Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,694
- 7,912
Angekuwa rais,Bibi Titi Mohammed,Kasim Hanga,Abdalah Fundikira,Kambona,Sheikh Taqadir,wote hao walimpingq Mwalimu Nyerere,na Mwalimu hakucheka nao.Walionja joto ya jiwe.Alishasema yoote na akatoa ufafanuzi jinsi wapigania Uhuru na Demokrasia walivyoshinda.
Infact huwezi kuchukua Nchi kilelemama. Anayopitia Tundu Lissu na wenzake ndio Price yenyewe na Soon atakuwa Rais JMT.
"Hakuna dola ambayo ilipambana na raia wake dola hiyo ikashinda" Mh. Christopher Kasanga Tumbo: (RIP)Eti Lissu alijua tutaandamana...... Kenya na Tanzania tofauti, hata Uhuru hatukuupata kqa njia ya mapambano. Jenga hoja kistaarabu utaeleweka. Mara uhaini, mara bunduki. Na asitarajie tutaandamana kuzuia uchaguzi, kama yeye tu kakamatwa, sisi tunaendelea kunywa seneta na kitimoto
Dola ikiamua kukushughulisha lazima utoshe
Upo sahihi kabisa.Hii formula walioyomshauri Mama naona kama wamemdanganya sana.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Atazimudu vzr tuAliutaka uchair hizi Ndio heka heka za Upinzani naimani atazimudu.
Kukamatwa na hawa polisi wa CCM ndiyo ticket ya Lissu kuwa rais wa jmt? Hauko serious.Alishasema yoote na akatoa ufafanuzi jinsi wapigania Uhuru na Demokrasia walivyoshinda.
Infact huwezi kuchukua Nchi kilelemama. Anayopitia Tundu Lissu na wenzake ndio Price yenyewe na Soon atakuwa Rais JMT.
Haowezaki kuvumilia tena haya matendo👇For sure bro
Kwanza mbona hatakaa,na akilazimisha ni menemene tekeli na peresi"Mwachie Lisu la sivyo utawala wako hautatosha kukaa kitini"
Nawaza!
Acha ujinga ndugu yanguBasi anaona siiiiifa kunyoova midole yake miwili kwenye camera ili mabwana zake wanaomtuma wamwongeze hela.
Uliza Mwalimu Nyerere,alivyowafanya kina Bibi Titi Mohammed,Kambona,Kasim Hanga,Sheikh Taqadir,Abdallah Fundikira,hakuwachekea,walionja joto ya jiwe.Haya mambo yanamdhalilisha SSH, yanamfanya aonekane muoga siyejiamini!
Unaumia ukiwa wapi kunduchi au doleBasi anaona siiiiifa kunyoova midole yake miwili kwenye camera ili mabwana zake wanaomtuma wamwongeze hela.
Mwisho wa siku ilisaidia nini?Angekuwa rais,Bibi Titi Mohammed,Kasim Hanga,Abdalah Fundikira,Kambona,Sheikh Taqadir,wote hao walimpingq Mwalimu Nyerere,na Mwalimu hakucheka nao.Walionja joto ya jiwe.
Mandela alikaa Gerezani miaka 27, vipi Afrika Kusini haikupata Ukombozi?Kwa kesi ya uhaini aliyofunguliwa haina dhamana japokua atashinda kesi ila atakua amekaa mahabusu kwa miezi 16
Bi tozo bwana anategemea mwaka huu atamzuie Lissu😀😀😀😀Mhe. Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jioni hii.
View attachment 3299143
Hapo Mapema leo, Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma kupitia Kamanda wa Polisi mkoani humo, SACP Marco Chilya limesema Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu anashikiliwa kwa tuhuma za kutoa maneno ya uchochezi yenye lengo la kuzuia Uchaguzi.
Jeshi la Polisi limetoa onyo kwa vyama vyote vya siasa na wananchi kwa ujumla kuepuka kauli au matendo yanayoweza kusababisha taharuki na kuharibu amani, likisisitiza kuwa halitasita kuchukua hatua za kisheria dhidi ya yeyote atakayekiuka sheria.
Wanamwingiza chaka bibi, wanaongeza chuki za watz dhidi ya serikaliHii formula walioyomshauri Mama naona kama wamemdanganya sana.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Na wewe Bwana wako akuongezee nin vile!Basi anaona siiiiifa kunyoova midole yake miwili kwenye camera ili mabwana zake wanaomtuma wamwongeze hela.
Eti Lissu alijua tutaandamana...... Kenya na Tanzania tofauti, hata Uhuru hatukuupata kqa njia ya mapambano. Jenga hoja kistaarabu utaeleweka. Mara uhaini, mara bunduki. Na asitarajie tutaandamana kuzuia uchaguzi, kama yeye tu kakamatwa, sisi tunaendelea kunywa seneta na kitimoto
Dola ikiamua kukushughulisha lazima utoshe
Hakuna chuki yoyote Mwalimu Nyerere hakucheka na watu,wanaotaka kuvuruga amani.Aulize kina Bibi Titi Mohammed,Kambona,Kasimu Hanga,Abdallah,kina Sheikh Taqadir,na wale waloteka Air Tanzania,waliishia wapi.Mwalimu alikuwa hacheki na wavunja amani ya nchi.Wanamwingiza chaka bibi, wanaongeza chuki za watz dhidi ya serikali