Kahama,sheluhi,shinyanga mjini jana uliona??Hamna kitu..wanachokifanya chedema wanampitisha jamaa kwenye yale majimbo machache,ambayo ndio ngome za chadema..mfano hapo mara mjini kuna Bulayo..kule kijijini kwa Lissu ni wazi lazima watu wajtokeze..wanafanya hivi ilikuleta attention kwa wajinga.
Hamna kitu,subirini jogoo liwike..huyo mtetea wenu..atapanua miguu mwenyeweKahama
Kahama,sheluhi,shinyanga mjini jana uliona??
Huyu ni Lissu siyo Lowassa...mwaka huu betri zitapiga sjoti na kuunguaLowassa alidekiwa barabara huko na kura wakamyima.
View attachment 1535371
Sina la kusema. Kiongozi anayependwa halindwi na bunduki, analindwa na wanaompenda ambao ni wananchi. Hii ndiyo inaitwa nguvu ya umma! Kila la heri Rais mpya wa Tanzania.
Mh simchezo, kuna kikundi cha watu wakiona hivi wanakosa cha kumwambia waliozoea kumsifia.😂😂😂View attachment 1535371
Sina la kusema. Kiongozi anayependwa halindwi na bunduki, analindwa na wanaompenda ambao ni wananchi. Hii ndiyo inaitwa nguvu ya umma! Kila la heri Rais mpya wa Tanzania.
Umenikumbusha. Ikanibidi nifustilie clip zote tokea Dodoma, Manyoni, Singida, Shelui,Nzega,Shinyanga,Kahama hadi Tarime.
Hakika sijaona bunduki ya kulinda amani wala crown ya Polisi. Pamoja na umati mkubwa sana wa watu lakini hali ya usalama ni kubwa mno. Sio vijana wala kina mama wanao onekana kuwa na hofu na usalama wao. Why?
Jibu ni kuwa fujo nyingi chanzo ni polisi kuingilia shughuli bila kutumia akili.
Nadhani Chadema imewafundisha Polisi na serikali kuwa wao ni wastaarabu sana na wasichokozwe kuharibiwa shughuli zao
Bado saana hapao wameisha majumbani na hapo hawazidi 1000 kati ya wato 50000Unajua kura ilizopata Chadema mkoa wa Mara? Yani kiufupi mwaka huu 2020 tunaweka rekodi mpya! Mtatafutana nasema
Watu wenye akili timamu wangejiuliza kuna watia nia 16 kutoka vyama tofauti mbona wengine wote awatafuti wadhamani kwa mtindo wa CDM.
Tatizo lingine la Lissu ni kujifanya ‘Much Know’.
You know what they say ‘sungura mjanja unasa kwenye tundu bovu’.Kwa hiyo
Ndiyo maana wewe unapenda kuongozwa na "less know" anayeipeleka nchi hii kuzimu huku mkiwepo mnatazama?
How stupid!
Acha kukariri ndugu yangu, je unaweza kutuambia sheria au kanuni ya jinsi ya kutafuta wadhamini ikoje na inasemaje?Watu wenye akili timamu wangejiuliza kuna watia nia 16 kutoka vyama tofauti mbona wengine wote awatafuti wadhamani kwa mtindo wa CDM.
Tatizo lingine la Lissu ni kujifanya ‘Much Know’.
Zipo published kwenye website ya NEC unaweza download. Website yao inachukua muda ku load sasa sijui issue ni connection yangu au site yao.Acha kukariri ndugu yangu, je unaweza kutuambia sheria au kanuni ya jinsi ya kutafuta wadhamini ikoje na inasemaje?
Wapambe humdanganya magufuli kuwa anapendwa wapate kula pesa zake wakwae Teuzi TeuziMeko atakufa kwa pressure mwaka huu.
Anajuta sana kwanini aliwaziba wenzie midomo kwenye masuala ya kisiasa kwa miaka minne na nusu.
Alipokuwa anatamba peke yake alidhani watanzania wanampenda kumbe alikuwa anajidanganya.
Ona sasa mgombea wa CHADEMA anavyopokelewa kifalme kila apitapo.
Mwaka 2020 ni tofauti na mwaka 2015Lowassa alidekiwa barabara huko na kura wakamyima.
https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1595919061-SUPP GN NO 402 TEXT 5 JUNE 2020 - THE National Elections Regulations 15 May 2020.pdfAcha kukariri ndugu yangu, je unaweza kutuambia sheria au kanuni ya jinsi ya kutafuta wadhamini ikoje na inasemaje?