antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Pombe na wenzie wa ccm wamekuwa wakifanya hayo hayo hii miaka yote mitano.. hivi kampeni zilikuwa zimeanza??!https://www.nec.go.tz/uploads/documents/sw/1595919061-SUPP GN NO 402 TEXT 5 JUNE 2020 - THE National Elections Regulations 15 May 2020.pdf
View attachment 1535472
Endeleeni kuita icho kinachofanywa na Lissu ni kutafuta wadhamini sio campaign lakini utaratibu wa kuanza campaign upo wazi.
Watanzania sio wajinga utoto wa CDM kila mtu anaona. Lissu ni mtu wa kupenda matatizo na kujiliza baadae as if yeye ni victim wakati at heart the guy is a ‘trouble maker’.