Uchaguzi 2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

Uchaguzi 2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

Kahama
Hamna kitu..wanachokifanya chedema wanampitisha jamaa kwenye yale majimbo machache,ambayo ndio ngome za chadema..mfano hapo mara mjini kuna Bulayo..kule kijijini kwa Lissu ni wazi lazima watu wajtokeze..wanafanya hivi ilikuleta attention kwa wajinga.
Kahama,sheluhi,shinyanga mjini jana uliona??
 
View attachment 1535371
Sina la kusema. Kiongozi anayependwa halindwi na bunduki, analindwa na wanaompenda ambao ni wananchi. Hii ndiyo inaitwa nguvu ya umma! Kila la heri Rais mpya wa Tanzania.

Umenikumbusha. Ikanibidi nifustilie clip zote tokea Dodoma, Manyoni, Singida, Shelui,Nzega,Shinyanga,Kahama hadi Tarime.

Hakika sijaona bunduki ya kulinda amani wala crown ya Polisi. Pamoja na umati mkubwa sana wa watu lakini hali ya usalama ni kubwa mno. Sio vijana wala kina mama wanao onekana kuwa na hofu na usalama wao. Why?

Jibu ni kuwa fujo nyingi chanzo ni polisi kuingilia shughuli bila kutumia akili.

Nadhani Chadema imewafundisha Polisi na serikali kuwa wao ni wastaarabu sana na wasichokozwe kuharibiwa shughuli zao
 
View attachment 1535371
Sina la kusema. Kiongozi anayependwa halindwi na bunduki, analindwa na wanaompenda ambao ni wananchi. Hii ndiyo inaitwa nguvu ya umma! Kila la heri Rais mpya wa Tanzania.
Mh simchezo, kuna kikundi cha watu wakiona hivi wanakosa cha kumwambia waliozoea kumsifia.😂😂😂
 
Watu wenye akili timamu wangejiuliza kuna watia nia 16 kutoka vyama tofauti mbona wengine wote awatafuti wadhamani kwa mtindo wa CDM.

Tatizo lingine la Lissu ni kujifanya ‘Much Know’.
 
Umenikumbusha. Ikanibidi nifustilie clip zote tokea Dodoma, Manyoni, Singida, Shelui,Nzega,Shinyanga,Kahama hadi Tarime.
Hakika sijaona bunduki ya kulinda amani wala crown ya Polisi. Pamoja na umati mkubwa sana wa watu lakini hali ya usalama ni kubwa mno. Sio vijana wala kina mama wanao onekana kuwa na hofu na usalama wao. Why?
Jibu ni kuwa fujo nyingi chanzo ni polisi kuingilia shughuli bila kutumia akili.
Nadhani Chadema imewafundisha Polisi na serikali kuwa wao ni wastaarabu sana na wasichokozwe kuharibiwa shughuli zao

Kwa bahati mbaya ndugu yangu hatuna Jeshi la Polisi kwa sasa, tunacho kitengo cha Tume ya Uchaguzi kinachoongozwa na IGP lakini kinapokea maagizo yake kutoka juu.

Hivi sasa ma RPC na APC walivyofura wakiona hakuna fujo inafanyika na badala yake wananchi wanajumuika kwa amani. Lakini asikudanganye mtu mipango yao ya kuvuruga mikutano ya upinzani inaendelea kama kawaida.

Ila safari hii wakae chonjo, mziki wa uchaguzi wa Oktoba ni mnene na mwenye macho haambiwi tazama wala mwenye masikio haambiwi sikiliza.
 
Unajua kura ilizopata Chadema mkoa wa Mara? Yani kiufupi mwaka huu 2020 tunaweka rekodi mpya! Mtatafutana nasema
Bado saana hapao wameisha majumbani na hapo hawazidi 1000 kati ya wato 50000
 
Nilichogundua Jpm anawapa kiki wapinzani kwa kuwaziba midomo na mbaya zaidi LISSU anapendwa na kukubalika ili alipize kisasi juu ya awamu hii kwa badiliko hasi la maisha haswa wafanya biashara.ILA UKWELI UTABAKI MKUU ANAIENDELEZA NCHI KISIFA NA MATOKEO CHANYA TUNAYAONA
 
Kikubwa nashauri swala lisu kupigwa risasi awaachie viongozi wengine wamsemee majukwaani lisu ni hitaji la watanzania Kwa sasa Bado ni kijana mwenye nguvu namtakia ushindi mwema
 
Kwa hiyo
Watu wenye akili timamu wangejiuliza kuna watia nia 16 kutoka vyama tofauti mbona wengine wote awatafuti wadhamani kwa mtindo wa CDM.

Tatizo lingine la Lissu ni kujifanya ‘Much Know’.

Ndiyo maana wewe unapenda kuongozwa na "less know" anayeipeleka nchi hii kuzimu huku mkiwepo mnatazama?

How stupid!
 
Kwa hiyo

Ndiyo maana wewe unapenda kuongozwa na "less know" anayeipeleka nchi hii kuzimu huku mkiwepo mnatazama?

How stupid!
You know what they say ‘sungura mjanja unasa kwenye tundu bovu’.

Yetu macho na masikio ni CDM peke yake ndio wenye uwezo wa kutafuta wadhamini kwa mikogo wengine wote vilaza wasiojua kutumia fursa za siasa zilizo mbele yao.
 
Watu wenye akili timamu wangejiuliza kuna watia nia 16 kutoka vyama tofauti mbona wengine wote awatafuti wadhamani kwa mtindo wa CDM.
Tatizo lingine la Lissu ni kujifanya ‘Much Know’.
Acha kukariri ndugu yangu, je unaweza kutuambia sheria au kanuni ya jinsi ya kutafuta wadhamini ikoje na inasemaje?
 
Acha kukariri ndugu yangu, je unaweza kutuambia sheria au kanuni ya jinsi ya kutafuta wadhamini ikoje na inasemaje?
Zipo published kwenye website ya NEC unaweza download. Website yao inachukua muda ku load sasa sijui issue ni connection yangu au site yao.
 
Meko atakufa kwa pressure mwaka huu.

Anajuta sana kwanini aliwaziba wenzie midomo kwenye masuala ya kisiasa kwa miaka minne na nusu.

Alipokuwa anatamba peke yake alidhani watanzania wanampenda kumbe alikuwa anajidanganya.

Ona sasa mgombea wa CHADEMA anavyopokelewa kifalme kila apitapo.
Wapambe humdanganya magufuli kuwa anapendwa wapate kula pesa zake wakwae Teuzi Teuzi
 
Acha kukariri ndugu yangu, je unaweza kutuambia sheria au kanuni ya jinsi ya kutafuta wadhamini ikoje na inasemaje?
https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1595919061-SUPP GN NO 402 TEXT 5 JUNE 2020 - THE National Elections Regulations 15 May 2020.pdf

4D188FB8-DEF1-4C9C-8BAB-043CB6903EE9.jpeg

Endeleeni kuita icho kinachofanywa na Lissu ni kutafuta wadhamini sio campaign lakini utaratibu wa kuanza campaign upo wazi.

Watanzania sio wajinga utoto wa CDM kila mtu anaona. Lissu ni mtu wa kupenda matatizo na kujiliza baadae as if yeye ni victim wakati at heart the guy is a ‘trouble maker’.
 
Back
Top Bottom