Uchaguzi 2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

Uchaguzi 2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

Endeleeni kuita icho kinachofanywa na Lissu ni kutafuta wadhamini sio campaign lakini utaratibu wa kuanza campaign upo wazi. Watanzania sio wajinga Lissu ni mtu wa kupenda matatizo na kujiliza baadae as if yeye ni victim wakati at heart the guy is a ‘trouble maker’.
Nimekuuliza kuhusu sheria, kanuni, mwongozo n.k. kuhusu utafutaji wa wadhamini. Kumbuka hawa mpaka sasa wamepitishwa tu na vyama vyao lakini hawajateuliwa rasmi kugombea. Kampeni zitaanza baada ya kurudisha fomu na kupitishwa na tume. Hiyo nukuu yako ni sheria/kanuni za kampeni ambazo zitaanza tarehe 26/10/2020 kama sijakosea.
 
Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama.

Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!
View attachment 1535361
View attachment 1535464
Magu ndio anaitema Chamwino hivi hivi? Akipata zaidi ya 30% naacha kushabikia siasa!
 
Hamna kitu..wanachokifanya chedema wanampitisha jamaa kwenye yale majimbo machache,ambayo ndio ngome za chadema..mfano hapo mara mjini kuna Bulayo..kule kijijini kwa Lissu ni wazi lazima watu wajtokeze..wanafanya hivi ilikuleta attention kwa wajinga.
Si huwa mnasema kanda ya ziwa ni ngome ya Jiwe?
 
Hafi wala hana pressure, yuko fresh kabisa. Nyie campaign yenu imekuwa ni vilio tuu
Lazima afe kwa presha. Watanzania wamemfanyia kama ya wajumbe kigamboni.

Kumbe zile tambo zote wananchi waliuwa wanamcheki tu.
 
Watu wenye akili timamu wangejiuliza kuna watia nia 16 kutoka vyama tofauti mbona wengine wote awatafuti wadhamani kwa mtindo wa CDM.

Tatizo lingine la Lissu ni kujifanya ‘Much Know’.
Dogo, hao wengine woote ni wasindikizaji
 
Kwa bahati mbaya ndugu yangu hatuna Jeshi la Polisi kwa sasa, tunacho kitengo cha Tume ya Uchaguzi kinachoongozwa na IGP lakini kinapokea maagizo yake kutoka juu. Hivi sasa ma RPC na APC walivyofura wakiona hakuna fujo inafanyika na badala yake wananchi wanajumuika kwa amani. Lakini asikudanganye mtu mipango yao ya kuvuruga mikutano ya upinzani inaendelea kama kawaida. Ila safari hii wakae chonjo, mziki wa uchaguzi wa Oktoba ni mnene na mwenye macho haambiwi tazama wala mwenye masikio haambiwi sikiliza.
.... wala mwana hatumwi dukani!
 
Lowassa kama angepiga kampeni kama Lissu Chadema tungeshinda, Lowassa alikua akipanda jukwaani hamalizi dakika mbili anamaliza.Lissu anaongea mpaka unatamani Masaa yasimame ili asiondoke.
Ana mwaga UPUPU!! kwani ukiwa binadamu mwenye akili timamu lazima tu ubongo uwashe kutokana na points anazotoa!! Na kukupelekea siku hiyo ufanye uamuzi sahihi!!!
 
Ninachoshukuru amekubali korona si kama alivyodhania

Watu si wameshakufa waliobaki ni wale wenye kinga hata kama wangekuwa wanakufa 300 kila siku kwa ukubwa wa nchi yetu bila kutangazwa usingejuwa maana wangekuwa wanakufa wawili kwa siku kila wilaya sasa kwa ukubwa wa wilaya hivi wakifa watu wawili kwa siku utafahamu kuwa katika hiyo wilaya kuna tatizo la corona kweli
 
Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama.

Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!
View attachment 1535361
View attachment 1535464
Napata furaha na raha mchanganyiko

Who laughs last laughs the best

Ni zamu yetu.
 
Back
Top Bottom