Video: Tundu A. Lissu apewa tuzo ya Bush - Thatcher Award (BTA) ya kupigania Uhuru, Haki na Utawala bora toka IDU

Mwambieni atazoa 'Tuzo' sana tu za hao 'Mabeberu' wake wanaomtuma ila Tanzania 'Rais' ni Dk. Magufuli na Chama Tawala ni cha 'CCM' tu pekee.

Haya ni maneno ya waliokosa akili.

Ukisikia tu mtu anasema kuwa mtu fulani anatumiwa na mabeberu, utambue kuwa mtu huyo hana akili. Ukitaka kuthibitisha, mwulize ni kwa namna gani mtu hutumiwa na mabeberu, haweza kukupa jibu lolote la maana.

Neno hili kwa sasa limekuwa likitamkwa zaidi na wapenzi na mashabiki wa CCM ambao utafiti wa TWAWEZA ulithibitisha kuwa ni watu wajinga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha ni TUZO au TUNZO?!

Hapo naomba tusaidiane ni ipi sahihi kwa faida ya lugha yetu na matumizi sahihi kwa baadaye.
P
 
Hahaha kwa hiyo ulikosea tu?!
Anyway umeeleweka, unajua mkubwa ukikosea watoto huwa wanadhani uko sawa tu, ndio maana nikaona niulize kwa niaba yao.
 
Dikteta ataaibika tu ni suala la muda tu.
 
Amekuwa mtu wa ngapi Kati ya waliowahi kuipata tuzo hiyo?
 
hako ka NGO kalikompa tuzo ni ka uchochoroni tu Africa wanachama ni CHadema,chama tawala cha GHANA na Nambia kachama ka upinzani

Kifupi ni wanachama wanampa mwanachama mwenzao tuzo ni kama Chadema imkabidhi Lisu tuzo!!!!!

ANyway apaate tuzo zote atakazo kama zinamsaidia ku steam out frustration zake za kukosa uraisi it is ok

Atapata tuzo zoteeeee ila uraisi Tanzania hapati
 
Wazungu bana, si wangempa Ubunge wa EU kabisa..😅 au mke mdogo wa kizungu ili awe ndugu yao kabisa. Tokea lini mzungu ampende mwafrika, mmesoma wapi, historia ipi, nyie waafrika wenzangu hv kwanini mna brain yenye volatile memory kwa kiwango kikubwa hivi. Mtajua wenyewe huko.
 
Usiwalazimishe wananchi wapenda nchi yao wampende mvuruga nchi. Kama wewe unampenda huyo kibalaka wenu endelea kumpenda.
 

Lissu kama Mandela. Hii ngoma bado mbichi!

Cc: Senzighe wa Senzighe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…