Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Video: Tundu Lissu aingia soko la mitumba Manzese kutafuta Cadet na Jeans za mitumba

Aiseeh, kwenda mahemezi mpaka awe na camera man? Anajua bila camera anasahaulika!
 
Kwa mujibu wa udikteta wanaweza
Ila kwa mujibu wa sheria hawawezi
Tatizo labda kwa sababu adhabu inatolewa na NEC inaweza leta picha mbaya.

Lakini hiyo adhabu ingekuwa imetolewa na mahakama na wakaamua kumuongezea kwa kukaidi awezi kushinda appeal miaka 800 the intention of the punishment is clear and the general definition of campaign is clear.

Halafu NEC safu ya juu ni experienced judges ambao ni mabingwa wa judicial creativity na wana approach kibao za kutafsiri; kama nilivyosema wamemchoka tu huyo ‘Masakuu’ na vitimbi vyake nothing more.
 
Nchi sio porojo za sheria, unafikili hayo anyosema anaweza kuyasimamia?
Mtu amtukane yeye acheke eti uhuru na haki?
Kama aliweza kuwatukana wale wazee wa kamahi ya madini bila sababu sasa huu ni wa kuaminika?
Kwani Magufuli ana nini cha ajabu ambacho Lissu hana?
 
Jana alifikiri barabara ZOTE za kkoo zingefungwa kwa ajili yake
Amekuta kila Mtu anaendelea na shughuli zake isipokuwa wajinga wachache Sana walioliomfuata
 
Kituko kabisa.

Si alishawahi kusema Tanzania si nchi salama? Mbona anakuwa kwenye mikusanyiko halafu poa tu.
 
Kituko kabisa.

Si alishawahi kusema Tanzania si nchi salama? Mbona anakuwa kwenye mikusanyiko halafu poa tu.
Na huo ndo ukweli. Tanzania si nchi salama, hasa ukitofautiana na wenye mamlaka.
 
Kuna Mdau humu aliwahi Kusema Tundu Lissu anatakuwa kuwa Presidential. Sasa naanza Kumwelewa kwa undan.

Huyu Tundu Lissu Anazurula tu sasa ivi, na Anazurula Dar es Salaam Ambako Watu huwa hawabadilishwi Msimamo Hata Angetandikwa Risasi zingine Wana CCM na wanaompenda Magufuli Hawatajali Hali Yake Kura watampigia Magufuri.

Anawatania Watanzania Kwa Kiasi Ambacho in Wahuni na wapumbavu wanaweza Shanglia na kumsifia Kuwa Anaakili. Ivi Mimi kama mpiga Kura Mpya Nashawishiwa Vipi na mtuninaejua fika Amekuja Kunitembelea sehemu yangu ya Biashara kwa sababu tu kapewa Adhabu, Dhamani ya Hawa anaokwenda kuwatembelea Leo imekuja baada ya yeye kupewa Adhabu.
Tundu Lissu Nguo na Vyakula Ndio vimeisha Ndani Baada ya Adhabu😂😂😂😂😂 Naandika huku Nacheka Kabisa.

Nawashangaaa sana Watu wanashangilia Tundu Lissu Kwenda Kuzurula To Honest Umaarufu Wa *Tundu Lissu anaushusha mwenyewe* Tukubali Tanzania in Tunahitaji Jembe Kama Magufuli na Sio MTU Wa Mzahaa kama Huyu Tundu Lissu Asie na Strategy Anakwenda tu kama Ngo'mbe iliyoachwa na Wenzie.

Kama kweli Angekuwa na Strategy Huyu Mzee asieijua Siasa. Sehemu Ambazo angeenda kuzurula in zile amabzo hazijawai kufikiwa na mwansisa yoyote awe Wa chama Tawala au Upinzani, Kule ndio angeweza Badilisha Mawazi ya Wapiga Kula Ila Sio Soko la Manzese au wala Bata Wa mlimani City.

Ila kwa Sababu Huyu MTU sio Mwanasisa Wacha Azurulule.

Mimi kuzurulal kwanke naona kabisa anashusha umaarufua na Kuharibu Kampeni me nilipenda Rais Mpendwa Wa Wengi Japo Apate Changamoto kila wamempa mzurulaji.

Ivi unajua Kwanini Mnaona Magufuli ameona Apumzike aendelee na Shughulia za kitaifa?😂😂😂 Kisa in huyu Upinzani Uchwala Mzee Magu Kaona Anapoteza Muda Tu maana Ushindi ni wakishindo wacha apigae kazi za maaana
Yule tayari kashuka, kupambana na ccm lazima ujiandae kwa hali na mali na kwa miaka mingi.Utashangaa atakaporejea kumalixia kampeni atakuwa amechuja saaaaaaana.Tunasubiri JPM kula kiapo cha utii wa katiba kwa miaka 5 ijayo
 
Tatizo labda kwa sababu adhabu inatolewa na NEC inaweza leta picha mbaya.

Lakini hiyo adhabu ingekuwa imetolewa na mahakama na wakaamua kumuongezea kwa kukaidi awezi kushinda appeal miaka 800 the intention of the punishment is clear and the general definition of campaign is clear.

Halafu NEC safu ya juu ni experienced judges ambao ni mabingwa wa judicial creativity na wana approach kibao za kutafsiri; kama nilivyosema wamemchoka tu huyo ‘Masakuu’ na vitimbi vyake nothing more.
To put it simple,hakuna cha maana ulichoandika.
 
Back
Top Bottom