mwengeso
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 9,227
- 6,670
Ni bomu lilokwisha muda wake kama yai viza. Ushahidi ni ziara zake mitaani ambako alitegemea biashara zingefungwa kwa ajili yake lakini maisha yanaendelea. Wamempuuza kasoro kundi la vijana waliolipwa kumsindikiza wakimkejeli kwa kumuita Rais.Kumdhuru Lissu ni kama kuchomoa kipini kwenye grenade,litamlìpukia mchomoaji na walio karibu yake...
Kwa uthibtisho wa hoja yangu, kesho Uwanja wa Taifa patafurika watu (vijana kwa wazee) kumsikiliza Rais wao. Bila shaka mtakuja humu na vijoa vyenu badala ya hoja kuwa watu watafuata kuwaona wasanii.
Fumbo mfumbi mjinga