Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Aiseeh, kwenda mahemezi mpaka awe na camera man? Anajua bila camera anasahaulika!
 
Kwa mujibu wa udikteta wanaweza
Ila kwa mujibu wa sheria hawawezi
Tatizo labda kwa sababu adhabu inatolewa na NEC inaweza leta picha mbaya.

Lakini hiyo adhabu ingekuwa imetolewa na mahakama na wakaamua kumuongezea kwa kukaidi awezi kushinda appeal miaka 800 the intention of the punishment is clear and the general definition of campaign is clear.

Halafu NEC safu ya juu ni experienced judges ambao ni mabingwa wa judicial creativity na wana approach kibao za kutafsiri; kama nilivyosema wamemchoka tu huyo β€˜Masakuu’ na vitimbi vyake nothing more.
 
Nchi sio porojo za sheria, unafikili hayo anyosema anaweza kuyasimamia?
Mtu amtukane yeye acheke eti uhuru na haki?
Kama aliweza kuwatukana wale wazee wa kamahi ya madini bila sababu sasa huu ni wa kuaminika?
Kwani Magufuli ana nini cha ajabu ambacho Lissu hana?
 
Jana alifikiri barabara ZOTE za kkoo zingefungwa kwa ajili yake
Amekuta kila Mtu anaendelea na shughuli zake isipokuwa wajinga wachache Sana walioliomfuata
 
Kituko kabisa.

Si alishawahi kusema Tanzania si nchi salama? Mbona anakuwa kwenye mikusanyiko halafu poa tu.
 
Kituko kabisa.

Si alishawahi kusema Tanzania si nchi salama? Mbona anakuwa kwenye mikusanyiko halafu poa tu.
Na huo ndo ukweli. Tanzania si nchi salama, hasa ukitofautiana na wenye mamlaka.
 
Yule tayari kashuka, kupambana na ccm lazima ujiandae kwa hali na mali na kwa miaka mingi.Utashangaa atakaporejea kumalixia kampeni atakuwa amechuja saaaaaaana.Tunasubiri JPM kula kiapo cha utii wa katiba kwa miaka 5 ijayo
 
To put it simple,hakuna cha maana ulichoandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…