Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Hii ni kama style ya Steve Biko ya kucheza mpira huku akihamasisha kupigania haki.
 
Site wasiopenda haki ni watu uchwara.
 
alafu kigoma watu wakawa hawana habari nae aise
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna kura za huruma,kisa ulishambuliwa na wakora.

Unamaanisha wakora wale:

1. waliowaondoa polisi walinzi kwenye yale makazi ya viongozi?

2. waliokwenda kuondoa CCTV cameras na recordings zilizochukua tukio lile, baada ya tukio.

3. wale waliokwenda kumnyima stahiki zake za kujikimu na za matibabu ili afe hata kwa kukosa matibabu?

4. wale waliokwenda kumfuta ubunge ati kuwa walikuwa hawajui alikuwa wapi?

5. wale ambao badala ya kukamatwa kwa tukio lile la kijambazi, leo wanapatikana kwenye yale magari yenye nambari tata za usajili t2020pjm na wako vizuri?

6. wale ambao watu fulani leo wanawalaumu kwa kutomaliza ile kazi kikamilifu kwani kiutaratibu risasi 3 huwa zinatosha sana?

7. nk, nk.

Kweli mabwana hao ni wakora kweli kweli. Baada ya Oct 28 kila mmoja ataubeba msalaba wake mwenyewe.
 
Lisu ndio kawa kituko kabisa!

Huyu jamaa akikosa urais anaweza kuchanganyikiwa!
 
Hivi vitu hata Lissu akikabidhiwa Mamlaka mbona atavifanya tu,hata wewe unaweza,ni kiasi cha kukusanya kodi na kuandaa bajeti bungeni,so easy...hakuna cha ajabu hapo
Nchi sio porojo za sheria, unafikili hayo anyosema anaweza kuyasimamia?
Mtu amtukane yeye acheke eti uhuru na haki?
Kama aliweza kuwatukana wale wazee wa kamahi ya madini bila sababu sasa huu ni wa kuaminika?
 
Kwa kweli Lissu anatufaa sana watanzania ni mtu jasiri na mpenda haki sana.
 
Wewe uliona kwa macho yako wakati wakora wanamshambulia?
 
Wewe uliona kwa macho yako wakati wakora wanamshambulia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…