Uchaguzi 2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

Nimekuuliza kuhusu sheria, kanuni, mwongozo n.k. kuhusu utafutaji wa wadhamini. Kumbuka hawa mpaka sasa wamepitishwa tu na vyama vyao lakini hawajateuliwa rasmi kugombea. Kampeni zitaanza baada ya kurudisha fomu na kupitishwa na tume. Hiyo nukuu yako ni sheria/kanuni za kampeni ambazo zitaanza tarehe 26/10/2020 kama sijakosea.
 
Magu ndio anaitema Chamwino hivi hivi? Akipata zaidi ya 30% naacha kushabikia siasa!
 
Hamna kitu..wanachokifanya chedema wanampitisha jamaa kwenye yale majimbo machache,ambayo ndio ngome za chadema..mfano hapo mara mjini kuna Bulayo..kule kijijini kwa Lissu ni wazi lazima watu wajtokeze..wanafanya hivi ilikuleta attention kwa wajinga.
Si huwa mnasema kanda ya ziwa ni ngome ya Jiwe?
 
Hafi wala hana pressure, yuko fresh kabisa. Nyie campaign yenu imekuwa ni vilio tuu
Lazima afe kwa presha. Watanzania wamemfanyia kama ya wajumbe kigamboni.

Kumbe zile tambo zote wananchi waliuwa wanamcheki tu.
 
Watu wenye akili timamu wangejiuliza kuna watia nia 16 kutoka vyama tofauti mbona wengine wote awatafuti wadhamani kwa mtindo wa CDM.

Tatizo lingine la Lissu ni kujifanya ‘Much Know’.
Dogo, hao wengine woote ni wasindikizaji
 
.... wala mwana hatumwi dukani!
 
Lowassa kama angepiga kampeni kama Lissu Chadema tungeshinda, Lowassa alikua akipanda jukwaani hamalizi dakika mbili anamaliza.Lissu anaongea mpaka unatamani Masaa yasimame ili asiondoke.
Ana mwaga UPUPU!! kwani ukiwa binadamu mwenye akili timamu lazima tu ubongo uwashe kutokana na points anazotoa!! Na kukupelekea siku hiyo ufanye uamuzi sahihi!!!
 
Ninachoshukuru amekubali korona si kama alivyodhania

Watu si wameshakufa waliobaki ni wale wenye kinga hata kama wangekuwa wanakufa 300 kila siku kwa ukubwa wa nchi yetu bila kutangazwa usingejuwa maana wangekuwa wanakufa wawili kwa siku kila wilaya sasa kwa ukubwa wa wilaya hivi wakifa watu wawili kwa siku utafahamu kuwa katika hiyo wilaya kuna tatizo la corona kweli
 
Napata furaha na raha mchanganyiko

Who laughs last laughs the best

Ni zamu yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…