Uchaguzi 2020 Video: Tundu Lissu akiondoka Tarime jioni hii kuelekea mkoa wa Manyara, hadi wanawake wameamua kumlinda!

https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1595919061-SUPP GN NO 402 TEXT 5 JUNE 2020 - THE National Elections Regulations 15 May 2020.pdf

View attachment 1535472

Endeleeni kuita icho kinachofanywa na Lissu ni kutafuta wadhamini sio campaign lakini utaratibu wa kuanza campaign upo wazi.

Watanzania sio wajinga utoto wa CDM kila mtu anaona. Lissu ni mtu wa kupenda matatizo na kujiliza baadae as if yeye ni victim wakati at heart the guy is a ‘trouble maker’.
Pombe na wenzie wa ccm wamekuwa wakifanya hayo hayo hii miaka yote mitano.. hivi kampeni zilikuwa zimeanza??!
 
Nimekuuliza kuhusu sheria, kanuni, mwongozo n.k. kuhusu utafutaji wa wadhamini. Kumbuka hawa mpaka sasa wamepitishwa tu na vyama vyao lakini hawajateuliwa rasmi kugombea. Kampeni zitaanza baada ya kurudisha fomu na kupitishwa na tume. Hiyo nukuu yako ni sheria/kanuni za kampeni ambazo zitaanza tarehe 26/10/2020 kama sijakosea.
Ujaona hapo kabla ya kufanya campaign au kukutana na watu kila chama kinatakiwa kupeleka schedule yake siku saba kabla ya kurudisha form za nomination.

Ndio maana kwa CDM pale ambapo IGP Sirro aliposema na wao wapemewa utaratibu na NEC wa uchaguzi utavyoendeshwa lakini bado watu wana commit ‘public order offences’ hilo kwa hekima wanalifumbia macho lakini uchochezi washatoa onyo.

Na ndio maana nikasema katika wagombea 16 Lissu peke yake ndio Much Know wengine wote mafala kutafuta wadhamini wao kimya kimya.
 
https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1595919061-SUPP GN NO 402 TEXT 5 JUNE 2020 - THE National Elections Regulations 15 May 2020.pdf

View attachment 1535472

Endeleeni kuita icho kinachofanywa na Lissu ni kutafuta wadhamini sio campaign lakini utaratibu wa kuanza campaign upo wazi.

Watanzania sio wajinga utoto wa CDM kila mtu anaona. Lissu ni mtu wa kupenda matatizo na kujiliza baadae as if yeye ni victim wakati at heart the guy is a ‘trouble maker’.
Mbona hata Magufuli katafuta wadhamini?? Au kwa kuwa mikutano yake ilidoda??
Lowasa udhamini wake ulivyma sana. Acheni porojo.
 
Pombe na wenzie wa ccm wamekuwa wakifanya hayo hayo hii miaka yote mitano.. hivi kampeni zilikuwa zimeanza??!
Kuna muda wa uchaguzi na muda wa campaign.

Uchaguzi unapoisha mshindi akipatikana mambo ya siasa za kuitana barabarani unakwama mpaka campaign zijazo ndio ilivyo sio Tanzania duniani kote.

Kwa kipindi icho cha kazi raisi kukutana na watu anaowatumikia either kwa kufungua miradi au akiamua kusimamia njiani anapokuwa safarni kutatua kero zao all is within his duties.

Nchi inayoruhusu vyama vya siasa kuishi kama msimu wa campaign muda wote labda inatafuta anarchy; hakuna anaefanya ivyo duniani kama kuna nchi ipo ‘I dare you’ itaje.
 
