Unamuendesha nani hata boda boda unayopanda taa yake imetengenezwa na beberu, non-sense...Povu linakutoka dada[emoji23][emoji23][emoji23] #Niyeye karudi kwa mabwana zake yeye alisema akishinda atawapa wazungu rasilimali zote, sisi tulisema tukishinda tutaendelea kuwatumikisha wazungu kwenye miradi yetu na tunawaendesha kweli kweli[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti unawatumikisha, huelewi chochote inaoneka ww, ndo vijana wa CCM hao, wanawatumikisha wazungu eti kwenye bwawa la umeme la Mwl Nyerere, Silly!Hahahaa, eti laki 7 nanusu, ukipata muda njoo kutembelea mradi wa bwawa la Mwalimu nyerere uone tunavyo watumikisha mafarao na wazungu, pia huenda ukapata bahati ya kuangaza salary slip za ma engineer wa hapa huenda macho utaelewa.
changia kama mtu timamuAtashinda zote hizo Ila Uraisi wa Taifa linaitwa Tanzania, asahau!!
Kwani Wewe umechangia kama mtu Nani?changia kama mtu timamu
Tanzania siyo kisiwa cha Giningi!!!Atashinda zote hizo Ila Uraisi wa Taifa linaitwa Tanzania, asahau!!
Atashinda zote hizo Ila Uraisi wa Taifa linaitwa Tanzania, asahau!!
Alikuwa anashindania na nani?
Ukifikiria nje ya box utajua jinsi tuzo hiyo ilivo muhimu kwa Wananchi wa Tanzania!!Matokeo yake yatakuja one kana mbele ya safari!!!!Hiyo tuzo inatusaidia nini sisi wananchi?
changia kama mtu timamu
Lissu alikuwa akishindana na Jiwe.Alikuwa anashindania na nani?
Kamshinda nani?...
Hii ni habari njema sana kwa taifa hili.
Lissu alikuwa akishindana na Jiwe.
Kama Jiwe Magufuli angeliruhusu a Free&Fair election 2020 nina hakika hilo jopo la IDU na ADU lingempa ushindi huo.
Teh teh!! Lissuu!!You must think twice bro. before uttering thy non-sense and lunatic ideas. Shame on you.
Hivi kweli madini hayaibiwi ?!Hao wote ni mabeberu nani asiyejua, wanatafuta pakutokea baada ya kufeli kutuibia madini yetu.[emoji23][emoji23][emoji23]