Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Utadanganya mtu anayeona, kusikia na kuhisi? Ni maCCM tu ndo yanadanganya wananchi na ulimwengu kama ni vipofu, viziwi na waliopooza kutambua ukweli kumbe yenyewe ndo yako hivyo. Watanzania na walimwengu wanaelewa kinachoendelea nchini!Hongera yake, kama hajawadanganya, ...
Tena zaidi ya hapoLissu anastahili hiyo heshima.
Pole kwa kuumia na kuugua preshaHongera yake, kama hajawadanganya, ...
Huo ndio ukweli, si unakumbuka jinsi alivyoondoka mpaka pale airport alikua under escort. Picha ilishatengenezwa iwe hivyo. Huko ndio masela huita kujilipua...kumbe Lisu ni mkimbizi!! huyo mzungu kasema wazi kuwa Lisu mkimbizi
Amekusaliti lini?,Mataga mtapata tabu Sana.Baada ya kumtumia mabeberu yameamua kumpoza mwenzao.. To hell Lisu msaliti
RubbishHongera Belgium kwa kupata tuzo...huyo ni mbelgiji sasa inatusaidia nini sisi tuzo yake?
Kwani yupo wapi huyo mpokea tuzo?Rubbish
Hivi huyu ndugu hafai kuwa Rais wa JMT just because he's from Opposition Party - CHADEMA, hana uwezo wala sifa za kuwa Rais na mkuu wa nchi au tatizo lake ni nini hasa?
Na kama tatizo ni kwa sababu yuko chama cha upinzani, I suggest ajiunge haraka sana CCM na John Pombe Magufuli immediately ampishe jamaa kwenye kiti chake maana huyu ndiye mshindi wa kiti cha Uraia ktk sanduku la kura kwenye uchaguzi uliopita...!!
Jamani eeeh, we don't care anatoka chama gani. Sisi tunamhitaji mtu na mtu wa kufaa kuwa Rais wa nchi hii ni huyu haijalishi ni mCCM au mCHADEMA or whatsoever....
Hundiye Mr President Tundu Antipas Mughway Lissu aliyechaguliwa na watu whether some people like to hear it or they don't...!!
Una kichaa cha mbwa mwehu! Kura hampigi halafu mnataka ushindi!Hivi huyu ndugu hafai kuwa Rais wa JMT just because he's from Opposition Party - CHADEMA, hana uwezo wala sifa za kuwa Rais na mkuu wa nchi au tatizo lake ni nini hasa?
Na kama tatizo ni kwa sababu yuko chama cha upinzani, I suggest ajiunge haraka sana CCM na John Pombe Magufuli immediately ampishe jamaa kwenye kiti chake maana huyu ndiye mshindi wa kiti cha Uraia ktk sanduku la kura kwenye uchaguzi uliopita...!!
Jamani eeeh, we don't care anatoka chama gani. Sisi tunamhitaji mtu na mtu wa kufaa kuwa Rais wa nchi hii ni huyu haijalishi ni mCCM au mCHADEMA or whatsoever....
Hundiye Mr President Tundu Antipas Mughway Lissu aliyechaguliwa na watu whether some people like to hear it or they don't...!!
Usisahau pia mjinga wa nchi kavu anaweza kuwa mjanja wa baharini.🤔🤔🤔🤔Nikisomaga comments za hivi ndio naamini Nchi hii ina wajinga wengi maelezo hakuna
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Mnae ungankono madictetor endeleeniBaada ya kumtumia mabeberu yameamua kumpoza mwenzao.. To hell Lisu msaliti
Bahati mbaya sana viongozi wa CCM, wanachama wao na wananchi wengi hawaelewi lughà iliyotumika kwenye Videos kwa hiyo hawataelewa kilichosemwa. Bora elimu!View attachment 1646533
Video hiyo hapo juu ni David McAllister - Deputy Chairperson of International Democratic Union (IDU) & Member of European Parliament akitoa maelezo mafupi kabla ya kumkabidhi tuzo hiyo Mh. Tundu Lissu...
Na katika video hii hapa chini Tundu Lissu akitoa neno la shukrani baada ya kupokea tuzo hiyo...
Hongera sana Mh. Tundu A. Lissu. Binafsi nakutakia kila la kheri...
View attachment 1646534
Mungu alivyo Mkuu acha tu! Juzi umekuja na kiuzi chako uchwara eti wazungu wamemtupa Lissu, leo Mungu kakujibu kuwa huna lolote na hujui unalowaza.Wazungu wanajua kucheza na akili za wajinga!
Wahenga walisema, ''wajinga ndio waliwao''.
Umempa za uso hadi nafikiri atakuwa kachanganyikiwa huko😂😂😂😂Ni kweli wanacheza na akili hata za kwako
Leo mnasubiria chanjo ya corona toka kwa mzungu
Mzungu anawatengenezea mpaka simu
Unatumia magari ya mzungu
Wewe unachojua maishani mwako ni kulala na kuamka basi
Mchana unapiga pambio za kusifu, Hufikirii uvumbuzi na ugunduzi
Ahaaa unawaza mabeberu wamsaidie dawa za presha Baba yako huko kijijini kwa kushusha bei ili NHIF waingize kwenye dawa za msingi
Kuna muda mwanangu akichoka kuangalia katuni huwa nampa simu asome vichekesho vya kwako unavyoandika hapa JF
CCM hatuna 'Wendawazimu' na 'Mashoga' kama Wewe tafadhali. Ukiona hadi GENTAMYCINE naipenda CCM jua hata Mwenyezi Mungu anakipenda.
Hawa IDU si ndo marafiki kindakindaki wa chandimu? Hatudanganyiki!View attachment 1646533