Ni bomu lilokwisha muda wake kama yai viza. Ushahidi ni ziara zake mitaani ambako alitegemea biashara zingefungwa kwa ajili yake lakini maisha yanaendelea. Wamempuuza kasoro kundi la vijana waliolipwa kumsindikiza wakimkejeli kwa kumuita Rais.Kumdhuru Lissu ni kama kuchomoa kipini kwenye grenade,litamlìpukia mchomoaji na walio karibu yake...
Mkuu inaonekana unamaumivu makali sana kwenye qynyeo
Wamemchoka tu sio kwamba awajui tafsiri ya anachofanya ni political campaign.
Kama wangekuwa wana shida nae wanamuongezea adhabu kirahisi sana.
Hakuna cha akili yeyote zaidi ya kuendelea na ukaidi tangia amerudi.
Adhabu ipo wazi amezuiwa kufanya political campaign (general) sio kutokufanya mikutano tu (exclusive).
Maumivu kwenye qynyeoNi bomu lilokwisha muda wake kama yai viza. Ushahidi ni ziara zake mitaani ambako alitegemea biashara zingefungwa kwa ajili yake lakini maisha yanaendelea. Wamempuuza kasoro kundi la vijana waliolipwa kumsindikiza wakimkejeli kwa kumuita Rais.
Kwa uthibtisho wa hoja yangu, kesho Uwanja wa Taifa patafurika watu (vijana kwa wazee) kumsikiliza Rais wao. Bila shaka mtakuja humu na vijoa vyenu badala ya hoja kuwa watu watafuata kuwaona wasanii.
Fumbo mfumbi mjinga
Mkuu BAK kama uko karibu naye, au wafuasi wake, mwambie/waambie nafasi anayegombea siyo ya Serikali za Mitaa. Anachofanya kwa sasa kuzunguka mitaani, pamoja na kuhatarisha maisha yake (kumbuka amekuwa akidai usalama wa maisha yake kwa jeshi la polisi na usalama wa taifa), ni kichekesho. Vijana wa mjini wanamwona kama kinyago vile.
HAKIKA LISSU ni mwanasiasa uchwara
Hawana tofauti na majambazi maana upo somba watu na kuwapa pesa kisha ukafurahia kuwa watu wana kupenda lazima kichwa kiwe hakipo sawa ni sawa na kujitekenya mwenyewe na kuchekaKesho yuko Taifa magari yanasoma watu kutoka Mbweni? Mabwepande na Mkuranga😃😃😃
Sasa unawakejeli wamachinga, fikiri kabla ya kuandika.Kageuka kuwa ze comedy ya jiji
Kesho yuko Taifa magari yanasoma watu kutoka Mbweni? Mabwepande na Mkuranga[emoji2][emoji2][emoji2]
Na kwenda kunywa madafu.View attachment 1594427
Mkifunga mlango huu mwingine inafunguliwaHuyo bwana anatia huruma
Ila sio huruma za kura[emoji3] kichapo kipo pale pale
hapana sina hulka hiyo....ni utani tu mkuu..Usinitishe wewe! Katafuta wa kuwatisha.
We unaishi nae?umejuaje kama hajawahi kwenda hapo?nyie mlishasema tar 28 mnamchagua meko lakini cha ajabu bado hamtulii.mnatamani aondolewe asigombee kabisa.Meko chattle inamuhusu mwezi ujao.Huyu kibaraka wa mabeberu kwa kihadaa watu hajambo. Kipindi akiwa mbunge, hiyo manzese alikuwa anapapita kama kituo cha polisi.
Hakika mkuu,mwingine alienda hadi kusonga ugali mtaani.huyo wenu anaweza kunywa hata gongo ilimradi tu aonekane ni rais wa waliokata tamaa.
Hakika mkuu,mwingine alienda hadi kusonga ugali mtaani.View attachment 1594581
Hata beberu jana limetoa bil 44 kwa Tasaf mkazilishe kaya maskini mkaliita ni development partner lkn haohao wakiongea na wakina Lissu wanaitwa ni Mabeberu.ajabu huyu mnamwita muigizaji,ila huyo ni mashirika wa wananchi[emoji28][emoji28].
Hata beberu jana limetoa bil 44 kwa Tasaf mkazilishe kaya maskini mkaliita ni development partner lkn haohao wakiongea na wakina Lissu wanaitwa ni Mabeberu.View attachment 1594582
Bado naendelea kuwaelewa taratiiiibu.hata lowassa aliiitwa fisadi,ila alipotua chadema akawa nguvu ya wananchi.
hujamuelewa kiumbe binadamu bado.
Bado naendelea kuwaelewa taratiiiibu.View attachment 1594584