Mbona hata Magufuli katafuta wadhamini?? Au kwa kuwa mikutano yake ilidoda??
Lowasa udhamini wake ulivyma sana. Acheni porojo.
Ni swala la NEC kuamua lakini aina maana Lowassa hakuwa akivunja sheria ni kucheza kamari tu. Ndio maana watia nia 16 wengine wanaona not worth the risk bora watafute wadhamini wao kimya. Kufanya kingine huko ni kuachia hatma zao viongozi we NEC na vyama vingine kama wataamua kufanya appeal kwa nini uachwe wakati umevunja sheria

Ni kama Sirro alivyosema kuna watu wameanza kwenda kinyume na public order laws lakini kwa sasa wao jeshi la polisi hekima ndio inawaongoza. Sasa nyie endeleeni kuamini sababu ni kwamba wanawaogopa.
 
Na ndio maana nikasema katika wagombea 16 Lissu peke yake ndio Much Know wengine wote mafala kutafuta wadhamini wao kimya kimya.
Kwa hiyoo sheria/kanuni/mwongozo unasema mhusika awatafute wadhamini kimya kimya! Kilatha, kwa miaka mitano vyama vyote isipokuwa CCM vimezuiwa kufanya mikutano ya hadhara, je ndivyo Katiba inavyotaka na ndivyo Mwenyekiti wa CCM alivyotaka. Sheria zilizopo zinavunjwa wazi wazi uko kimya lakini huoni haya kulilia kuvunjwa kwa sheria ambayo haipo. Hakuna sheria inayowataka wagombea kuwatafuta wadhamini kimya kimya na kama ipo nakuomba uilete hapa.
 
Huko USA kuna mikutano ya hadhara inayoandaliwa na vyama vya siasa baada ya raisi kuchaguliwa?

Uchaguzi unapoisha siasa zinaamia kwenye nyumba za wawakilishi sio mitaani ndio utamaduni kote ulivyo duniani.
 
Kupendwa sio Mpaka ununue jogoo kwa laki tano, ukaigize kununua samaki feri ,uigize kunywa kahawa ,uigize kununua mahindi mabichi ,watu Wanataka utumishi uliotukuka.
 
Ni swala la NEC kuamua lakini aina maana Lowassa hakuwa akivunja sheria ni kucheza kamari tu. Ndio maana watia nia 16 wengine wanaona not worth the risk bora watafute wadhamini wao kimya. Kufanya kingine huko ni kuachia hatma zao viongozi we NEC na vyama vingine kama wataamua kufanya appeal kwa nini uachwe wakati umevunja sheria

Ni kama Sirro alivyosema kuna watu wameanza kwenda kinyume na public order laws lakini kwa sasa wao jeshi la polisi hekima ndio inawaongoza. Sasa nyie endeleeni kuamini sababu ni kwamba wanawaogopa.
Hawana issue sio kwamba hawataki kufanya kama Lissu. Swala la kutafuta wadhamini ni utaratibu uliowekwa na NEC yenyewe. Mbona Magu juzi alikuwa live tbc hamkusema??
 
Kupendwa sio Mpaka ununue jogoo kwa laki tano, ukaigize kununua samaki feri ,uigize kunywa kahawa ,uigize kununua mahindi mabichi ,watu Wanataka utumishi uliotukuka.
Na kumwaga vilaki tano tano kwenye mikusanyiko. Jamaa analazimisha kingi sana.
 
Hawana issue sio kwamba hawataki kufanya kama Lissu. Swala la kutafuta wadhamini ni utaratibu uliowekwa na NEC yenyewe. Mbona Magu juzi alikuwa live tbc hamkusema??
Sio tu kwamba mikusanyiko isiyo na kibali ni uvunjifu wa sheria; bali unakusanya watu na kunadi sera zako, unaponda jitihada za vyama vingine, wagombea, unajinadi; unafanya na mambo yote yanayo usishwa na campaign.

Halafu ukimaliza hapo unadai ulichofanya ni kukutana na wadhamini tu. Na wafuasi wa chama chako wana support.

Muhimu ni kwamba mjue watanzania wanaona anachofanya Lissu na CDM. Watanzania wanafahamu pia raisi wa nchi mpaka October 29 bado ni Magufuli na kipindi cha uchaguzi akizuii yeye kuendelea na majukumu yake; definitions zingine za Magufuli kwa kipindi cha sasa kutoka kwenu ni ukaidi wenu tu wa kila siku.

