni yasiwepo yaani Lissu alikuwa analalamika jinsi tunavyolipa madeni haya ya maamuzi ya mahakama kisirisiri wakati ni pesa za watanzania. Lakini vilevile sheria za madini hazijawekwa na upinzani na hao hao ambao unawaita wazalendo ndiyo walipitisha hizo sheria. Hivyo mapigano yaliyokuwepo sio ya wazuri ni baina ya Magufuli na uongozi na mabunge yaliyopita akiwemo yeye mwenyewe. Sasa unavyosema vita kulikuwa hakuna vita yeyote zaidi ya serikali ya Tanzania kwa miaka mingi kuingia mikataba mibaya ambayo hao upinzani walikuwa wanapinga. Magu alikasirika kwasababu Lissu amesema ukweli kuhusu madeni ya nje ambayo yako wazi! lakini Watanzania walikuwa wanafichwa maana wengi ni kama wewe washabiki ambao hawajui kiinachoendelea na unaamini serikali kwa kila kitu. Huo usaliti ni hao hao wamekuambia lakini si ukweli na hakuna ushahidi. Tuonyeshe pesa Lissu aliyolipwa na hao mabeberu iko wapi!. Yaani mimi sasa hivi nikiongea kuhusu mkataba mbaya na kusema mabaya nipigwe risasi hata kama naongea ukweli. Lissu alisema hivyo miaka yote na ni mzalendo kuliko hao wanapenda kusifiwa na kujijengea mavitu Lissu yupo safi.
 
Ukishaposti humu huwezi nizuia kucomment mkuu. Kiufupi punguza tu ujuaji na sifa nyingi, ingawa kuna mambo unayajua kweli kweli.
Nashukuru hatimaye kwa 'Kukiri' mwenyewe kuwa kuna mambo nayajua kweli kweli na Mimi naongezea 'Sifa' sitoacha kwani 'najiamini' najua sana.
 
Nashukuru hatimaye kwa 'Kukiri' mwenyewe kuwa kuna mambo nayajua kweli kweli na Mimi naongezea 'Sifa' sitoacha kwani 'najiamini' najua sana.
Achana na lugha za kichokoraa sasa, na punguza ujuaji.
 
Back
Top Bottom