Hahaha mabeberu wote wako hivyo, kwa hiyo unawabenda?!Anafanana nami 'Kitabia' kuanzia Ubabe, Kujiamini, Unyumbulifu, Uwerevu na ni Mtu mwenye Jicho la Ndege Tai na Mwana Propaganda Mzuri mno.
Huyo anafahamika kwasababu ni mwanasiasa, wengi ni zaidi ya huyo role model wako.
Wapende wote usibague mabeberu.