Alamsiki.
 
Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama.

Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!
View attachment 1535361
View attachment 1535464

Usalama wa rais huyu wa watu ni muhimu sana na hasa kwenye umauti mkubwa kama huu ambapo hata mshale mmoja tu usiokuwa na sumu unaweza kuleta madhara makubwa.

Ieleweke wazi kuwa maadui wa haki wana hasira mno. Watakuwa wamenuna na kukasirika vilivyo kuliko hata mamba wala watu.
 
Sio tu kwamba mikusanyiko isiyo na kibali ni uvunjifu wa sheria; bali unakusanya watu na kunadi sera zako, unaponda jitihada za vyama vingine, wagombea, unajinadi; unafanya na mambo yote yanayo usishwa na campaign.

Halafu ukimaliza hapo unadai ulichofanya ni kukutana na wadhamini tu. Na wafuasi wa chama chako wana support.

Muhimu ni kwamba mjue watanzania wanaona anachofanya Lissu na CDM. Watanzania wanafahamu pia raisi wa nchi mpaka October 29 bado ni Magufuli na kipindi cha uchaguzi akizuii yeye kuendelea na majukumu yake; definitions zingine za Magufuli kwa kipindi cha sasa kutoka kwenu ni ukaidi wenu tu wa kila siku.

Alamsiki.
Acha kulia lia mbona unakuwa kama mwama CUF nyie si ndio chama la wana CCM chama kubwa?? Sasa hofu yako nini? Unalalamika utadhanu we ndio mpinzani sasa. LISSU kawashika kubaya.

Mikutano ya Lissu inafanyika kwenye ofisi za Chama tu kwa mujibu wa utaratibu wa kutafuta wadhamini.

Wewe unadhani wadhamini utawakuta polini?? Au nyumbani kwao??
 
G Sam,

..hebu pandisha video hii ukurasa wa kwanza.

Kichwa Cha Tundu Lissu kina software ambayo hadi sasa haijavumbuliwa labda mpka miaka 1000 ijayo. Ana kumbukumbu kupita maelezo. His brain capable of keeping even minor and detailed infos.
 
Mtu asiye na busara ndiye atasema hayo uliyoyasema. Tutajuta na lipi lankujutisha mlilokuwa nalo.
Mmezoea vya kunyonga. Chaguzi za marudio mmepora mpaka baaas. Uchaguzi wa serekali za mitaa mkajimegea kwa raha zenu. Hamnaga uzoefu wa uchaguzi huru na wa haki alioahidi Magu kwa dunia nzima
 
https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1595919061-SUPP GN NO 402 TEXT 5 JUNE 2020 - THE National Elections Regulations 15 May 2020.pdf

View attachment 1535472

Endeleeni kuita icho kinachofanywa na Lissu ni kutafuta wadhamini sio campaign lakini utaratibu wa kuanza campaign upo wazi.

Watanzania sio wajinga utoto wa CDM kila mtu anaona. Lissu ni mtu wa kupenda matatizo na kujiliza baadae as if yeye ni victim wakati at heart the guy is a ‘trouble maker’.

..umesoma kifungu namba 7?

..ina maana kampeni za nyumba-kwa-nyumba haziruhusiwi?

..mimi nimewasikia ccm wanasema watafanya kampeni mpaka kitanda-kwa-kitanda.

cc Mag3
 
Tutakuwa tukibadilisha badilisha kutaja maeneo halisi atakayokuwepo mgombea kwa muda husika kutokana na jinsi tunavyoona kiusalama.

Pia hili gari analotumia Lissu msilichukulie poa maana yaliyomo humo yamo!
Tunaondoka Tarime kama hivyo!
View attachment 1535361
View attachment 1535464
Mimi niwapongeze Kwa KAZI mnayoifanya. Ila Watanzania wa Leo siyo wajinga. Narudia wapiga kura siyo wajinga. Akituambia Jimboni Kwakwe amefanya nini basi nitasubiri.
 
Back
Top Bottom