Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Voting for an empty headed and arrogant sadist!!! Please be serious

I reiterate, that is futility and the man has waged a war against the groin that will take his personality siphoned out for the masters depression relief.
 
Dikiteta magufuli naye apewe tuzo ya ukandamizaji wa demkrasia na uharamia wa kuua wakosoaji.
Ila kwa kweli huyu mzee inabidi ajitafakari sana mwenendo wake huu wa kuumiza watu. Hii yaweza kuja kumsuta sana huko mbeleni hata akiondoka kwenye kiti
 
😂😂😂 mkuu siwezi tumia simu ya kichina Tecno hizoo. Hivi unaishi wapi na wewe ni mbongo au?
 
Acha Kunipangia nini cha Kuandika / Kuchangia hapa JamiiForums kwani huninunulii 'Bando' langu sawa? Unanichukia 'nibloku' tu au hulijui na hili?
Ukishaposti humu huwezi nizuia kucomment mkuu. Kiufupi punguza tu ujuaji na sifa nyingi, ingawa kuna mambo unayajua kweli kweli.
 
Lisu ni msaliti, kumb. alikuwa upande wa wazungu wakati wa vita ya madini ref. Acacia/Barrick mining co.. Kwamba tutashitakiwa, na tutalipa fidia nyingi kwa hao wazungu. Angekuwa mzalendo angekuwa anaunga mkono mazuri ya serikali, kwake yeye kila kitu kinachofanywa na serikali ni batili. Huku akiwaabudu wazungu, kumbe analipwa ili aichafue serikali. Ni msaliti kama YUDA ISKARIOTE alivyomsaliti YESU.
 
Acha Kunipangia nini cha Kuandika / Kuchangia hapa JamiiForums kwani huninunulii 'Bando' langu sawa? Unanichukia 'nibloku' tu au hulijui na hili?
Huu ni umwambafy wa kihaya usijimwambafy hivyo kwani hata waliokutuma uwatetee mitandaoni sasa wanaanza kuwa na wasiwasi na wewe kwani sasa badala ya hoja umejikita kujisifu binafsi zaidi
 
Vita ipi ya madini? Wapi? Mikataba mipya ya madini unaijua? Umewahi kuiona? Usariti upi? Kwani Lisu ndiyo aliwaleta wawekezaji kuja kusaini mikataba mibovu mwaka 1998? Wabunge wa CCM ndiyo walipitisha mikataba Bungeni, Uzalendo upi? CCM kuna mzalendo? Huo Uzalendo ni kuwabambikia kesi wapinzani? Uzalendo ni kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani?
 
Wewe Pimbi hebu nitokee hapa na acha kunipotezea muda wangu Kujibizana nawe kila mara sawa? Level yako Kushindana nami Kihoja ni Utopolo.
Mbona leo kama umeamua kujimwambafy sana? au polepole kakuambia ujimwambafy ili mtukufu aone akupe uteuzi?
 
Voting for an empty headed and arrogant sadist!!! Please be serious

I reiterate, that is futility and the man has waged a war against the groin that will take his personality siphoned out for the masters depression relief.
That's how you see him...

Do you think we share the same visions, the same opinions..?

No, thank you..

Keep that opinions of yours to yourself..!

We see things differently...
 

Naona wengi wa Watanzania wamebaki kulishwa maneno kama watoto badala ya kufikiria binafsi. Kwanza kunatofauti ya wazungu na kampuni hii ni kampuni mmoja ya madini na siyo jamii nzima ya wazungu. Pili Lissu alikuwa haongelei jambo jipya ni kweli serikali ilikuwa inadaiwa kwenye mahakama za nje za kibiashara ambako Tanzania imesaidi mikataba huko hata kampuni za kujenga barabara wasikolipwa ndiyo wanaenda. Pili Lissu akiwa bungeni alitoa mapendekezo ili haya madeni yasiwepo yaani Lissu alikuwa analalamika jinsi tunavyolipa madeni haya ya maamuzi ya mahakama kisirisiri wakati ni pesa za watanzania. Lakini vilevile sheria za madini hazijawekwa na upinzani na hao hao ambao unawaita wazalendo ndiyo walipitisha hizo sheria. Hivyo mapigano yaliyokuwepo sio ya wazuri ni baina ya Magufuli na uongozi na mabunge yaliyopita akiwemo yeye mwenyewe. Sasa unavyosema vita kulikuwa hakuna vita yeyote zaidi ya serikali ya Tanzania kwa miaka mingi kuingia mikataba mibaya ambayo hao upinzani walikuwa wanapinga. Magu alikasirika kwasababu Lissu amesema ukweli kuhusu madeni ya nje ambayo yako wazi! lakini Watanzania walikuwa wanafichwa maana wengi ni kama wewe washabiki ambao hawajui kiinachoendelea na unaamini serikali kwa kila kitu. Huo usaliti ni hao hao wamekuambia lakini si ukweli na hakuna ushahidi. Tuonyeshe pesa Lissu aliyolipwa na hao mabeberu iko wapi!. Yaani mimi sasa hivi nikiongea kuhusu mkataba mbaya na kusema mabaya nipigwe risasi hata kama naongea ukweli. Lissu alisema hivyo miaka yote na ni mzalendo kuliko hao wanapenda kusifiwa na kujijengea mavitu Lissu yupo safi.
 
Ukishaposti humu huwezi nizuia kucomment mkuu. Kiufupi punguza tu ujuaji na sifa nyingi, ingawa kuna mambo unayajua kweli kweli.
Nashukuru hatimaye kwa 'Kukiri' mwenyewe kuwa kuna mambo nayajua kweli kweli na Mimi naongezea 'Sifa' sitoacha kwani 'najiamini' najua sana.
 
Nashukuru hatimaye kwa 'Kukiri' mwenyewe kuwa kuna mambo nayajua kweli kweli na Mimi naongezea 'Sifa' sitoacha kwani 'najiamini' najua sana.
Achana na lugha za kichokoraa sasa, na punguza ujuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…