Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hivi Magufuli akimuona Lisu anang'aa bila kutumia mabavu kama yeye ana feel aje ?Chadema imekufa haya sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Magufuli akimuona Lisu anang'aa bila kutumia mabavu kama yeye ana feel aje ?Chadema imekufa haya sasa
Acha uwongoLowassa alidekiwa barabara huko na kura wakamyima.
Nimekuuliza kuhusu sheria, kanuni, mwongozo n.k. kuhusu utafutaji wa wadhamini. Kumbuka hawa mpaka sasa wamepitishwa tu na vyama vyao lakini hawajateuliwa rasmi kugombea. Kampeni zitaanza baada ya kurudisha fomu na kupitishwa na tume. Hiyo nukuu yako ni sheria/kanuni za kampeni ambazo zitaanza tarehe 26/10/2020 kama sijakosea.Endeleeni kuita icho kinachofanywa na Lissu ni kutafuta wadhamini sio campaign lakini utaratibu wa kuanza campaign upo wazi. Watanzania sio wajinga Lissu ni mtu wa kupenda matatizo na kujiliza baadae as if yeye ni victim wakati at heart the guy is a ‘trouble maker’.
Magu ndio anaitema Chamwino hivi hivi? Akipata zaidi ya 30% naacha kushabikia siasa!Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama.
Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!
View attachment 1535361
View attachment 1535464
Kwani uchaguzi ule ukiacha uchakachuaji, mshindi wa kweli alikuwa nani?Lowassa alidekiwa barabara huko na kura wakamyima.
Imekuuma sana bado angekaa kimya ungekuja na majungu yakoWatu wenye akili timamu wangejiuliza kuna watia nia 16 kutoka vyama tofauti mbona wengine wote awatafuti wadhamani kwa mtindo wa CDM.
Tatizo lingine la Lissu ni kujifanya ‘Much Know’.
Si huwa mnasema kanda ya ziwa ni ngome ya Jiwe?Hamna kitu..wanachokifanya chedema wanampitisha jamaa kwenye yale majimbo machache,ambayo ndio ngome za chadema..mfano hapo mara mjini kuna Bulayo..kule kijijini kwa Lissu ni wazi lazima watu wajtokeze..wanafanya hivi ilikuleta attention kwa wajinga.
Watakataa mwisho watakubali tu.Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama.
Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!
View attachment 1535361
View attachment 1535464
Lazima afe kwa presha. Watanzania wamemfanyia kama ya wajumbe kigamboni.Hafi wala hana pressure, yuko fresh kabisa. Nyie campaign yenu imekuwa ni vilio tuu
Dogo, hao wengine woote ni wasindikizajiWatu wenye akili timamu wangejiuliza kuna watia nia 16 kutoka vyama tofauti mbona wengine wote awatafuti wadhamani kwa mtindo wa CDM.
Tatizo lingine la Lissu ni kujifanya ‘Much Know’.
Kwa wajiwe wenzake. Yaani kila mahali wamemchoka Jiwe.Si huwa mnasema kanda ya ziwa ni ngome ya Jiwe?
CCM B kwanza hata wakifajnya hadharani wataona aibu. Mikutano yao inapwaya kama wa Juzi wa NCCR Pale Diamond JubileeDogo, hao wengine woote ni wasindikizaji
.... wala mwana hatumwi dukani!Kwa bahati mbaya ndugu yangu hatuna Jeshi la Polisi kwa sasa, tunacho kitengo cha Tume ya Uchaguzi kinachoongozwa na IGP lakini kinapokea maagizo yake kutoka juu. Hivi sasa ma RPC na APC walivyofura wakiona hakuna fujo inafanyika na badala yake wananchi wanajumuika kwa amani. Lakini asikudanganye mtu mipango yao ya kuvuruga mikutano ya upinzani inaendelea kama kawaida. Ila safari hii wakae chonjo, mziki wa uchaguzi wa Oktoba ni mnene na mwenye macho haambiwi tazama wala mwenye masikio haambiwi sikiliza.
KweliDah kuna baadhi tunaumia sana tukiona hii nyomi tunatamani tungekuwa sisi
Lowassa alidekiwa barabara huko na kura wakamyima.
Ana mwaga UPUPU!! kwani ukiwa binadamu mwenye akili timamu lazima tu ubongo uwashe kutokana na points anazotoa!! Na kukupelekea siku hiyo ufanye uamuzi sahihi!!!Lowassa kama angepiga kampeni kama Lissu Chadema tungeshinda, Lowassa alikua akipanda jukwaani hamalizi dakika mbili anamaliza.Lissu anaongea mpaka unatamani Masaa yasimame ili asiondoke.
Ninachoshukuru amekubali korona si kama alivyodhania
Napata furaha na raha mchanganyikoTutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama.
Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!
View attachment 1535361
View attachment 1535464